Skyworth vs Bruhm TV SHOW 24"

Skyworth vs Bruhm TV SHOW 24"

Sam 2013

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2013
Posts
484
Reaction score
492
Habari ya muda huu wakuu!
Nimepita showroom nikakuta hizi product Skyworth na bruhm. Zote zina king'amuzi cha ndani, USB port na HDMI port.
Nimependa muonekano wa picha zake. Napenda kupata ushuhuda kwa mtu anayetumia aina mojawapo kati ya hizi. Asanteni
 
mkuu hao bruhm sidhani.hata kama website wanayo, hao skyworth kidogo wapo online lakini hata nao sina imani nao.

tv nunua samsung au lg ukikosa tafuta brand kubwa nyengine kama sony, sharp etc

kama budget ndogo na unataka mchina nunua TCL, bei zao ni ndogo kama wachina wengine na wana smart tv za roku, pia wapo Tanzania incase kuna matengenezo au tatizo. ni brand kubwa ipo duniani kote.
 
Nashukuru sana mkuu. Ngoja niicheki TCL. Ikishindikana itabidi nichukue brand kubwa.
Shida ya hizo brand kubwa zenye king'amuzi ndani ni kuanzia nchi 32. Kwa brand kubwa ningeweza kuchukua 24".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom