skinny VS Fatty | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

skinny VS Fatty

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Jun 15, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,495
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  [​IMG] Hapo zamani hasa katika desturi na mitazamo ya mila za kiafrika, mwanamke aliyeolewa akiwa mnene alipongezwa kwa kupata mume tajiri na pia kama hajaolewa wanaume walimpapatikia kwa kuwa ana dalili ya afya njema.
  Katika kizazi cha leo meza zimegeuzwa na kumezuka mabishano ya nani zaidi katika ya mwanamke mnene au mwembamba (skinny VS Fatty).
  Pia kumekuwa na juhudi za wanawake kupunguza unene tofauti na zamani.

  Sipendi kufahamu kile unawaza au kufikiri bali napenda kujua uhalisi wa uzoefu wako je, mwanamke mnene na mwembamba nani zaidi?

   
Loading...