Slaa apinga madiwani CHADEMA kufukuzwa

Slaa apinga madiwani CHADEMA kufukuzwa

Haya sasa, wale bendera fuata upepo njooni na hili mpongeze. Mliwapongeza wafukuzaji sasa njooni mpongeze na kutenguliwa kwa maamuzi ya wafukuzaji...

Ishu hapo ni kuwa na ujasiri ktk kufanya maamuzi, hakuna wogawoga hata kama ulikosea wewe unakuwa tayari kukosolewa ............hii ndio CDM na Tanzania mpya.

Iyena iyena kwao hii kitu ni mupya..............
 
Hayo yote ulikuwa hujui mpaka leo, lakini ulikuwa umeshasema kuwa waliofukuzwa ni wasaliti. Kitu gani kilikujulisha kuwa ni wasaliti hapo mwanzo ambacho sasa kimebadilika?

sikiliza mkuu sisi cdm tukiona kirusi tuna deliti saa hiyo hiyo kama kuna makosa tuna resrore hararaka chezezea chama cha mungu wewe utalala njaa k. wewe......
 
Katika mfumo na jamii yoyote makini Sheria na Haki ni mapacha.

Hivyo kama kulikuwa na ukiukwaji wa sheria na kanuni za chama zilizosababisha haki kutotendeka basi nampa pongezi za dhati Dr. Slaa na CHADEMA.

Wako watu ambao wanadhani kufukuzana au kuonyana ni mambo binafsi, hawajui kuna kanuni na sheria zinazozingatiwa.
 
Wale wote waliokuwa wakishabikia madiwani kufukuzwa sijui watakuja na kauli zipi, lakini walivyokuwa wanafiki hawakawii kubadilika na kupinga kauli zao za mwanzo.
 
sikiliza mkuu sisi cdm tukiona kirusi tuna deliti saa hiyo hiyo kama kuna makosa tuna resrore hararaka chezezea chama cha mungu wewe utalala njaa k. wewe......

Chama cha mungu yupi? Inaongekana huyo mungu dhaifu sana amekubali kuwa chama cha upinzani.
 
Huyu Dr kaanza kuchanganyikiwa nini? alipowafukuza madiwani wa arusha alitumia katiba hiyo hiyo wanayoitumia wenzake!
Mwampamba na Shonza??????
Hiki ni chama cha Kufukuzana
Inaonekana wewe ndio umechanganyikiwa, unafikiri madiwani wote hufanya makosa yale yale kwamba wahukumiwe kwa sheria ile ile, makosa ya madiwani wa Arusha yanajulikana walihukumiwa kulingana na uzito wake na madiwani wa Musoma watasikilizwa na kuhukumiwa kulingana na makosa yao, vile vile makosa ya masalia yenu yalijulikana nao walitendewa haki yao kulingana na matendo yao.
 
Chama cha mungu yupi? Inaongekana huyo mungu dhaifu sana amekubali kuwa chama cha upinzani.

usishangae mungu huyu ni yule alie kufa msalabani kwa ajili ya dhambi za wanaadamu aliewaumba
 
Wale wote waliokuwa wakishabikia madiwani kufukuzwa sijui watakuja na kauli zipi, lakini walivyokuwa wanafiki hawakawii kubadilika na kupinga kauli zao za mwanzo.
Usiwe na akili za kushikiwa kila kosa na sheria zake usifikiri wezi wote wanahukumia kwa sheria moja.
 
Inaonekana wewe ndio umechanganyikiwa, unafikiri madiwani wote hufanya makosa yale yale kwamba wahukumiwe kwa sheria ile ile, makosa ya madiwani wa Arusha yanajulikana walihukumiwa kulingana na uzito wake na madiwani wa Musoma watasikilizwa na kuhukumiwa kulingana na makosa yao, vile vile makosa ya masalia yenu yalijulikana nao walitendewa haki yao kulingana na matendo yao.

Usiwe na akili za kushikiwa kila kosa na sheria zake usifikiri wezi wote wanahukumia kwa sheria moja.
Yaani mmekosa hoja kwa hili.
mnaungaunga maneno.
 
sikiliza mkuu sisi cdm tukiona kirusi tuna deliti saa hiyo hiyo kama kuna makosa tuna resrore hararaka chezezea chama cha mungu wewe utalala njaa k. wewe......
John Shibuda??????????????????????????????????
 
hili ni soo la ugatuzi aka majimbo kuna wanachama wengi sana watatumia upenyo huu kukibomoa chama! Yaani ile kuwaambia kuwa CHADEMA inawapa maamuzi ya uendeshaji wa chama mashinani maana yake ni kutoa upenyo wa CCM kuingiza dolari ya kuwarubuni wanachama huko mashinani!
 
Hahaha ...... Hapa watu si walishangilia walivyofukuzwa ?
Mbona leo wanatetewa na Slaa wote mnafyata Mikia.....
Kweli Bendera Hufuata upepo......

Halafu hawa madawani haya majina yao ndio yanawaponza...

Ukishakuwa na majina kama haya Ally Zeddy na Mariam Daudi Chacha,Zito Zuberi,Arfi,Habibu Mchange basi wewe
ni katika wale Magaidi...wavaa Vipedo..wavaa Kanzu...wala haluwa,....wala tende...wakaa vibarazani....wasiosoma...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom