Malunde-Malundi
JF-Expert Member
- Jan 10, 2008
- 1,288
- 130
Wajumbe;
JK ameshatangazwa kuwa rais wa Tanzania baada ya matokeo kuchakachuliwa; ila nina hesabu kidogo; Amechaguliwa kwa 26% ya kura zore 20Mili zilizositahili, na assume yeye ndiye ametumia maxumum resources hadi uchakachuaji hatari na kupakana matope wenzanke; so asilimia 74 inabaki kwa wapinzani
assume 10% watakuwa na shughuli hivyo kutopiga kura kama watu wamehamasishwa na serikali inayowapenda; na wapinzani wakubwa yaani CUF na Chadema wakagawana hizi 64% kwa uwiano; itakuwa hivi
26 (ya slaa)+8 (ya Lipumba)=34
Uwiano wao
Slaa Amepata=>(26/34)*64%==>48%
Lipumba amepata==>(8/34)*64%==>15%
Matokeo halali mwaka huu
Dr Slaa==>48%
JK ==>26 (fixed value)
Lipumba==>15%
So Slaa anabaki moyoni kama Rais wangu wa kweli 2010-2015; sijui kwa nini nilipew kura kwa mtu ambaye serikali yake haina rais wangu. Sijui kama hapa nimeeleweka, lakini mnaweza kuboresha zaidi