SLAA amuige PROF. wa UCHUMI LIPUMBA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SLAA amuige PROF. wa UCHUMI LIPUMBA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by charityboy, Dec 27, 2010.

 1. c

  charityboy Senior Member

  #1
  Dec 27, 2010
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kukosa URAIS kwa SLAA isiwe sababu ya kuharibu nchi. Yeye ni sehemu ndogo sana ya nchi hii. Amuige mkongwe Prof Lipumba jinsi alivyo mstaarabu.
   
 2. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #2
  Dec 27, 2010
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,529
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Kwani Dr. Slaa kaharibu nchi kivipi? fafanua kwa niaba ya wana JF
   
 3. Mla Mbivu

  Mla Mbivu JF-Expert Member

  #3
  Dec 27, 2010
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 221
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Duh, ni kweli kila mtu ana uhuru wa kuongea,


  lakini hizi nyingine ni pumba zilizopitiliza,


  dk wa ukweli ameonesha ustaarabu wa hali ya juu,


  kwani pamoja na uchakachuaji, lakini hakufanya lolote


  zaidi ya kuanzisha mchakato wa kudai katiba mpya.
   
 4. Mabel

  Mabel JF-Expert Member

  #4
  Dec 27, 2010
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,018
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Hivi wewe unafikiri Lipumba kweli anakuwa serious anavyogombea uraisi? Hakuna cha kuiga pale, sasa hivi tunahitaji watu wenye uchungu na nchi yao na wenye kusimamia iliyo haki. Lipumba anagombea kama fashion tu, anaongea vitu ambavyo havipimiki, unquantifiable na unachievable. Tunahitaji wetu wenye machungu na wananchi wa taifa hili masikini na walio waadilifu, wasio-ogopa mafisadi, wenye uwezo wa kufanya maamuzi magumu kwa wakati sahihi.
   
 5. M

  Mbalinga JF-Expert Member

  #5
  Dec 27, 2010
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 1,381
  Likes Received: 407
  Trophy Points: 180
  Hii nayo ni ajabu. Dr Slaa amefanya nini tangu uchaguzi umalizike, ama Charityboy una maana ya madai ya katiba mpya? Kwa taarifa yako Dr Slaa amekuwa mstaarabu sana, kama angedai kushinda (kama ukweli ulivyo) na kuwahimza wote walimpigia kura kumkataa JK nchi ingekalika hii? Mimi binafsi ninampongeza Dr Slaa kwa umahili wake wa kuhakikisha kuwa amani inadumishwa. Na alisema kabisa hawezi kwenda Ikulu huku damu za watu zikimwagika, sasa unataka ustaarabu gani zaidi ya huu. Ama unataka ustaarabu wa Prof. Lipumba uliosababisha mamia kama si maelfu ya watu kufariki kule Pemba?

  Kuwa makini
   
 6. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #6
  Dec 27, 2010
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,052
  Likes Received: 4,609
  Trophy Points: 280

  U r just a BOY, probably Houseboy, so this is what u r brain sees, & that is u r max thinking, how can u compare Dr. Slaa with Lipumba? Lipumba is CCM B period, tulishasema mjinga akiongea maneno machache utajua let him talk, unahitaji kujifunza
   
 7. c

  charityboy Senior Member

  #7
  Dec 27, 2010
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Prof wa ukweli hafanani na udaktari wa heshima
   
 8. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #8
  Dec 27, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  CharityBoy Ukikuwa ukawa Mwanamme utaacha kuongea Pumba ila kwa sababu bado u Mvulana nakusamehe
   
 9. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #9
  Dec 27, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Hata Hueleweki Youngboy, mara Sasa Udaktari wa Heshima na Lipumba wapi na wapi
   
 10. c

  charityboy Senior Member

  #10
  Dec 27, 2010
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimegundua leo kuwa hata Augustino ramadhan ali-support idea ya katiba mpya kwa kuwa anastaafu. Huu si uzalendo. Ndio maana bora mhe. KIKWETE afanye kazi zake aachane na agenda pandikizi ya katiba mpya.
   
 11. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #11
  Dec 27, 2010
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  I smell malaria sugu. It is very possible that he is same guy in desguise. Amuige Lipumba kufanya nini, kama akimuiga basi ina maana gani ya yeye kuwa mwanasiasa, kama anataka kumuiga basi ni afadhari atuachie huyu huyu Prof tuliyenaye sasa. Hatutaki Lipumba wawili, mmoja tu anatosha?

  Lakini maoni yako yanaheshimiwa.

  Maoni yangu ni kuwa JK awe JK peke yake asije mwingine akaanza kumuiga.

  Kipepe awe kipepe tu, hatauna haja ya wawili. Mkapa awe huyi huyo mmoja tu, JK akimaliza muda wake hana sababu ya kumiga Mkapa, aendelee kuwa mwenyewe.

  Pimbi awe Pimbi tu, Tanzania iwe na diversity isiwe na copy za watu. Itatia kinyaa.
   
 12. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #12
  Dec 27, 2010
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Katiba ajenda pandikizi? ameipandikiza nani? Slaa? unajua kuwa kulikuwa na whitepaper na yalikusanywa maoni ya watanzania? unadhani ni idea mpya?
   
 13. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #13
  Dec 27, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Young boy you are contradicting the agenda that you have just posted, nakushauri kakojoe Ulale Ukue
   
 14. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #14
  Dec 27, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mkuu unazidi Kumchanganya huyu Bwana Mdogo kabisa, he/she is just a teenager anayehitaji kujifunza mambo taratibu
   
 15. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #15
  Dec 27, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Huyu ni malaria sugu katika gamba jingine
   
 16. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #16
  Dec 27, 2010
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 4,986
  Likes Received: 3,735
  Trophy Points: 280
  watu wenye aina ya mitizamo kama ya huyu dogo "charityboy" ndiyo haohao wakiulizwa kwa nini TZ ni masikini hawajui. hivyo msameheni bure tu huyu dogo, huku mkiendelea kumfundisha polepole..
   
 17. L

  LAT JF-Expert Member

  #17
  Dec 27, 2010
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  hili ni genge linaloongozwa na DSM...... nia yao ni martyrdom.... hakuna unachohoji au kujadili mada bali wataka kuharibu JF for the sake of you being a coward or rather an infidel
   
 18. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #18
  Dec 27, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,582
  Likes Received: 4,692
  Trophy Points: 280
  Hivi watanzania wanaweza kumkumbuka Lipumba kwa kitu gani hadi awe mfano wa kuigwa?Dr Slaa ni mzalendo ambaye mchamgo wake katika vita ya ufisadi utakumbukwa daima, na ndiyo maana alichaguliwa na watanzania wa dini zote kwa 64% ya kura zilizopigwa hadi ikabidi JK kwa mwavuli wa katiba inayoruhusu wizi wa kura za urais,akaamua yeye na genge lake kuchakachua kura na kisha kutangazwa na NEC kuwa ndiye rais japokuwa alishindwa vibaya.
   
 19. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #19
  Dec 27, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Saa ya kulala watoto kalale
   
 20. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #20
  Dec 27, 2010
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,806
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Yule mtu kaja tena na jina lingine! kabadili tena jina!?:dizzy::suspicious:
   
Loading...