William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Wilbrod Slaa amemshangaa Katibu Mkuu wa CCM Abdurahman Kinana kwa kuanza kulalamika kuhusu bei za Korosho, Ufisadi wakati Chama chake ndicho chenye serikali. Dr Slaa anasema ni bora CCM ikawa upinzani na yenyewe badala ya kuwahadaa wananchi.
Aidha amewashangaa watu wanaodai majina ya mafisadi wakati yeye alishawasilisha kwa DPP majina na akaunti za Mafisadi na watia sahihi wa akaunti hizo lakini serikali imekaa kimya hadi leo.
Slaa pia amewashangaa watu wanaodai CHADEMA ina makundi kwani huo ni uzushi usio na maana na CHADEMA haina muda huo wa kupoteza. Kazi ni moja tu ya kujenga Chama na wakati uchaguzi wa ndani ya Chama ukiwa unaendelea rushwa haitavumilika ndani ya CHADEMA hata kidogo.
Slaa ameyasema hayo katika Baraza la Mashauriano la Mkoa wa Kagera ambalo pia lilihudhuriwa na Wenyeviti na Makatibu wote wa Mikoa wa CHADEMA.
Huyu mzee Slaa is like a startled rabbit caught in headlights,he has no idea and Majority of Tanzanians don't Know what he wants... i think its about time to hang those gloves ... siasa zimeshinda huyu babu
aache kushangaa shangaa atoe ripoti kwa nini chadema imeshindwa vibaya udiwani licha ya kutumia pesa nyingi zitokanzo n kile kinachoitwa oparesheni sangara(m4c),asitafute pa kutokea yeye kama mtendaji mkuu wa shughuli za chama analo la kujibuKatibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Wilbrod Slaa amemshangaa Katibu Mkuu wa CCM Abdurahman Kinana kwa kuanza kulalamika kuhusu bei za Korosho, Ufisadi wakati Chama chake ndicho chenye serikali. Dr Slaa anasema ni bora CCM ikawa upinzani na yenyewe badala ya kuwahadaa wananchi.
Aidha amewashangaa watu wanaodai majina ya mafisadi wakati yeye alishawasilisha kwa DPP majina na akaunti za Mafisadi na watia sahihi wa akaunti hizo lakini serikali imekaa kimya hadi leo.
Slaa pia amewashangaa watu wanaodai CHADEMA ina makundi kwani huo ni uzushi usio na maana na CHADEMA haina muda huo wa kupoteza. Kazi ni moja tu ya kujenga Chama na wakati uchaguzi wa ndani ya Chama ukiwa unaendelea rushwa haitavumilika ndani ya CHADEMA hata kidogo.
Slaa ameyasema hayo katika Baraza la Mashauriano la Mkoa wa Kagera ambalo pia lilihudhuriwa na Wenyeviti na Makatibu wote wa Mikoa wa CHADEMA.
usijisahaulishe kwamba na wewe pia ni marehemu mtarajiwa!Sasa wewe ndo umechangia nini? nakufananisha na marehemu...
.........anaacha kumshangaa ROSE KAMILI anamshanga KINANA ......nasi tutamshangaa 2015...mwanamume mzima unakaa kushangaa wanaume wenzako alafu bado utasikia ni dr.......ukisoma cv ndiyo utajua ni zile zile phd za Kipaimara....nyambafu...
- HUYU mzeee naye anazeeeka vibaya sana dhambi ya mke wa mtu inaanza kumtafuna sasa hajielewi kabisa, anaacha kujishangaa mwenyewe kujilipa hela za wananchi walipa kodi Shillingi Millioni 12 kwa mwezi ambazo wala hazina risiti anajipa tu, leo anamshangaa Kiongozi wa Chama Tawala tena Mkubwa kuliko yeye na aliyechaguliwa na wanachama wote wa CCM, wakati yeye amechaguliwa na Mtei tu, halafu ndio mnasema huyu afanye mdahalo na Kinana, yaani aibu tupu! Ndo maana baba yako alipewa fedha za EPA na Jeetu patel
Le Mutuz!!
Mujarafu tafuta kibarua cha kufanya kwani shule ndio mgogoro. Nendeni shule muweze kumudu mapigo. Huyu ni Dk wa kweli sio huyu wa kupewa kwa fadhila. Mlichezea Elimu angalia mnavyoumbuka. Tulisema tusiwe na muda wa watu wanaojaza nafasi humu kwenye JF lakini walitakiwa wachangie mada za kindergaten. nadhani hata njaa imechangia mpeni buku 2 (hawalipwi zaidi ya mlo hawa)
- HUYU mzeee naye anazeeeka vibaya sana dhambi ya mke wa mtu inaanza kumtafuna sasa hajielewi kabisa, anaacha kujishangaa mwenyewe kujilipa hela za wananchi walipa kodi Shillingi Millioni 12 kwa mwezi ambazo wala hazina risiti anajipa tu, leo anamshangaa Kiongozi wa Chama Tawala tena Mkubwa kuliko yeye na aliyechaguliwa na wanachama wote wa CCM, wakati yeye amechaguliwa na Mtei tu, halafu ndio mnasema huyu afanye mdahalo na Kinana, yaani aibu tupu!!
Le Mutuz!!
- HUYU mzeee naye anazeeeka vibaya sana dhambi ya mke wa mtu inaanza kumtafuna sasa hajielewi kabisa, anaacha kujishangaa mwenyewe kujilipa hela za wananchi walipa kodi Shillingi Millioni 12 kwa mwezi ambazo wala hazina risiti anajipa tu, leo anamshangaa Kiongozi wa Chama Tawala tena Mkubwa kuliko yeye na aliyechaguliwa na wanachama wote wa CCM, wakati yeye amechaguliwa na Mtei tu, halafu ndio mnasema huyu afanye mdahalo na Kinana, yaani aibu tupu!!
Le Mutuz!!
Huyu mzee Slaa is like a startled rabbit caught in headlights,he has no idea and Majority of Tanzanians don't Know what he wants... i think its about time to hang those gloves ... siasa zimeshinda huyu babu
.........anaacha kumshangaa ROSE KAMILI anamshanga KINANA ......nasi tutamshangaa 2015...mwanamume mzima unakaa kushangaa wanaume wenzako alafu bado utasikia ni dr.......ukisoma cv ndiyo utajua ni zile zile phd za Kipaimara....nyambafu...
hakuna haja ya kubishana na mabwabwa makamanda,wewe unavyonenepeana hivyo zaidi ya kupiga picha na mademu kuna kazi nyingine kweli???kaa kimya ndio maana magamba wenzio wanakuona kaa ma..v.. hawakuchagui.- HUYU mzeee naye anazeeeka vibaya sana dhambi ya mke wa mtu inaanza kumtafuna sasa hajielewi kabisa, anaacha kujishangaa mwenyewe kujilipa hela za wananchi walipa kodi Shillingi Millioni 12 kwa mwezi ambazo wala hazina risiti anajipa tu, leo anamshangaa Kiongozi wa Chama Tawala tena Mkubwa kuliko yeye na aliyechaguliwa na wanachama wote wa CCM, wakati yeye amechaguliwa na Mtei tu, halafu ndio mnasema huyu afanye mdahalo na Kinana, yaani aibu tupu!!
Le Mutuz!!
.........anaacha kumshangaa ROSE KAMILI anamshanga KINANA ......nasi tutamshangaa 2015...mwanamume mzima unakaa kushangaa wanaume wenzako alafu bado utasikia ni dr.......ukisoma cv ndiyo utajua ni zile zile phd za Kipaimara....nyambafu...
.........anaacha kumshangaa rose kamili anamshanga kinana ......nasi tutamshangaa 2015...mwanamume mzima unakaa kushangaa wanaume wenzako alafu bado utasikia ni dr.......ukisoma cv ndiyo utajua ni zile zile phd za kipaimara....nyambafu...