Wasifu mfupi wa Profesa Ibrahim Haruna Lipumba

CUF Habari

Verified Member
Dec 12, 2019
221
250
FB_IMG_1600008064649.jpg

WASIFU MFUPI WA PROFESA IBRAHIM HARUNA LIPUMBA

ASILI

Profesa Ibrahim Haruna Lipumba alizaliwa mnamo tarehe 06/06/1952 katika kijiji cha Ilolanguru, wilayani Uyui, mkoa wa Tabora.

FAMILIA
Profesa Ibrahim Haruna Lipumba ameoa na ana watoto

ELIMU YA MSINGI
Alipata elimu yake ya msingi katika shule ya Swedish Free Mission Primary School, Ilolanguru kati ya mwaka 1959 na 1962, na baadaye katika shule ya L.A Upper Primary School, Sikonge kati ya mwaka 1962 na 1966.

ELIMU YA SEKONDARI
Kati ya mwaka 1967 na 1970 alipata elimu ya sekondari katika shule ya Tabora Boys Secondary School, na baada ya hapo alijiunga na shule ya sekondari ya Pugu ambako alisoma kidato cha tano na cha sita kati ya mwaka 1971 na mwaka 1972.

ELIMU YA CHUO KIKUU
Profesa Lipumba alisoma katika chuo kikuu cha Dar es Salaam kati ya mwaka 1973 na mwaka 1977. Mwaka 1978 alijiunga na chuo kikuu cha Stanford nchini Marekani ambako alisoma hadi mwaka 1983 alipohitimu shahada ya uzamivu katika uchumi.

SHAHADA
Profesa Lipumba alifanukiwa kutunukiwa shahada zifuatazo wakati alipopata elimu ya chup kikuu:

1. BA (Hon. Economics) University of Dar es Salaam, 1976
2. MA (Economics) University of Dar es Salaam, 1977
3. MA (Economics) Stanford University, 1979
4. Phd (Economics) Stanford University, 1983

UZOEFU WA UONGOZI AKIWA MASOMONI
Profesa Lipumba amepata uzoefu wa kuongoza tangu akiwa masomoni. Miongoni mwa nafasi mbalimbali za uongozi allizopitia akiwa masomoni ni pamoja na:

1. Mweka Hazina - Umoja wa Vijana Tabora Boys Secondary
School 1969 – 1970
2. Katibu - Muslim Discussion Group Tabora Boys Secondary
School 1969 – 1970
3. Mjumbe wa kamati ya Umoja wa Vijana – Pugu Secondary
School 1970 – 1971
4. Mwenyekiti - Umoja wa Vijana wa TANU - Chuo Kikuu 1975 -
1976.
5. Mweka hazina - Muslim Students Association of University of
Dar es Salaam (MSAUD) 1974 -1975
6. Mwanzilishi na Rais wa Kwanza wa Stanford African Students
Association (SASA), Stanford University; Stanford, California
USA. 1978

KAZI
1976 - 77 Mkufunzi Msaidizi (T.A)
1977 - 83 Mhadhiri Msaidizi
1983 - 86 Mhadhiri
1986 - 89 Mhadhiri Mwandamizi
1989 - 93 Profesa Mshiriki
1991 - 93 Msaidizi wa Rais Mambo ya Uchumi
1993 - 95 Fulbright Visiting Professor, Williams College,
Massachussets, United States of America.
1996 - 98 Senior Research Fellow, United Nations University,
World Institute of Economic Research, Helsinki
Finland.
1999 – 2020 Mwenyekiti wa Taifa, The Civic United Front (CUF –
Chama cha Wananchi)
2007 - 08 Consultant, United Nations Conference on Trade and
Development, Geneva, Switzerland
2011 - 12 Reagan Fascell Democracy Fellow, National
Endowment for Democracy, Washington D.C. USA

HESHIMA ZA KITAALUMA
1993 - 1995, Fulbright Visiting Professorship
1986-1989, Kellogg International Fellow in Food Systems
1977-1983, Rockefeller Foundation Fellowship
1976, Zawadi ya Mwanafunzi Bora, Best Student Award, Faculty of
Arts and Social Sciences, University of Dar es Salaam.

MSHAURI WA UCHUMI (ECONOMIC CONSULTANT TO)
1. The World Bank,
2. United Nations Development Programme (UNDP),
3. Global Coalition for Africa, Preferential Trade Area for Eastern and Southern Africa (now COMESA),
4. Swedish International Development Agency (SIDA),
5. NORAD,
6. DANIDA,
7. Ministry of Foreign Affairs Finland,
8. Bank of Tanzania,
9. Macroeconomic and Financial Management Institute of Eastern and Southern Africa (MEFMI),
10. African Capacity Building Foundation,
11. United Nations Conference on Trade and Development (UNCTAD),
12. African Economic Research Consortium.

SHUGHULI ZA KIMATAIFA
1. Utafiti kuhusu kushiriki kwa nchi za kusini katika mfumo wa biashara wa kimataifa, Uruguay Round Multilateral trade negotiations - 1986 - 90.
2. Utafiti kuhusu sera za kilimo za nchi zinazoendelea.
3. Kuwasilisha maelezo (Testmony) kuhusu matatizo ya madeni ya Afrika kwenye kamati ya Bunge la Marekani - House Sub
Committee on International Development, Finance, Trade and Monetary Policy - February, 1994.
4. Kuwasilisha, maelezo (Testmony) kuhusu shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) na uhusiano wake na nchi masikini kwenye kamati ya Bunge la Marekani House - Sub Committee on International Development, Finance, Trade and Monetary Policy - April, 1994
5. Kutayarisha "Report of Group of Independent Advisers on Development Cooperation issues between Tanzania and Aid Donors". June , 1995
6. Kuteuliwa kuwa mjumbe wa kamati ya Umoja wa Mataifa ya sera ya maendeleo inayomshauri Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Maendeleo ya Kiuchumi Duniani. (Member of the United Nations Committee for Development Policy (1995 -99.)
7. Kutayarisha vigezo vya kuainisha nchi masikini sana duniani. (The list of Least Developed Countries (1997 na 2000)
8. Kutayarisha na kuratibu utafiti na kupendekeza sera za viwango vya kubadilishana sarafu (exchange rate policy) na sera za kulegeza masharti ya mfumo wa fedha (financial liberalization) Kampala, Uganda (1997).
9. Kutoa taarifa katika Kamati ya Umoja wa Mataifa ya mambo ya uchumi na maendeleo (ECOSOC) kuhusu mgogoro wa kimataifa wa fedha katika nchi za Asia, NewYork (1998).
10. Kutoa ushauri wa namna ya kuimarisha muundo na sera za fedha, Wizara ya Fedha, Windhoek, Namibia (1998).
11. Kutoa ushauri wa namna ya kuimarisha muundo na sera za fedha, Wizara ya Fedha, Mbabane, Swaziland (1998).
12. Kutathmini maendeleo ya 'The Macroeconomic And Financial Management Institute Of Eastern And Southern Africa', (MEFMI) ili kuwasaidia wahisani kufanya maamuzi juu ya kuendelea kuisaidia taasisi hiyo,1998.
13. Kutoa ushauri na kutayarisha mada kwa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa kuhusu Utandawazi na Maendeleo yannchi za Kiafrika, 1999

SHUGHULI ZA KITAIFA
• Mjumbe - Kamati ya kurekebisha mashirika ya umma, 1992 –1993
• Mwenyekiti - Tume ya kuchunguza matatizo ya chama cha ushirika cha mkoa wa Shinyanga (SHIRECU), 1992
• Mwenyekiti - Tume ya Waziri wa Fedha ya kuchunguza matatizo ya Shirika la Bima (NIC) 1993
• Mhadhiri wa Kukaribishwa – National Defence College 2013 -2020

BAADHI YA UTAFITI WA UCHUMI NA MAANDISHI MUHIMU
Selected Publications (Baadhi ya Machapisho):

1. Stabilization Policies in Tanzania, University of Dar es Salaam, 1984.
2. African Unity, Some Practical Guidelines, MAWAZO Vol. 1. No. 2, May 1983. Published by Stanford African Students Association.
3. Problems and Prospects of African Economic Integration , MAWAZO Vol. 1. No. 1, April 1982.
4. The Brandt Commission Report: A General Overview, Journal of Economic Reflections, January 1982.
5. Book Review, R. H. Green (et al.) Economic Shocks and National Policy Making. Tanzania in the 1970s. UCHUMI Journal of the
Economic Society of Tanzania.
6. The Economic Crisis and Basic Needs in Tanzania, ILO Basic Needs and Development in Tanzania 1983 Addis Ababa.
7. Basic Needs and Agricultural Development Policy: A Critical Review. ILO Basic Needs and Development in Tanzania. 1983
Addis Ababa.
8. "Macroeconomic Management of the Tanzania Economy", International Development Research Centre. The Zambian Economy: Problems and Prospects 1984.
9. "Policy Reforms for Economic Development in Tanzania", published in Stephen K. Commins (ed.) Africa Development Challenge and the World Bank. Lynne Rienner Publishers. Boulder/London. 1988.
10. "The Global Trading System and Economic Development of Tanzania" in John Whalley (ed.) Dealing with the North. Centre
for the Study of International Economic Relations (London, University of Western Ontario) 1987.
11. "Domestic Supply Constraints versus Market Access Problem in International Trade and Economic Development of Tanzania" in John Whalley (ed.) The Small Among the Big. Centre for the Study of International Economic Relations (London, University of Western Ontario).
12. "A Supply Constrained Macroeconometric Model of Tanzania" Economic Modelling Vol. 5 No. 4. October 1988 with Ndulu, Horton and Plourde.
13. "Market Liberalization and Food Security in Tanzania", with Amani, Ndulu and Kapunda. Proceedings of SADCC Food
Security Conference Harare 1987.
14. "The Arusha Declaration and Economic Development of Tanzania", in Hartmann, J. The Arusha Declaration Twenty Years After (Copenhagen Centre for Development Research) 1990.
15. "Reflections on Economic Development in Tanzania", in UCHUMI Journal of Economic Society of Tanzania 1987.
16. The Impact of Market Liberalization on Household Food Security, with Amani, Ndulu and Kapunda. SADCC Conference on Food Security Conference Proceedings. 1988.
17. Reflections on Long Term Development Strategy in Tanzania, in World Bank Sub-Saharan Africa: From Crisis to Sustainable
Growth A Long Term Perspective Study, Vol. I. 1990.
18. The Record and Prospects of the Preferential Trade Area of Eastern and Southern African States in Chhibber Ajay and
Stanley Fischer Economic Reform in Sub-Saharan Africa World Bank 1991.
19. Determinants of Appropriate Exchange Rate, in UNDP Aspects of Exchange Rate Determination United Nations, New York
1991.
20. Exchange Rate Policy in Tanzania, UNDP, Stabilization and Adjustment United Nations, New York 1991.
21. Tanzania: Medium Term Development Issue and Prospects, African Development Bank, African Development Report 1994.
22. Structural Adjustment Policies and the Economic Performance of African Countries.
23. United Nations Conference on Trade and Development International Monetary and Financial Issues for the 1990s. Vol. V. 1995.
24. African Beyond Adjustment, Policy Essay No. 15 Overseas Development Council Washington, D.C. 1994.
25. "Financing Long Term Development in Sub-Sahara Africa" in Culpeper Roy, Caroline Pesteau, IDRC, Development and Global
Governance 1995.
26. "The Liberalization of Foreign Exchange Markets and Economic Growth in Sub-Sahara Africa" UNU/WIDER Research for Action
No. 35, 1997.
27. "An evaluation of the institutional set up and technical capacity of the Ministry of Finance - Namibia." A Consultancy Report to
The Macroeconomic and Financial Management Institute of Eastern and Southern Africa (MEFMI) 1998
28. "An evaluation of the institutional set up and technical capacity of the Ministry of Finance - The Kingdom of Swaziland." A
Consultancy Report to The Macroeconomic and Financial Management Institute of Eastern and Southern Africa (MEFMI) 1998
29. "The Macroeconomic And Financial Management Institute Of Eastern And Southern Africa, Mefmi - Midterm Review" Consultancy Report to MEFMI Liason Committee (1999).
30. "Opportunities and challenges of globalization: Can sub-sahara Africa avoid marginalization?" in UNDP(1999) Back ground papers to the 1999 Human Development Report.
31. "Globalization of Finance and Development Prospects in Africa." In UNDP Cooperation South No. 1 1999
32. "Debt Relief and Sustainable Development in Sub Sahara Africa" Paper presented at the Fifth Group Meeting on Financial Issues of Agenda 21, Nairobi Kenya December 1999.
33. "Globalization And Economic Development: Can Sub-Sahara Africa Avoid Marginalization?" A Paper Presented at a Conference on Globalization and Catching-up in Emerging Market Economies Warsaw, May 16-17, 2002
34. "The Role Of Opposition Members Inside And Outside The Parliament." A paper presented at a Seminar on "The Roles And Responsibilities Of Opposition Members Of Parliament'' at Karimjee Hall, Dar es Salaam May 30th - 31st, 2002.
35. “Rethinking Economic Development Policy in Tanzania” Paper presented at The Nordic Africa Institute, Uppsala, Sweden
January 2003
36. Democracy And Economic Development In Tanzania paper presented at a seminar organised by the Liberal Party of Sweden and the Swedish International Liberal Centre, Swedish Parliament Building, Stockholm, January 16 2003
37. “Globalization And Economic Development: Can Tanzania Avoid Marginalization?” Paper presented at the Tanzania Development Forum, Dar es Salaam, April 2003

38. Globalization And Social Stress In Tanzania Paper presented at the 6th International Conference Organized by T I G E R &
YALE University on Globalization and Social Stress, October 2003.
39. Liberal Principles, Globalization and Development Policy for Africa, African Liberal Network, News letter no2 2003
40. “Cool and Hard Heads; Warm and Soft Hearts: Economic Reforms for a Just Society in Tanzania.” A Synthesis Paper of the Inaugural Tanzanian Development Forum, 2004
41. “Debt Relief, Sustainable Development and Achieving the Millennium Development Goals in Sub Sahara Africa” Paper presented at the G24 Meeting in Pretoria South Africa, 2004
42. "Aid, Growth and Achieving Millennium Development Goals in Tanzania” Paper presented at the UNU-WIDER Conference on Aid: Principles, Policies and Performance, 16-17 June 2006
43. "External Evaluation of African Capacity Building Foundation ACBF" with Daima Associates June 2006
44. "Democracy and Economic Development in Africa" Theme Report presented at the 54th Congress of the Liberal International, Marrakesh, Morocco 9th to 11th November 2006
45. “Initiating and Managing Structural Transformation in Least Developed Countries” Background paper prepared for the United Nations Conference on Trade and Development, Least Developed Countries, November 2007
46. “Midterm Review of The African Economic Research Consortium’s Strategic Plan 2005-2010” March 2008
47. “From Ujamaa to Demokrasia Prospects of Democracy and Economic Development in Tanzania” Presentation at National Endowment for Democracy NED, Washington D.C., 9th December 2011
48. “Key Issues on Building an institutional framework to promote democracy and economic development in Tanzania” A Research Paper, National Endowment for Democracy NED, Washington D.C., March 2012
49. “Scan of Key Trends in Tanzania and Their Implications for Children” Consultancy Report to UNICEF, Dar es Salaam, 2013
50. “Review of A Business Plan for Development of Cashew Nut Processing Factories in Mtwara, Coast and Ruvuma Regions Under Public-Private Partnership Model” Consultancy Report to Cashewnut Board of Tanzania, February 2016
51. “Industrial policy for Tanzania in the midst of the fourth industrial revolution” Presentation at REPOA’s 21st Annual Research Workshop, April 2016
52. “Reality and Perception of Tanzania Economic Performance” Policy Advisory Note November 2018
 
Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
10,051
2,000
View attachment 1568805

WASIFU MFUPI WA PROFESA IBRAHIM HARUNA LIPUMBA

ASILI

Profesa Ibrahim Haruna Lipumba alizaliwa mnamo tarehe 06/06/1952 katika kijiji cha Ilolanguru, wilayani Uyui, mkoa wa Tabora.

FAMILIA
Profesa Ibrahim Haruna Lipumba ameoa na ana watoto

ELIMU YA MSINGI
Alipata elimu yake ya msingi katika shule ya Swedish Free Mission Primary School, Ilolanguru kati ya mwaka 1959 na 1962, na baadaye katika shule ya L.A Upper Primary School, Sikonge kati ya mwaka 1962 na 1966.

ELIMU YA SEKONDARI
Kati ya mwaka 1967 na 1970 alipata elimu ya sekondari katika shule ya Tabora Boys Secondary School, na baada ya hapo alijiunga na shule ya sekondari ya Pugu ambako alisoma kidato cha tano na cha sita kati ya mwaka 1971 na mwaka 1972.

ELIMU YA CHUO KIKUU
Profesa Lipumba alisoma katika chuo kikuu cha Dar es Salaam kati ya mwaka 1973 na mwaka 1977. Mwaka 1978 alijiunga na chuo kikuu cha Stanford nchini Marekani ambako alisoma hadi mwaka 1983 alipohitimu shahada ya uzamivu katika uchumi.

SHAHADA
Profesa Lipumba alifanukiwa kutunukiwa shahada zifuatazo wakati alipopata elimu ya chup kikuu:

1. BA (Hon. Economics) University of Dar es Salaam, 1976
2. MA (Economics) University of Dar es Salaam, 1977
3. MA (Economics) Stanford University, 1979
4. Phd (Economics) Stanford University, 1983

UZOEFU WA UONGOZI AKIWA MASOMONI
Profesa Lipumba amepata uzoefu wa kuongoza tangu akiwa masomoni. Miongoni mwa nafasi mbalimbali za uongozi allizopitia akiwa masomoni ni pamoja na:

1. Mweka Hazina - Umoja wa Vijana Tabora Boys Secondary
School 1969 – 1970
2. Katibu - Muslim Discussion Group Tabora Boys Secondary
School 1969 – 1970
3. Mjumbe wa kamati ya Umoja wa Vijana – Pugu Secondary
School 1970 – 1971
4. Mwenyekiti - Umoja wa Vijana wa TANU - Chuo Kikuu 1975 -
1976.
5. Mweka hazina - Muslim Students Association of University of
Dar es Salaam (MSAUD) 1974 -1975
6. Mwanzilishi na Rais wa Kwanza wa Stanford African Students
Association (SASA), Stanford University; Stanford, California
USA. 1978

KAZI
1976 - 77 Mkufunzi Msaidizi (T.A)
1977 - 83 Mhadhiri Msaidizi
1983 - 86 Mhadhiri
1986 - 89 Mhadhiri Mwandamizi
1989 - 93 Profesa Mshiriki
1991 - 93 Msaidizi wa Rais Mambo ya Uchumi
1993 - 95 Fulbright Visiting Professor, Williams College,
Massachussets, United States of America.
1996 - 98 Senior Research Fellow, United Nations University,
World Institute of Economic Research, Helsinki
Finland.
1999 – 2020 Mwenyekiti wa Taifa, The Civic United Front (CUF –
Chama cha Wananchi)
2007 - 08 Consultant, United Nations Conference on Trade and
Development, Geneva, Switzerland
2011 - 12 Reagan Fascell Democracy Fellow, National
Endowment for Democracy, Washington D.C. USA

HESHIMA ZA KITAALUMA
1993 - 1995, Fulbright Visiting Professorship
1986-1989, Kellogg International Fellow in Food Systems
1977-1983, Rockefeller Foundation Fellowship
1976, Zawadi ya Mwanafunzi Bora, Best Student Award, Faculty of
Arts and Social Sciences, University of Dar es Salaam.

MSHAURI WA UCHUMI (ECONOMIC CONSULTANT TO)
1. The World Bank,
2. United Nations Development Programme (UNDP),
3. Global Coalition for Africa, Preferential Trade Area for Eastern and Southern Africa (now COMESA),
4. Swedish International Development Agency (SIDA),
5. NORAD,
6. DANIDA,
7. Ministry of Foreign Affairs Finland,
8. Bank of Tanzania,
9. Macroeconomic and Financial Management Institute of Eastern and Southern Africa (MEFMI),
10. African Capacity Building Foundation,
11. United Nations Conference on Trade and Development (UNCTAD),
12. African Economic Research Consortium.

SHUGHULI ZA KIMATAIFA
1. Utafiti kuhusu kushiriki kwa nchi za kusini katika mfumo wa biashara wa kimataifa, Uruguay Round Multilateral trade negotiations - 1986 - 90.
2. Utafiti kuhusu sera za kilimo za nchi zinazoendelea.
3. Kuwasilisha maelezo (Testmony) kuhusu matatizo ya madeni ya Afrika kwenye kamati ya Bunge la Marekani - House Sub
Committee on International Development, Finance, Trade and Monetary Policy - February, 1994.
4. Kuwasilisha, maelezo (Testmony) kuhusu shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) na uhusiano wake na nchi masikini kwenye kamati ya Bunge la Marekani House - Sub Committee on International Development, Finance, Trade and Monetary Policy - April, 1994
5. Kutayarisha "Report of Group of Independent Advisers on Development Cooperation issues between Tanzania and Aid Donors". June , 1995
6. Kuteuliwa kuwa mjumbe wa kamati ya Umoja wa Mataifa ya sera ya maendeleo inayomshauri Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Maendeleo ya Kiuchumi Duniani. (Member of the United Nations Committee for Development Policy (1995 -99.)
7. Kutayarisha vigezo vya kuainisha nchi masikini sana duniani. (The list of Least Developed Countries (1997 na 2000)
8. Kutayarisha na kuratibu utafiti na kupendekeza sera za viwango vya kubadilishana sarafu (exchange rate policy) na sera za kulegeza masharti ya mfumo wa fedha (financial liberalization) Kampala, Uganda (1997).
9. Kutoa taarifa katika Kamati ya Umoja wa Mataifa ya mambo ya uchumi na maendeleo (ECOSOC) kuhusu mgogoro wa kimataifa wa fedha katika nchi za Asia, NewYork (1998).
10. Kutoa ushauri wa namna ya kuimarisha muundo na sera za fedha, Wizara ya Fedha, Windhoek, Namibia (1998).
11. Kutoa ushauri wa namna ya kuimarisha muundo na sera za fedha, Wizara ya Fedha, Mbabane, Swaziland (1998).
12. Kutathmini maendeleo ya 'The Macroeconomic And Financial Management Institute Of Eastern And Southern Africa', (MEFMI) ili kuwasaidia wahisani kufanya maamuzi juu ya kuendelea kuisaidia taasisi hiyo,1998.
13. Kutoa ushauri na kutayarisha mada kwa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa kuhusu Utandawazi na Maendeleo yannchi za Kiafrika, 1999

SHUGHULI ZA KITAIFA
• Mjumbe - Kamati ya kurekebisha mashirika ya umma, 1992 –
1993
• Mwenyekiti - Tume ya kuchunguza matatizo ya chama cha
ushirika cha mkoa wa Shinyanga (SHIRECU), 1992
• Mwenyekiti - Tume ya Waziri wa Fedha ya kuchunguza
matatizo ya Shirika la Bima (NIC) 1993
• Mhadhiri wa Kukaribishwa – National Defence College 2013 -
2020

BAADHI YA UTAFITI WA UCHUMI NA MAANDISHI MUHIMU
Selected Publications (Baadhi ya Machapisho):

1. Stabilization Policies in Tanzania, University of Dar es Salaam,
1984.
2. African Unity, Some Practical Guidelines, MAWAZO Vol. 1. No.
2, May 1983. Published by Stanford African Students
Association.
3. Problems and Prospects of African Economic Integration ,
MAWAZO Vol. 1. No. 1, April 1982.
4. The Brandt Commission Report: A General Overview, Journal of
Economic Reflections, January 1982.
5. Book Review, R. H. Green (et al.) Economic Shocks and National
Policy Making. Tanzania in the 1970s. UCHUMI Journal of the
Economic Society of Tanzania.
6. The Economic Crisis and Basic Needs in Tanzania, ILO Basic
Needs and Development in Tanzania 1983 Addis Ababa.
7. Basic Needs and Agricultural Development Policy: A Critical
Review. ILO Basic Needs and Development in Tanzania. 1983
Addis Ababa.
8. "Macroeconomic Management of the Tanzania Economy",
International Development Research Centre. The Zambian
Economy: Problems and Prospects 1984.
9. "Policy Reforms for Economic Development in Tanzania",
published in Stephen K. Commins (ed.) Africa Development
Challenge and the World Bank. Lynne Rienner Publishers.
Boulder/London. 1988.
10. "The Global Trading System and Economic Development of
Tanzania" in John Whalley (ed.) Dealing with the North. Centre
for the Study of International Economic Relations (London,
University of Western Ontario) 1987.
11. "Domestic Supply Constraints versus Market Access Problem in
International Trade and Economic Development of Tanzania"
in John Whalley (ed.) The Small Among the Big. Centre for the
Study of International Economic Relations (London, University
of Western Ontario).
12. "A Supply Constrained Macroeconometric Model of Tanzania"
Economic Modelling Vol. 5 No. 4. October 1988 with Ndulu,
Horton and Plourde.
13. "Market Liberalization and Food Security in Tanzania", with
Amani, Ndulu and Kapunda. Proceedings of SADCC Food
Security Conference Harare 1987.
14. "The Arusha Declaration and Economic Development of
Tanzania", in Hartmann, J. The Arusha Declaration Twenty
Years After (Copenhagen Centre for Development Research)
1990.
15. "Reflections on Economic Development in Tanzania", in
UCHUMI Journal of Economic Society of Tanzania 1987.
16. The Impact of Market Liberalization on Household Food
Security, with Amani, Ndulu and Kapunda. SADCC Conference
on Food Security Conference Proceedings. 1988.
17. Reflections on Long Term Development Strategy in Tanzania, in
World Bank Sub-Saharan Africa: From Crisis to Sustainable
Growth A Long Term Perspective Study, Vol. I. 1990.
18. The Record and Prospects of the Preferential Trade Area of
Eastern and Southern African States in Chhibber Ajay and
Stanley Fischer Economic Reform in Sub-Saharan Africa World
Bank 1991.
19. Determinants of Appropriate Exchange Rate, in UNDP Aspects
of Exchange Rate Determination United Nations, New York
1991.
20. Exchange Rate Policy in Tanzania, UNDP, Stabilization and
Adjustment United Nations, New York 1991.
21. Tanzania: Medium Term Development Issue and Prospects,
African Development Bank, African Development Report 1994.
22. Structural Adjustment Policies and the Economic Performance
of African Countries.
23. United Nations Conference on Trade and Development
International Monetary and Financial Issues for the 1990s. Vol.
V. 1995.
24. African Beyond Adjustment, Policy Essay No. 15 Overseas
Development Council Washington, D.C. 1994.
25. "Financing Long Term Development in Sub-Sahara Africa" in
Culpeper Roy, Caroline Pesteau, IDRC, Development and Global
Governance 1995.
26. "The Liberalization of Foreign Exchange Markets and Economic
Growth in Sub-Sahara Africa" UNU/WIDER Research for Action
No. 35, 1997.
27. "An evaluation of the institutional set up and technical capacity
of the Ministry of Finance - Namibia." A Consultancy Report to
The Macroeconomic and Financial Management Institute of
Eastern and Southern Africa (MEFMI) 1998
28. "An evaluation of the institutional set up and technical capacity
of the Ministry of Finance - The Kingdom of Swaziland." A
Consultancy Report to The Macroeconomic and Financial
Management Institute of Eastern and Southern Africa
(MEFMI) 1998
29. "The Macroeconomic And Financial Management Institute Of
Eastern And Southern Africa, Mefmi - Midterm Review"
Consultancy Report to MEFMI Liason Committee (1999).
30. "Opportunities and challenges of globalization: Can sub-sahara
Africa avoid marginalization?" in UNDP(1999) Back ground
papers to the 1999 Human Development Report.
31. "Globalization of Finance and Development Prospects in
Africa." In UNDP Cooperation South No. 1 1999
32. "Debt Relief and Sustainable Development in Sub Sahara
Africa" Paper presented at the Fifth Group Meeting on
Financial Issues of Agenda 21, Nairobi Kenya December 1999.
33. "Globalization And Economic Development: Can Sub-Sahara
Africa Avoid Marginalization?" A Paper Presented at a
Conference on Globalization and Catching-up in Emerging
Market Economies Warsaw, May 16-17, 2002
34. "The Role Of Opposition Members Inside And Outside The
Parliament." A paper presented at a Seminar on "The Roles
And Responsibilities Of Opposition Members Of Parliament''
at Karimjee Hall, Dar es Salaam May 30th - 31st, 2002.
35. “Rethinking Economic Development Policy in Tanzania” Paper
presented at The Nordic Africa Institute, Uppsala, Sweden
January 2003
36. Democracy And Economic Development In Tanzania paper
presented at a seminar organised by the Liberal Party of
Sweden and the Swedish International Liberal Centre, Swedish
Parliament Building, Stockholm, January 16 2003
37. “Globalization And Economic Development: Can Tanzania
Avoid Marginalization?” Paper presented at the Tanzania
Development Forum, Dar es Salaam, April 2003

38. Globalization And Social Stress In Tanzania Paper presented at
the 6th International Conference Organized by T I G E R &
YALE University on Globalization and Social Stress, October
2003.
39. Liberal Principles, Globalization and Development Policy for
Africa, African Liberal Network, News letter no2 2003
40. “Cool and Hard Heads; Warm and Soft Hearts: Economic
Reforms for a Just Society in Tanzania.” A Synthesis Paper of
the Inaugural Tanzanian Development Forum, 2004
41. “Debt Relief, Sustainable Development and Achieving the
Millennium Development Goals in Sub Sahara Africa” Paper
presented at the G24 Meeting in Pretoria South Africa, 2004
42. "Aid, Growth and Achieving Millennium Development Goals in
Tanzania” Paper presented at the UNU-WIDER Conference on
Aid: Principles, Policies and Performance, 16-17 June 2006
43. "External Evaluation of African Capacity Building Foundation
ACBF" with Daima Associates June 2006
44. "Democracy and Economic Development in Africa" Theme
Report presented at the 54th Congress of the Liberal
International, Marrakesh, Morocco 9th to 11th November
2006
45. “Initiating and Managing Structural Transformation in Least
Developed Countries” Background paper prepared for the
United Nations Conference on Trade and Development, Least
Developed Countries, November 2007
46. “Midterm Review of The African Economic Research
Consortium’s Strategic Plan 2005-2010” March 2008
47. “From Ujamaa to Demokrasia Prospects of Democracy and
Economic Development in Tanzania” Presentation at National
Endowment for Democracy NED, Washington D.C., 9th
December 2011
48. “Key Issues on Building an institutional framework to promote
democracy and economic development in Tanzania” A
Research Paper, National Endowment for Democracy NED,
Washington D.C., March 2012
49. “Scan of Key Trends in Tanzania and Their Implications for
Children” Consultancy Report to UNICEF, Dar es Salaam, 2013
50. “Review of A Business Plan for Development of Cashew Nut
Processing Factories in Mtwara, Coast and Ruvuma Regions
Under Public-Private Partnership Model” Consultancy Report
to Cashewnut Board of Tanzania, February 2016
51. “Industrial policy for Tanzania in the midst of the fourth
industrial revolution” Presentation at REPOA’s 21st Annual
Research Workshop, April 2016
52. “Reality and Perception of Tanzania Economic Performance”
Policy Advisory Note November 2018
Kumbe ndiyo maana amechamganyikiwa
 
Saint Anne

JF-Expert Member
Aug 19, 2018
26,260

Hivi huyu mzee kwa CV hii bado anahangaika na siasa za nini?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom