Skin jeans habari ya mjini

Skin jeans habari ya mjini

Tunaelekea kule tulipotoka.....

Kutembea bila nguo ila kufunika dudu na ngozi au magome ya mti huku matiti wazi
 
moja kati ya vazi zuri sijaapata kuona unakuwa comfortable usipime
 
Tungepata viongozi waothubutu kama Yoweri Mseveni na wengine wakaweka sheria against uuvaji wa holelaholela nafikiri Maadili, heshima, Makunzi etc. yangerudi

Na hata michepuko ingekwisha kama sio kupungua.
 
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom