Godee jr
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 1,906
- 2,699
Habari wakuu. Natarajia kupokea pesa toka nje ya nchi na moja ya njia ambazo mteja Wangu anatumia kulipa ni Skrill na pay pall.
Nimeshafungua account ya Skrill ila naomba kupata uzoefu ni jinsi gani nitaweza kuamisha pesa toka Skrill kuzileta kwenye account yangu ya bank.
Na je itachukua muda gani kumalizika hiyo transaction nikimaanisha tangu kutumwa kwa pesa hadi kumalizika kwa taratibu za kuamishia pesa kwenye bank account yangu na Mimi kuweza kuitumia.
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu wakuu
Post sent using JamiiForums mobile app