Njia kuu yako ndo mchepuko wa mwenzako kila mtu akibaki njia kuu huoni foleni ake itakavokua halaf njia kuu ina miba ahhhhahhha CYBERTEQ alikua wa kupotezea muda siku ziende alieshikilia uskani yupo hasa hata yy anamjua isikupe shaka.hiyoooooo
Afanaaleki!!!
Sasa vimini viwe vinavaliwa wapi.........?.......kwa mfano........
Night club na chumbani .... lol
Chumbani nivae sketi fupi........!!!!......jamani jamani..........
Well.......zinavaliwa ndio........ila....
Dada hujanitambulisha,,,,,,,,,,, hata siku ya reception party yetu sikumuona
Hahaaa ulivyoongea kwa huruma... ngoja nianze kesho kuvaa ndefu
Hahahahahaaaaa,, umeshashikishwa meza na boss wewe sasa umezeeka na boss hakutaki tena ndio mana unataka ujidai kuvaa ndefu kuanzia kesho.
Mbona kazi mngejitambua .......nyie wanaume tungekuwa tunawapigia magoti daily.
Unataka maneno na mimi au????
hahah ana hamu huyo ila msamehe kukukosa tena hapana kwa kweli
Hahaaaa ban la siku moja lanitosha ila sihitaji tena sasa....
wify yng wa hiariDada wa hiyari...kwikwikwiii!