mfereji maringo JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 1,043 Reaction score 263 Nov 18, 2011 #1 naomba msaada wa jinsi ya kutumia skype tayari nimeregist na kama kuna mtu ana materia ya networking tafadhali
naomba msaada wa jinsi ya kutumia skype tayari nimeregist na kama kuna mtu ana materia ya networking tafadhali
M macinkus JF-Expert Member Joined Sep 15, 2007 Posts 260 Reaction score 22 Nov 18, 2011 #2 kompyuta yako inahitaji kuwa na camera kama unataka vedio calls za bure kwa watu ambao wamejiandikisha kama wewe kwenye skype macinkus
kompyuta yako inahitaji kuwa na camera kama unataka vedio calls za bure kwa watu ambao wamejiandikisha kama wewe kwenye skype macinkus
Iyokopokomayoko JF-Expert Member Joined Sep 15, 2011 Posts 1,785 Reaction score 444 Nov 18, 2011 #3 mfereji maringo said: naomba msaada wa jinsi ya kutumia skype tayari nimeregist na kama kuna mtu ana materia ya networking tafadhali Click to expand... kwangu ilikuwa inasababisha computer kuwa slow sana sijuwi kwa wengine, wengine wanashauri google talk plugin ndo nzuri kuliko skype
mfereji maringo said: naomba msaada wa jinsi ya kutumia skype tayari nimeregist na kama kuna mtu ana materia ya networking tafadhali Click to expand... kwangu ilikuwa inasababisha computer kuwa slow sana sijuwi kwa wengine, wengine wanashauri google talk plugin ndo nzuri kuliko skype
sijui nini JF-Expert Member Joined Sep 29, 2010 Posts 2,553 Reaction score 1,293 Nov 18, 2011 #4 macinkus said: kompyuta yako inahitaji kuwa na camera kama unataka vedio calls za bure kwa watu ambao wamejiandikisha kama wewe kwenye skype macinkus Click to expand... skype ipo bomba tu mkuu na wengi wanaitumia...cha kufanya download software yao ni free just google it then install..baada ya hapo login kwa kutumia details zako ulizo register...done!
macinkus said: kompyuta yako inahitaji kuwa na camera kama unataka vedio calls za bure kwa watu ambao wamejiandikisha kama wewe kwenye skype macinkus Click to expand... skype ipo bomba tu mkuu na wengi wanaitumia...cha kufanya download software yao ni free just google it then install..baada ya hapo login kwa kutumia details zako ulizo register...done!
M mzee wandimu JF-Expert Member Joined Sep 23, 2011 Posts 470 Reaction score 232 Nov 18, 2011 #5 iko safi mkuu! ukifuata maelekezo ya mkuu hapo juu! safi kabisa! unaweza ukaatendi hata vipind bila shida!
iko safi mkuu! ukifuata maelekezo ya mkuu hapo juu! safi kabisa! unaweza ukaatendi hata vipind bila shida!
mfereji maringo JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 1,043 Reaction score 263 Nov 19, 2011 Thread starter #6 nashkuru sana