Slaa anatisha Urambo .Tabora

Slaa anatisha Urambo .Tabora

CCM kwa sasa wanahangaika sana! Hebu tazama wananyohangaika pale Lumumba akina Simiyu yetu, ZeMarcopolo, Chabluma, Mwanadiwani na vibaka wengineo wa buku 7. Kazi kwelikweli!

1378528_621377627913562_1439553841_n.jpg
Aisee, hapa utaambiwa wame-creat ajira kwa vijana! Uzembe wa kufikiri nao sometimes ni Noumer!
 
KUMBE TUMECHEKA WENGI, I see sasa ndo natambua kwa nini thread ikitoka inayohusu kuiponda CHADEMA inafuatiwa na michango mfululizo ya Lumumba nilikuwa nafikiri wanapigiana simu, kumbe wako chumba kimoja?!!!!

Kama hizi:-

sixgates: Nguvu ya umma is synonymous to mob justice

taswira: Mfanyabiashara maarufu aliyehama CDM anusurika kifo kutoka red brigade ya CDM

ifweero: Dr. Slaa: Tukishika Dola tutaruhusu utengenezaji wa pombe ya gongo kisheria

Naona wameacha CD ya Zitto imebuma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom