Unataka kusema kuwa saccos zimeongeza kipato cha wananchi wa vijijini!! 'ukipenda..... sepeto unaweza kuiita kijiko kikubwa
Mie hii point nakubaliana nayo kabisa , kutokana na sera za uwezeshaji wananchi ajira zimekuwa kwa kiasi kikubwa sana. Mfano, hebu angalia sacco walizoanzisha wananchi na kupata mitaji kutoka mabenki zimeongezeka mpaka sasa zimefikia 12,345. Na sehemu kubwa ziko vijijini zaidi ya 80%
Sio lazima uzalishaji uongezeke inategemea je uwezo wa uzalishaji bado tunao au ndio ulikuwa kikomo chako, na kutokana na kuongezeka kwa ajira huko na uzalishaji (ambao haukidhi ongezeko) serikali inakusanya kodi na kodi kuongezeka, ambalo hilo ni kweli , hivi sasa wanakusanya zaidi ya Tshs 400bn kwa mwezi
ndugu hao waliosema kuwa kuongezeka kwa ajira kumechangia mfumuko wa bei hawajui uchumi kabisa.mfumuko wa bei umesababishwa na mambo mengi mno ila kubwa zaidi ni geopolitics na economic revary between europe and fast growing economy of middle and far east. japo wanazuoni weng hawalijui hilo na ndo mana hata kulipatioa solution wameshindwa.
Huyo mchumi aliyesema hivyo ni zao la sekondari zenu za kata. Ajira ikiongezeka si uzalishaji pia unaongezeka? Na hizo ajira kama zimeongezeka bila kuwepo kipato cha kutosha kuwalipa basi ni ajira zisizo na tija kama zile za serikali za kuajiri kwa kujuana hata kama mwajiriwa hana kazi ya kufanya. Kwa hiyo wage bill inakuwa kubwa kuliko productivity, which is a big problem in our ccm government
The difference between stupidity and genius is that genius has its limits.
Albert Einstein
We kweli jinius brein!!!
Nikuulize mkuu, nawewe unasemaje, ni kweli ajira zimeongezeka?
kwa ujinga wako unakubali kila unachoambiwa bila tafakari ya kina. Wewe ni maskini kabisa. . .Mie hii point nakubaliana nayo kabisa , kutokana na sera za uwezeshaji wananchi ajira zimekuwa kwa kiasi kikubwa sana. Mfano, hebu angalia sacco walizoanzisha wananchi na kupata mitaji kutoka mabenki zimeongezeka mpaka sasa zimefikia 12,345. Na sehemu kubwa ziko vijijini zaidi ya 80%
Wewe ndio elimu yako ina walakin, kuongezeka kwa ajira kunaongeza purchasing power ambayo inaongeza money circulation hence inflation.
Nina wasi wasi na mwl wako wa uchumi kama hata point ndogo hivi inaleta shida, go back to the basics of economics

Nilikuwa nasikiliza juzi mjadala wa uchumi kwenye Radio Free Africa kuhusiana na sababu za mfumuko wa bei. Wakasema , mojawapo ya sababu za mfumuko wa bei ni kupanda kwa ajira ambapo kunasababisha mzunguko wa pesa kuwa mkubwa (kwani kila mtu anakuwa na pesa) hivyo basi kusababisha mfumuko wa bei kwani kila mtu anakuwa anahitaji kutumia. Mie nikajiuliza kama ni hivyo, mbona sababu hii mtu kama padri Slaa haisemi ? au ndio maimuna wa mambo ya uchumi?.
We kweli jinius brein!!!
Nikuulize mkuu, nawewe unasemaje, ni kweli ajira zimeongezeka?
kwa ujinga wako unakubali kila unachoambiwa bila tafakari ya kina. Wewe ni maskini kabisa. . .
Sio lazima uzalishaji uongezeke inategemea je uwezo wa uzalishaji bado tunao au ndio ulikuwa kikomo chako, na kutokana na kuongezeka kwa ajira huko na uzalishaji (ambao haukidhi ongezeko) serikali inakusanya kodi na kodi kuongezeka, ambalo hilo ni kweli , hivi sasa wanakusanya zaidi ya Tshs 400bn kwa mwezi
Jibu hoja, au na ww ndio wale wale maimuna ?
wahi jikoni ukakate nyanya mama anakuita ukamsaidie
mambo haya ya uchumi ww huyawezi km baba yako slaa
Inaeezekana ajira zisiongezeke lkn purchasing power ikaongezeka. Hii upelekea watu kuspend sana kwenye imported luxuries ambayo ndiyo inapelekea kushusha thamani ya Tshs yetu hence chanzo kingine cha inflation. M fano mdogo ni magari na petrol.
Hivyo msiojua kaeni kimya acheni jazba, kuna mambo mengi ambayo wanasiasa hwwatuambii, hivyo akili za mbayuwayu changanya na za kwako..........