Skype

Skype

kimbendengu

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
7,967
Reaction score
14,991
nimeinstall skype nikajaribu kufungua majibu ni haya zimekuja options za lugha nimechagua english halafu neno lililo fuata ni open kpad baada ya kufungua hizi kpad hakuna kilicho endelea naomba kuelekezwa simu yangu ni nokia asha 311 asante
 
Skype ya nini kwenye simu ndugu. vitu vingene una jaza simu tu bila sababu afu mwisho unafungua thread simu inazngua mara virus kumbe ni mizigo siyo na sababu. skype n mtando mkubwa saaana na ili kutumia lazima uwe na stable internet ndio una wez kumake kall na mpaka sasa sija ona Nokia asha yenye 3G sasa we una hangaika na video call ya kazi gani wakati hiyo simu hata rare camera hamna. jaribu kutumia social kama facebook video call ni rahisi na inatumia hata net afifu kidogo jarbu hangout pia ni nzuri. atleast ntaona umefanya kitu na hizi zote ni nzuri kweny laptop au desktop kwa simu una onea tu japo sipo application za simu ila kibongo bongo huwezi enjoy vilivyo koz ya internet. so usimind ni wazo langu tu nime share na wewe u can tke it o liv t
 
Nisaidie nami nimeinstall kwenye pc ila imeniambia nifanye window registration and upon this process inasumbua kipengele cha mwisho kwnye kuandika nambari ya simu wananiambia niache nafasi,nitumie mabano,mara square bracket.Dah hata sielewi wapi niweke nini.!?

Msaada kwa kweli.!!!!
 
Skype ya nini kwenye simu ndugu. vitu vingene una jaza simu tu bila sababu afu mwisho unafungua thread simu inazngua mara virus kumbe ni mizigo siyo na sababu. skype n mtando mkubwa saaana na ili kutumia lazima uwe na stable internet ndio una wez kumake kall na mpaka sasa sija ona Nokia asha yenye 3G sasa we una hangaika na video call ya kazi gani wakati hiyo simu hata rare camera hamna. jaribu kutumia social kama facebook video call ni rahisi na inatumia hata net afifu kidogo jarbu hangout pia ni nzuri. atleast ntaona umefanya kitu na hizi zote ni nzuri kweny laptop au desktop kwa simu una onea tu japo sipo application za simu ila kibongo bongo huwezi enjoy vilivyo koz ya internet. so usimind ni wazo langu tu nime share na wewe u can tke it o liv t

asha 311 ina 3g
 
nimeinstall skype nikajaribu kufungua majibu ni haya zimekuja options za lugha nimechagua english halafu neno lililo fuata ni open kpad baada ya kufungua hizi kpad hakuna kilicho endelea naomba kuelekezwa simu yangu ni nokia asha 311 asante

simu za java zinataka app yenye resolution sawa na ya simu. simu yako ni 240x400 hivyo na app yako iwe resolution hio hio ikiwa tofauti itakwama tu njiani.

je wewe hio skype umeidownload wapi? ni vyema ukadownload ovi store.
 
Back
Top Bottom