Ally Kombo
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 11,429
- 2,653
Amejiandaa wiki mbili za mwisho kumtukana Lowassa.Huyu mzee kweli kachanganyikiwa.Haamini kama kweli watu wamemtosa. Mi mwenyewe nilikuwa nakupenda sana lakini kwa sasa NIMEMDHARAU upeo!!!Sipendi watu WAJINGA mimi.
braza unaweza kujiheshimu walau kidogo.........matusi hayafai
Lowassa ndo ana maadili !? au yule 'Mwenyekiti' aliye enda kupiga mikasi na hawara kwa allowance ya Bunge hapo Dubai!? kibaravumba
Ninamhurumia sana Kikwete. Laiti kama bidii na nguvu anazotumia kupambana na Mungu angeitumia kuboresha maisha , leo hii Tanzania ingelikuwa ni hadithi nyingine duniani.
Maskini Jakaya anaponzwa na kutokumjua Mungu wala Uweza wa Nguvu zake. Mwisho wa yote atawaponza na anoawatumia kama vile farao wa Misri alivyowaponza wamisri na wanajeshi wake katika bahari ya shamu wakati kawatuma kuwafukuzia wana wa Israel.
Hivi Ccm kwa nini hammpi ushauri huyu mtu? Ni nani alimdanganya kwamba Tanzania ni mali ya ccm? Atasemaje kwamba Tanzania inautawala wa kidemokrasia ikiwa yuko tayari kumtumikia shetani hata kuangamiza taifa ili mradi maslahi yake yalindwe?
Kikwete amefanya nini kibaya hicho ambacho anatumia kila njia kuhakikisha anaweka mamluki wake serikalini la sivyo huu utakuwa mwisho wake?
Kwa nini asikumbuke namna Watanzania walivyomkabidhi nchi ikiwa na ahueni tena kwa amani na kumwacha kwa miaka kumi hata alipokuwa ameiharibu nchi namna hii?
Ni binadamu wa namna gani aliyejaa viburi, visasi na uharibifu mkuu namna hii?
MWAMBIENI HAWEZI KUWA NA UWEZO KULIKO MUNGU. MWISHO WA SIKU LAZIMA MUNGU AJITUKUZE.
kaka yangu ally komnbo ccm wametidanganya miaka nenda ya kutipatia mahakama ya kadhi na wakatianzishia bakwata si kwa waislam bali kwa manufaa yao bado hujashtika tu'
toroka uje my brother
Maskini kodi za Wananchi,watoto wanakaa chini,wakina mama wanajifungua vichochoroni,vijana wameharibika kwa madawa ya kulevya,wananchi wanachangishwa ujenzi wa maabara huku mamilioni yanalipwa kwa wapinga demokrasia na wabakaji wa weledi pamoja na kununua wanasiasa mamluki..Eee MUNGU, OKOA TANZANIA kutoka katika rangi ya Kijani na njano!!MTANZANIA kwa kupiga kura yako moja kwa LOWASSA utakuwa tayari umeikomboa nchi yako!!
View attachment 293459
hahahaha kwa hapa tulipo hatuwezi rudi kwenye ujima .nadhani kila mtu anakumbuka ujima namna ilivyo kuwa shida kuwabeba mabwenyenye yenye matumbo makukwa kilo 120 wakati mmebaji una kilo 40wadau.
Kuwatonya tu slaa amerejea mjini dar es salaam jana akitokea marekani.
Maandalizi yanafanyika kwa umakini wiki ijayo aendelee na mashambulizi.
Be first to know
Hivi bado ana-impact yoyote huyu mtu? Labda aitishe conference ya kuchukua kadi rasmi ya ccm,! Hata hivyo,nadhani hii tamaa ya Dr na Mkewe imepita kipimo. Mungu atawahukumu hapa hapa,
Slaa ndo nani
wewe hutoi kinyesi !
Mabadiliko Lowassaaa, Lowassa mabadilikooooo mpiga pushup tupa kuleeee.