Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,302
- 96,520
Mi nikitizama hiki kipindi, nakumbuka matokeo ya 2012 na kukubali baraza la mitihani la taifa halina makosa yoyote. Yale matokeo yalikuwa sahihi!Ukitizama kile kipindi unaweza zaba mtoto wa mtu kituo cha daladala hata hajakukosea.
Unahisi na yeye ni kilaza.