Na bado, mpaka uchaguzi uishe atakuwa ameshajizika akiwa mzima mzima.
Hicho siyo kijarida cha Gwajima?
Na dhambi zake zote, Babu daktari wa kanoni padri Dr.W.Slaa akamuangukie mchungaji anaetumia mapepo machafu?
Haiingii akilini hata chembe.

Kanisa na lenyewe linatakiwa kukaa chini na kutafakari.Limekumbwa na kashfa nyingi sana siku za karibuni kitu ambacho kama kanisa la Mungu halitakiwi kuwa nacho.Hawa maaskofu wamekuwa wakipokea fedha kutoka kwa watu ambao si waaminifu.Hapa waumini tuwaeleweje?.Huyu Gwajima ni mfanyabiashara tu hakuna Gospel hapo.
Udadisi tu, hivi kwa nini hujidai kuupenda uislamu alafu unashabikia chama kilicho uangamiza uislamu tanzania.Hicho siyo kijarida cha Gwajima?
Na dhambi zake zote, Babu daktari wa kanoni padri Dr.W.Slaa akamuangukie mchungaji anaetumia mapepo machafu?
Haiingii akilini hata chembe.
SLAA namwangalia kwa angle nyingi
ila angle nyingine anareflect ile tabia ya watanzania wengi kuwa na papara, na kushidwa kumalizia vitu tulivyo vianzisha, na kukata tamaa, na hii ipo hata kwa vijana, wanashidwa kumalizia masomo, kazi, mipango ya maisha kwa tamaa na papara, kwenye hili slaa alifanya papara sana, hata kama ni mke kamlainisha lakini angetumia akili ya kuzaliwa kukwepa kiunzi, ila kaingia kichwa kichwa mbaya..
naskia ana mahijiano na tido, ningekuwa ni tido mhando slaa angekimbia studio, ningemchapa maswali na facts mpaka apate kiharusi

Dr. Slaa hatufai na pia Mungu ametusaidia kumjua alivyo yaani hafai hata kidogoView attachment 284110
My take
kama mwanasiasa level ya Dr Slaa anashindwa kujisimamia maneno ya kuongea basi tuna safari ndefu ya kwenda
View attachment 284110
My take
kama mwanasiasa level ya Dr Slaa anashindwa kujisimamia maneno ya kuongea basi tuna safari ndefu ya kwenda
Hicho siyo kijarida cha Gwajima?
Na dhambi zake zote, Babu daktari wa kanoni padri Dr.W.Slaa akamuangukie mchungaji anaetumia mapepo machafu?
Haiingii akilini hata chembe.
Waumini wake dah!!!!!!