Slaa apinga madiwani CHADEMA kufukuzwa

Slaa apinga madiwani CHADEMA kufukuzwa

Dr/Padre Slaa kavunja katiba 2.
1.Kavunja katiba ya Mungu(Padre haruhusiwi kuoa)
2.Kanyang'anya mke wa mtu!
 
Ahahahahah..dokta kapima upepo kaona kuwafukuza w.a.i.s.l.a.m katika kipindi kama hiki ni hatari kwa chama.
 
Hayo ndiyo wameona? Mbona Mtela hakusikilizwa? CDM NI GENGE LA WAHUNI.

Kwani Mtela Mwampamba na Juliana waliandika barua ya kukata rufaaaa? Hao waliandika barua ya rufaa na ikapitiwa kwa mjibu wa katiba.Hapo unasemaje tafuta lingine upewe tiba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom