mkuu movie itakuwa released on October 26 na itafika cinema za huku November 9. hawajatangaza watatoa DVD yake lini ila kwa style ya siku hizi ya kuchelewesha DVD, naona mwezi wa pili next year. itabidi uwe patient mkuu

hasara walopata disney na john carter yao imeyapa fundisho makampun ya movie hawatoid dvd mapemaaaa.
Avenger imetoka may ila dvd yake imetoka august mwishon. Na wamekula bonge la faida
Duu!! ile movie yenye mijitu yenye mikono minne minne imewaingizia hasara??
Huyu James Bond mpya Daniel Craig kwa kweli hanivutii.
Sinema zake zote mbili zilizopita zishasahaulika. wengine hata story line zake zimetutoka.