Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
Ni kweli usemacho. Tusitangulize ushabiki mbele katika hili. Think tanks wa chadema wakae chini na kutafuta namna ya kuvuka mtihani huu. Vinginevyo mpasuko na mmeguko utaendelea
Tangu zzk afurushwe cdm sasa mwaka wa pili na cdm ndio inazidi kupasua anga