Slaa apinga madiwani CHADEMA kufukuzwa

Slaa apinga madiwani CHADEMA kufukuzwa

Dr Slaa mwenyewe ndio anaongoza kwa kuvunja katiba!
Msitake niseme mengi ila mkitaka ntamwaga kila kitu hapa kuhusu dr.

Wameshindwa 'kumwaga kila kitu' wale wanaoonekana kila sehemu kwenye mikutano na wale wanaokuja na majina halisi humu ndio uweze wewe unayejificha nyuma ya keyboard?! Tena na jina la kuchonga?! Kweli akili fupi hatari ya nchi!
 
Ama kweli CDM ni janga la kitaifa,yani madudu yote hayo wanayoyafanya bado hamjaamka tuu lol!
 
Dr Slaa mwenyewe ndio anaongoza kwa kuvunja katiba!
Msitake niseme mengi ila mkitaka ntamwaga kila kitu hapa kuhusu dr.

Unatishia kujamba wakati unaumwa tumbo la kuharisha?kwanini usimwage huo utumbo wako kuhusu Dr Slaa?embu peleka ****** wako huko lumumba kwa****** wenzio.!
 
Mwaga kama unajeur we gamba

Dr Slaa aliiba mke wa mtu.
Nipeni kifungu ktk katiba ya CHADEMA kinachoruhusu mwanachama wake kumnyang'anya mwananchi mnyonge mke!!
Tusitukanane jamani,naomba tushindane kwa hoja,tusishindane kwa matusi!!
 
Najua wengi wamepigwa na butwaa. Lakini wengine wetu tangu mwanzo tulisema si kila jambo linalotendwa na viongozi wa CHADEMA wa ngazi yoyote ile ni sahihi. Kuna watu wanataka kutuaminisha kwamba kila anayefukuzwa na viongozi basi ni masalia au Pandikizi ndani ya chama.

Ushauri mzuri ni kuwazuia viongozi wa CHADEMA kufanya maamuzi kwa kuwafurahisha mashabiki wao. Kuna watu leo hii wanawashwa na kufukuzwa kwa Zitto Kabwe au Shibuda. Lakini hawasemi kama watu hao wawili hawawezi kurekebishwa au kama wanaweza kugeuzwa kuwa mtaji kwa chama!!
 
Dr Slaa aliiba mke wa mtu.
Nipeni kifungu ktk katiba ya CHADEMA kinachoruhusu mwanachama wake kumnyang'anya mwananchi mnyonge mke!!
Tusitukanane jamani,naomba tushindane kwa hoja,tusishindane kwa matusi!!

Comments zingine ni sawa na ze commedy!
 
Mijitu itakuja kumsifia padri slaa hapa wakati yalisha shangilia kufukuzwa kwao.Mbavu kabisa
Huyu Dr kaanza kuchanganyikiwa nini? alipowafukuza madiwani wa arusha alitumia katiba hiyo hiyo wanayoitumia wenzake!
Mwampamba na Shonza??????
Hiki ni chama cha Kufukuzana
 
mapambano ya ukombozi magumu sana,wengine watasaliti kwa vipande vichache vya faranga.,nilikuwa sina habari kuwa kuna madiwani wamefukuzwa!!!ccm wanatumia kila hila waendelee kuiibia hii nchi
 
Huyu Dr kaanza kuchanganyikiwa nini? alipowafukuza madiwani wa arusha alitumia katiba hiyo hiyo wanayoitumia wenzake!
Mwampamba na Shonza??????
Hiki ni chama cha Kufukuzana
you don't know what you are saying woman!kesi hazifanani hizi
 
Ni kweli anatumia busara hadi kuchukua mke wa mtu.

hajawahi kukimbizwa uchi kama mwigulu alipofumaniwa na mke wa mtu,tunachojua josephine kasema hamtambui yule mhuni kuwa ni mme wake!!sasa unataka aolewe dada yako au nani kwenye familia yako?
 
Dr Slaa aliiba mke wa mtu.
Nipeni kifungu ktk katiba ya CHADEMA kinachoruhusu mwanachama wake kumnyang'anya mwananchi mnyonge mke!!
Tusitukanane jamani,naomba tushindane kwa hoja,tusishindane kwa matusi!!

Alikunyang'anya lini mke wako au alimnyang'anya Babako lini mke wake ?
 
ok kamanda tujuze, au ndiyo danganya toto, kama shuzi limepata mjambaji, jamba, au ni janja ya nyani?
 
you don't know what you are saying woman!kesi hazifanani hizi
Kesi ipi?
Njia wanazozichukua CDM siku zote ni kufukuza, fukuza masalia.....!
Ameanza baba na watoto wamefuata mila na utamaduni wa wakubwa wao katika kutatua migogoro ndani ya chama

Haya sasa, wale bendera fuata upepo njooni na hili mpongeze. Mliwapongeza wafukuzaji sasa njooni mpongeze na kutenguliwa kwa maamuzi ya wafukuzaji...
Vyovyote iwe ila hii habari imedhihirisha kuwa chadema kupitia slaa huwa inazingatia kanuni kwa msingi wa demokrasia.
Hivi yule Makonda alifukuzwa uvccm kwa mujibu wa katiba au yalikua maamuzi binafsi ya mwenyekiti wa uvccm?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
tupo hapa na mi ni mmoja wao niliyeshangilia ila leo ndo tumegundua katiba haikufuatwa .....sema lingine we ze ki hiace....silly.

sasa wale waliofukuzwa na bavicha katiba gani iliofuatwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom