ommy15
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 670
- 1,012
Hivi inawezekana ccm wakampa nafasi ya kugombea urais?Siwezi kusema kuwa Slaa anaongozwa na maslahi binafsi. Naamini anayo sincerity katika maongezi yake.
Kila mwanadamu anazo pande mbili, ili inayojulikana kwa wote na ile ambayo walio karibu wanaifahamu vyema.
Namuona kama mbeba maono ambaye kichwani yupo njema sana, anao uwezo wa kuzitafsiri na kuzitilia mkazo sera zinazomuongoza popote alipo. Alichezewa mchezo na kaka wa Hai, lakini malengo yake hayajawahi kuwa na unafiki wa wazi wazi.