Slaa anatisha Urambo .Tabora

Slaa anatisha Urambo .Tabora

Kilasi Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2013
Posts
2,325
Reaction score
724
Kiukweli hali inayo endelea sasa inatisha na kwa kweli ina tishia kabisa uhai wa ccm kabisa.Gwiji la siasa Dr Slaa mikutano yake ina tisha.Hali huko Mwanza tena Mbowe naye anafunika siyo kawaida.Sijui sasa ccm watabuni mbinu gani.Naona Zito ame watia tu hasara hakuna lolote alilofanya,wamepoteza hela bure.Nadhani wanaweza kumnyang'anya
 
yaani ni kweli wamemneemesha zitto lakini wacha ale tu hizo hela si wajinga ndio waliwao?? Kwani wewe unaona ccm wanaakili kweli.
 
Leo ya MBOWE sitaki picha sababu nilikuwepo mwenyewe. Ila Urambo kwa dokta,PICHA PLS
 
Sasa hivi na wao wanabuni mbinu kama zile za CHADEMA. Wamepanga kufukuza mawaziri ili na wao waonekane wanayaweza maamuzi magumu! Lakini too late!

Ukumbuke yale ya magamba na madiwani Bukoba. Uwaziri pia waweza kukwamia kooni kwa sababu gamba lilikwamia kiunoni.
Atamweka nani badala ya Kawambwa? Huyo atakaye wekwa atafanya muujiza gani kabla ya 2015? Kazi alio ifanya Kawambwa ya kuibomoa Elimu ya Tanzania inaweza kujengwa kwa miezi????
Hata wang'oane, kiyama ya ccm tayari. Ndiyo maana wanafukuzana kwenye mikutano ya hadhara. Watu makini wangeitana chumbani Dodoma sio kwenye mikutano ya hadhara. Hata m/kiti wao akiwakubalia nitamshangaa kwani hukoo ni kumdhalilisha rais.
Hao ndiyo BRN. au Bigi Risalts Nao. Kaazi kweli kweli
 
2552_343451445796353_1652870020_n.jpg
 
Zitto mbona kufukuzwa kwake chama kimezidi kuwa na mvuto? Teh teh teh teh!
 
CCM kwa sasa wanahangaika sana! Hebu tazama wananyohangaika pale Lumumba akina Simiyu yetu, ZeMarcopolo, Chabluma, Mwanadiwani na vibaka wengineo wa buku 7. Kazi kwelikweli!

1378528_621377627913562_1439553841_n.jpg

Aha kumbe hiyo ndo timu lumumba? Viva book saba.

Tiba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom