Kumbe kwenye vikao vya ndani magamba wanafanya hivyo?Mawaziri mizigo watatoka kweli.Mujiandae kumangwa tu kama vikao vyenu vya ndani viko hivyo.
Wanatoka povu, hadi povu la gongo....................... R.I.P CDMSlaa na Mboe wanatapata,wanatoka damu,mvuto umetoweka kabisa.
Wenye busara na hekima unena kwa nahau na methali,na wenye kuwaelewa sharti wawe na sifa kama zao.Mbona ana sura ya kawaida tu?
Sasa anatishaje watu, ???
Mla rambi rambi za mwangosi shikamoo. ...plzzz rudisha pesa za rambi rambi ulizoiba.Mbona ana sura ya kawaida tu?
Sasa anatishaje watu, ???
Wanatoka povu, hadi povu la gongo....................... R.I.P CDM
Aha kumbe hiyo ndo timu lumumba? Viva book saba.
Tiba
Mla rambi rambi za mwangosi shikamoo. ...plzzz rudisha pesa za rambi rambi ulizoiba.