SLAA amuige PROF. wa UCHUMI LIPUMBA

Na wewe nani anaweza kuharibu nchi wewe?

Uhuru tu wana enjoy

Hakuna jipya mwendo mdundo 2015...

Unajua hasira za uchaguzi lazima uzionyeshe kwanza baada ya hapo kimya..mchakato utaendelea mpaka 2015

Kula raha usitumbikie kwenye ushabiki usio na leader...
 
Kukosa URAIS kwa SLAA isiwe sababu ya kuharibu nchi. Yeye ni sehemu ndogo sana ya nchi hii. Amuige mkongwe Prof Lipumba jinsi alivyo mstaarabu.

So vague!! Ustaarabu wa Lipumba ni upi??? Aige lipi toka kwa huyo Lipumba wako???? Na kwa taarifa yako Slaa hajakosa urais!!!! Bali ameporwa uraisi!!!!
 
So vague!! Ustaarabu wa Lipumba ni upi??? Aige lipi toka kwa huyo Lipumba wako???? Na kwa taarifa yako Slaa hajakosa urais!!!! Bali ameporwa uraisi!!!![/B]


Ushahidi tafadhali kabla sijakuita mbeya tena mropokaji...

Unaimba wimbo bila ushahidi..kwa kiswahili mazuzu..sorry
 
Sijui hata anataka Dr amwige nini cha maana. Mtu mwenye dira atamwigaje mtu asiye na dira ambaye amekubali CUF iache vision yake na angalau waambulie umakamu wa rais kabla hakujazama jua kabisa
 
Babyboy na omba uniambie,mambo yapi aliyo yafanya lipumba hadi Dr. Slaa apaswe kumwiga...yaeleze vizuri Watanzania tujue msingi wa hoja yako na pia utuambie mambo ambayo Dr. slaa ameyafanya hadi kuonyesha hatari kwa usalama au ustawii wa taifa hili ili wananchi wajue kuwa wewe sio mwendawazimu.....

Vinginevyo nakushauri ukawaambie walio kutuma kama umetumwa kuwa walewatu siwawezi mwende wenyewe, ili wajitokeze hadharani tuwatambue wanao taka kutuharibia nchi hii....
 
I smell malaria sugu. It is very possible that he is same guy in desguise. Amuige Lipumba kufanya nini, kama akimuiga basi ina maana gani ya yeye kuwa mwanasiasa, kama anataka kumuiga basi ni afadhari atuachie huyu huyu Prof tuliyenaye sasa. Hatutaki Lipumba wawili, mmoja tu anatosha?

Lakini maoni yako yanaheshimiwa.

Maoni yangu ni kuwa JK awe JK peke yake asije mwingine akaanza kumuiga.

Kipepe awe kipepe tu, hatauna haja ya wawili. Mkapa awe huyi huyo mmoja tu, JK akimaliza muda wake hana sababu ya kumiga Mkapa, aendelee kuwa mwenyewe.

Pimbi awe Pimbi tu, Tanzania iwe na diversity isiwe na copy za watu. Itatia kinyaa.
Bongolander,
I like your sense of instinct.
 
lipumba hana lolote. Anachojua ni kuongeongea tu na kujifanya mzalendo. Hawezi kua kama dr slaa.
 
Back
Top Bottom