Slaa anaamini katika nini? Kipenzi mbeba maono, msaliti wa umma au maslahi binafsi?

Je ni Nani huyu Slaa?

  • Mbeba Maono

    Votes: 6 11.1%
  • Msaliti wa Umma

    Votes: 9 16.7%
  • Opportunist/Maslahi Binafisi

    Votes: 39 72.2%

  • Total voters
    54
  • Poll closed .
5days before we close the voting, to vote go on top of the thread, and vote./Siku 5 zimebaki kabla ya kura kufungwa, kupiga kura nenda juu kabisaa ya uzi huu kasha piga kura
 
Napata taabu kuelewa naomba msaada wenu, kuuliza si ujinga wakuu.

Hivi Slaa (Dr.) anaamini juu ya sera na itikadi gani? Maana alipokuwa CDM aliwasasha moto mkubwa kwa CCM, tena moto mkubwa haswaaaa. Aligombea Urais 2010 kupitia CDM hii ikimanisha haikuikubali CCM, Sera zake na itikadi yake, pia au hakumkubali JK.

Kwa vile 2015 alijiondoka chamani ilionesha pia hakumkubali EL, ni ni kweli alimtaja sana kama fisadi mkubwa na mtu asiyefaa.

Sasa yuko CCM alipo JK na EL kwa pamoja, pia kwenye sera na itikaidi ileile, contradiction!!!! am getting confused yaani CCM Enzi zile za 2005, 2010 hadi 2015 October alikuwa anapigania nini? na sasa anapigania nini?

Alihama CDM kwa vile EL aliingia CDM, yaani muda wote anapambana akiwa upinzani alipambana juu ya mtu? sio sera na itikadi? ila Slaa huyo huyo hahami CCM kwa EL kurejea CCM, nini kinamshikiria huko ambacho kilikosekana wakati EL anahamia CDM ili kumshikilia?

Namweshimu kwanza kama Padri pia mtu ambaye alichagiza mabadiliko ya sera kwa sura ya dhati, je heshima hii ni bubble balloon? Is he fake in out? why or why not? huyu jamaa anaamini nini kuhusu soasa za TZ?

Je huyu jamaa Slaa anawakilisha wanasiasa wengi TZ ama ni special case? Tunawaambia nini vijana wadogo wambao walishawishika na sera zake ambazo sasa nashindwa kuelewa ni aina ipi? ama ni chuki na watu ama mtu wala sio sera? au ni mapenzi na mtu wala sio sera na itikadi?

Nawasilisha, I just want to have insights of what this man is in terms of political understanding and his stand.

Kwanza niulize CHADEMA tangu aondoke slaa, sera yenu hasa ni ipi. Mnapigania nini. Mana mpo wengi sana Humu lakini mmekuwa watu wa mipasho na kuzungumzia watu tu. Slaa akiwa mbunge alifanya kazi kubwa sana jimboni kwake. Tuambie sasa. Lissu na Mbowe wamefanya ninl? Mmekuwa chama cha matukio na majungu na kuzungumzia watu.

Siasa nia yake sio magomvi na chuki za kudumu. Lengo ni kupata madaraka ili kuwatumikia wananchi. Anapotumikia mwananchi mwanasiasa hatangulizi maslahi yake Bali ya wananchi. Kimsingi Hakuna chama chenye sera mbaya. Shida siku Zote Tz ni kupata watu watakaolia na kucheka na wananchi. Katika maandishi yako ya „ kimbeya MBEYA“ umeandika as if Slaa ambaye Baada ya kutoswa na nyie ameamua kuwageuka watz na kuwa mfuasi Wa Alshabab. Mtu mwenye akili atapenda siku Zote kuwasha taa yake na kuiweka hadharani imulike. Slaa anatumikia nchi yake. Sera gani za chadema ambazo angezisimamia. Mliandika. Ndege. Hizo. Reli. Hiyo. Umeme huo. Kiongozi asiyepepesa maneno huyo. Slaa amebaki slaa. Mwenye msimamo ambaye anajua nini Anafanya. Na hajajificha. Vyama sio msahafu. Vyama sio majibu ya matatizo. Tz hatujawahi kushindwa vita ya majungu. Tatizo letu na kupata viongozi watakaosimamia kwa vitendo sera Hizo.

In short. Dr Slaa hajawahi kuyumba. Nyie ndo mnayumba kwa kuwa akili zenu ndogo. Level ya Slaa iko juuuu kule. Alipo anachangia kujenga Tz. So tiwekee sera hapa za CHadema ndo tujadili mambo ya kujadili watu hapa ni kutufanyA nasi wazarsmo
 
ila usihushe uzi huu na chama, ni maoni yangu huru kama mtz na wewe kama una maoni unaweza weka tukachangia lakni sio sijui CCM, CDM, CUF, NCCR TLP, NLD, au kichama, ni kitanzania zaidi. Asante Mkuu

Mkuu, binafsi sikuwahi kusikia akiingia CCM, unaweza kututhibitishia humu ilikuwa wapi na lini? Natanguliza shukrani.
 
Alikuwa upande wenu wala hamkumsikiliza, mwisho wa siku mlisaliti nguvu, kazi, kujitoa, (imagine alivunjwa mpaka mkono) na mwisho kabisa maono yake. Wasiokuwa upande wake wakamkumbuka. Mwisho wa siku unategemea ampende na kumtumikia nani? Use your brain bro

Inaonesha uko chini ya kiwango au umesahau tatizo kuu la slaa ni wife hapo hawezi ku control his brain lakini kisiasa yupo vizuri sana na anaelewa anachokifanya urais kupitia mkewe ulimsumbua sana bila kukumbuka kwa katiba hi mpinzani hawezi kupata hata sasa hakuna mpinza anaeweza kupata baada ya kuona kakosa nafasi alilazimishwa kujiunga na maadui wake ili kuwakomesha cdm mwili wake upo ccm roho yake ipo cdm
 
Back
Top Bottom