ikipendaroho
JF-Expert Member
- Jul 26, 2015
- 3,901
- 3,858
Mkuu Sizonje ameacha kuchanganyikiwa anawashika na kuwapa adhabu kali mashabiki sasa.Kausoma mkuu
Ni sizonje ni mwinyi mkulu au mungu mdogo wa ukanda wa Tanzania.Ninaomba msaada. Nini maana ya neno Sizonje?
Anahangaika mno...Haha nasikia anatutafuta kwa udi na uvumba!!
Sizonjeee hahahahahaheti nasikia yeye ndio analishauri baraza LA mawaziri badala ya wao kumshauri,sizonje ni giniaz
Dakika ya ngapi hiyo ...Mkuu Sizonje ameacha kuchanganyikiwa anawashika na kuwapa adhabu kali mashabiki sasa.
Hii ni hatari sana.
Lazima avunjike mbavu kama atasoma huu Uzi...Hahahaa...kama kweli anausoma huu uzi naamini na yy aliko anacheka balaa...
SIZONJE sijui anapeleka wapi timu.....
Alafu mbona Sizonje amepewa majina mengi this time?.......
Mala Juma Ponda Mali ,Mala Nyampala,Tembo, Sasa nasikia anaitwa Trump ......
Kuna ukweli juu ya majina ya Shizonje?.......