Slaa amshangaa Kinana

Wauwaji wa wakulima wa Korosho mbona wanajulikana Including wabunge na Madiwani walio wengi mikoa ya kanda ya kusini
wakiongozwa na Membe, Komba na wenzie watatu. Wakifuatiwa na kampuni ia OLAM International.

wameikamata Board ya korosho, wamewakamata wakuu wa wilaya na mkoa na wadau wengine hili suala la kuchunguza liko wazi kwa mtu yeyote anayefutilia maendeleo ya kanda ya kusini
 
Ni maneno machache lakini yenye uzito mkubwa.Kasema kweli Dr.Slaa kama mwenye chama chenye dola anashangaa bei zilizoasisiwa na chama chake je sie tulio nje ya dola tufanyaje?!better CCM wawe wapinzani ili washangae vizuri.
 
Sasa wewe ndo umechangia nini? nakufananisha na marehemu...

Bora ambaye siasa zimemshinda kuliko yule asiyewaza lolote kichwani yaani kichwa cha nazi!

Kweli wewe ni njiwa heri ungekuwa kwale

Huo ndio ukweli slaa ni mzushi keshaishiwa na sera Slaa always lie / & kuzusha vitu visivyokuwepo so he can get in power and he will continue to lie to stay in. The amusing thing is pro CDM ni vipofu hawalioni hilo....

 
Dr Slaa kwa nini usishangae mpaka leo bado ujafunga ndoa unazeeka. Unamshangaa Kinana.

Ritz,

When did you escape from my ignore list?

Tiba
 







Huyu mzee Slaa is like a startled rabbit caught in headlights,he has no idea and Majority of Tanzanians don't Know what he wants... i think its about time to hang those gloves ... siasa zimeshinda huyu babu


Njiwa ungekuwa mwanamme usingeongea hayo maneno yako.. Haya bwn haki sawa kwa wote ongea na andika tuu
 






Huo ndio ukweli slaa ni mzushi keshaishiwa na sera Slaa always lie / & kuzusha vitu visivyokuwepo so he can get in power and he will continue to lie to stay in. The amusing thing is pro CDM ni vipofu hawalioni hilo....


Huwafuatilii viongozi hawa mafisadi wanaongea nini. Usikurupuke kutoa hoja ambazo zinausaliti moyo wako.
 
.........anaacha kumshangaa ROSE KAMILI anamshanga KINANA ......nasi tutamshangaa 2015...mwanamume mzima unakaa kushangaa wanaume wenzako alafu bado utasikia ni dr.......ukisoma cv ndiyo utajua ni zile zile phd za Kipaimara....nyambafu...

Kaka zile PhD za kipaimara zinaongoza Dunia ikiwemo Tanzania , ni PhD zile zile zinawaunganisha watu walioko chinin yao unlike waislam wasio na mpangilio wanalia lia muda wote na kubakia kujawa na roho ya mauti na kuiba bia za watu na kudhani Korani inapiganiwa kama vile haina nguvu.PhD za kipaimara hata leo Tanzania zinaongoza Nchi hata wakiwa nje ya uongozi still they are strong and we are strong mptapiga kelele lakini PhD ziko zinatambuliwa si kama wale viongozi wenu ambao lazima uwe mfuga majini ndiyo uwe shekhe wa msikiti.
 






Huo ndio ukweli slaa ni mzushi keshaishiwa na sera Slaa always lie / & kuzusha vitu visivyokuwepo so he can get in power and he will continue to lie to stay in. The amusing thing is pro CDM ni vipofu hawalioni hilo....


Ili twende sawa please list uzushi wa Slaa na uongo wake angalau tuweze kujadili na uache kuchukua kauli za JK mpenda majibu mepesi .It is about time uutaje uzushi wake na uongo kwa ushahidi tuone wote hapa .

 







Huyu mzee Slaa is like a startled rabbit caught in headlights,he has no
idea and Majority of Tanzanians
don't Know what he wants... i think its about time to
hang those gloves ... siasa zimeshinda huyu babu


kweli mkuu, CDM wanajipa moyo mitandaoni lakini mtaani rating yao inashuka kwa kasi
 
Asante Dr. Slaa. Maana kuna watu wenye ubongo wa samaki ambao ghafla wamechukuliwa na upepo wa "mabadiliko ya sura mpya CCM". Kwao kwa kitendo cha Kinana na Mangula kupewa nafasi za juu CCM basi ndio CCM imeshakuwa safi, imepata kukubalika tena, na sasa kinawajali wananchi, what a pitiable creatures?!

Shikilia hapo hapo kitaeleweka tu Dr. wangu.
 
Ili twende sawa please
list uzushi wa Slaa na uongo wake angalau tuweze kujadili na uache
kuchukua kauli za JK mpenda majibu mepesi .It is about time uutaje
uzushi wake na uongo kwa ushahidi tuone wote hapa .[FONT=century
gothic]

[/FONT]

Kuweni na hekima nyie wafuasi wa CDM msipende kuwa waumini wa binadamu mwenzenu bali wekeni nguvu kukitetea chama si mtu
 
Kuweni na hekima nyie wafuasi wa CDM msipende kuwa waumini wa binadamu mwenzenu bali wekeni nguvu kukitetea chama si mtu

Taja uongo wake acha longo longo naamini katika issues mie si mpuuzi kama nyie waganga njaa na wapoteza mie niko hapa forum miaka sasa lakini huwa najibu tu hoja na si vioja now tell us wapi alizusha kwa ushahidi na walio zushiwa wako wapi na wamechukua hatua gani kurudisha heshima yao ?
 
teh teh ,nawewe kula kulala unaongea nini sasa? Moja ya maajabu yaliyoongezeka hapa tanzania ni wewe ,yaani umri huo ni kula kulala? Haijapata tokea hapa duniani we ndo wa kwanza
 

- HA! HA! HA! HA! HA! HA! HA! HA!, yaani kumbe mnaniogopa hivi mpaka mtumzima una-confess "sometimes you should let some topics pass without your comments" you see SI NILISEMA THIS IS THE KING OF ALL NETWORK SOCIAL MEDIA, unaona sasa mnaanza kukubali, kudaddeki fasten your belt you aint seen anything yet!! ha1 ha! ha!

Le Biig Shoow!!
 
We **** ndio maana hauchaguliki Na ulifukuzwa Na mkeo. Dr. Slaa kaongea pumba zipi?

- ha! ha! ha! ha! Sichaguliki kuliko Chadema, wewe umewahi kusikia chama gani Duniani toka kianzishwe hakijawahi kushinda Urais, yaaani hata Udiwani taabu tupu sasa hicho ni chama gani? afadhali kufukuzwa na mke kuliko kujidai unataka kuwakomboa wananchi wanakuamini unaanza kuwainia wake zao, and then unaiba mke mdogo kuliko wewe kwa miaka 40, halafu eti ni chama kinachokubalika kinakubalika na nani?

- Chama kinachokubalika na wananchi kinaanza kuonyesha dalili kwa ksuhinda viti vingi vya Udiwani, kama huwezi kushinda Udiwani utashinda vipi Taifa, yaani huko hata common sense tu hakuna, it is time to quit siasa nyie Chadomo!!

Le Mutuz!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…