Siyo Siri CHADEMA Imepata Jeraha

Siyo Siri CHADEMA Imepata Jeraha

Hakuna kitu kama hicho, wasiwasi wako tu. Hao wote wanaoonekana kwenye mikutano inayorushwa live wamekodiwa, nasikia kila mmoja kavuta 50,000. Je wanaubavu wa kuendelea kulipa watu wote watakaokuwa wanahudhuria mikutano yao. Hata kama itakuwa hivyo tutahoji wamepata wapi fedha hizo

Kwa akili ya kawaida tu, unafikiri pesa za madoido yote hayo wamepata wapi?
Nyie watu nyie..mikutano ya chadema tu ndio inakuwa imejaa watu/wafuasi halali?CCM na wengine wanaleta mamluki,wengie wanaletwa na mabasi kutoka sehemu nyigine ili kujaza mikutano, hivi hamjishangai nyie mikutano yenu tu ndio inakuwa wafuasi halali?
 
Mkuu naungana na wewe,watu wanachukulia ki utaniutani lakini practicaly chadema itaathirika sana,tuchukulie mfano kigoma ambapo wananchi wana hasira sana na chadema baada ya watu wao(Zito na kafulila)kufukuzwa ni kura ngapi zitapotea hasa ukizingatia kwa sasa upinzani unataka kuchukua dola kwa namna yoyote ile ku ignore kura za kigoma kwa mfano ni kosa kubwa sana kwa Ukawa,somthing urgent need to be done.Nafikiri viongozi wa juu wanafaham hilo kazi kwao.

Unaweza kuweka takwimu sahihi hapa juu ya tangu Zitto awepo huko Kigoma CHADEMA katika majimbo yote ina Wabunge wangapi? pia kuna Madiwani wangapi wa CHADEMA katika wilaya zote huko Kigoma, tambua kuwa Zitto huko Kigoma ameiporomosha sana CHADEMA na hakuwepo kwa ajili ya kuijenga CHADEMA bali alichokuwa akikifanya ni kujijenga yeye binafsi na ndio maana hata katika uchaguzi mkuu uliopita 2010 hakujihusisha kumpigia kampeni Dr. Slaa.
 
Kwa vyovyote vile chadema wamepoteza kura nyingi sana maana watu wengi wanaojiunga ACT wanatoka chadema.

Huko ni kujidanganya kuwa waliojiunga wengi wanatoka cdm peke yake,wengi wametoka ccm na wataendelea kutoka ccm
 
CHADEMA wanafanya kazi kwa kuongozwa na hisia sana. Kwa nchi zilizoendelea hata kama mwanasiasa amethibitika anakihujumu chama, ila as long as ana impact ndani na nje ya chama, sometimes its normal to work with the devil!
 
Mimi pamoja na familia yangu pamoja na marafiki wangu watano tumechoma kadi za uachama wa chadema pamoja na nguo zao, chama gani cha ukabila na ukoo namna ile.
kutoka watu 12 ndani ya chadema ni pengo, huoni kwamba ni hasara?

ImageUploadedByJamiiForums1427685809.058189.jpg
Majibu hayo hapo juu. Hapo ni Iringa week end hii
 
Mimi pamoja na familia yangu pamoja na marafiki wangu watano tumechoma kadi za uachama wa chadema pamoja na nguo zao, chama gani cha ukabila na ukoo namna ile.
kutoka watu 12 ndani ya chadema ni pengo, huoni kwamba ni hasara?

Hongera kwa kukihama CDM,kila la kheri huko uendako.Ngoja tusubiri CDM kikipasuka kwa kuhamwa na watu type yako.Watu 12 ni wachache kidogo,nakushauri uchukue kijiji kizima hapo ulipo ili CDM kife mapema zaidi.
 
Chadema kama taasisi imepata jeraha kubwa. Jeraha hili linahitaji tiba madhubuti ili lisikigharimu chama. Maana viongozi waliopo ACT wanajua siri zote za chadema. Walikuwa wanashiriki vikao vya ndani kabisa vya chama. Ni sawa na kuachana na mke/mume. Hakuna wa kujivuna. Bali akili lazima itulie ili kuendelea na maisha mapya. Na usipo kaa vema utaishia kunywa pombe au kufanya ukahaba kwa kuchanganyikiwa.

Na ndiyo maana kwa mnaofuatilia kinachoendelea ukumbi wa Diamond Jubilee. Kuna mwanadada muigizaji alipotupa dogo linaloilenga chadema ukumbi mzima ulilipuka kwa shangwe. Nitanikuu "kumpiga chura teke ni kumpunguzia safari".
Ati wanajidai wako makini!
Hawajui siasa ni kuvumiliana kwa lengo kubwa zaidi, CCM pamoja na madudu ya Lowassa inaishia kutoa natamko tu lakini hawawezi kumtimua.
Hiyo ndo siasa.
Siyo siri, wamejeruhiwa.
 
Chadema kama taasisi imepata jeraha kubwa. Jeraha hili linahitaji tiba madhubuti ili lisikigharimu chama. Maana viongozi waliopo ACT wanajua siri zote za chadema. Walikuwa wanashiriki vikao vya ndani kabisa vya chama. Ni sawa na kuachana na mke/mume. Hakuna wa kujivuna. Bali akili lazima itulie ili kuendelea na maisha mapya. Na usipo kaa vema utaishia kunywa pombe au kufanya ukahaba kwa kuchanganyikiwa.

Na ndiyo maana kwa mnaofuatilia kinachoendelea ukumbi wa Diamond Jubilee. Kuna mwanadada muigizaji alipotupa dogo linaloilenga chadema ukumbi mzima ulilipuka kwa shangwe. Nitanikuu "kumpiga chura teke ni kumpunguzia safari".

Jaribu kufikiri kidogo. Naiamini taasisi hiyo na ninaamini hawakuwa na namna bali kutimua tu watu wa aina ile. Hata wanaowaacha wenza wao huwa wanafahamu madhara lakini wanakuwa hawana namna bali kuacha. Na kwa umakini wa CHADEMA pamoja na unachokiona kuwa ni jeraha mambo yataenda tu maana waliona kabla kabla ya kumpiga chura teke. Mpaka ACT iwe kama CHADEMA nitakuwa nimesha kufa.
 
Hakuna kitu kama hicho, wasiwasi wako tu. Hao wote wanaoonekana kwenye mikutano inayorushwa live wamekodiwa, nasikia kila mmoja kavuta 50,000. Je wanaubavu wa kuendelea kulipa watu wote watakaokuwa wanahudhuria mikutano yao. Hata kama itakuwa hivyo tutahoji wamepata wapi fedha hizo

Kwa akili ya kawaida tu, unafikiri pesa za madoido yote hayo wamepata wapi?

Ushahidi mkuu japo orodha ya majina au mfumo uliotumika kuwalipa??!!!
 
Afande Sele anasema kocha wa ....anafukuza wafunga magoli kila mara fainali inapokaribia. Ametoa mfano kwamba 2010 striker Kafulila alifukuzwa siku chache kabla ya uchaguzi mkuu na sasa amefukuzwa mfunga magoli mwingine. Sasa wenye akili akina Afande Sele wamefanya maamuzi makini.

Maneno haya yanaposikilizwa na wananchi wa Mwitongo, Nakapanya na Kaliua wengine yanawaingia akilini. Chadema ifanye kila linalowezekana kuzuia sumu hii kali kupenya kwenye vichwa vya watanzania.
Watnzania SI wajinga kiasi hicho, kama kweli Zzk Ana madhara kwa cdm tutaona out come ya ukawa baada ya uchaguzi mkuu!
 
Mtoto wa kiume akimbaka mama yake na mama kama ana akili timamu lazima amlaani....hawezi kumsamehe eti kisa ni mwanae....Ayatollah Zitto amelaaniwa na chadema kwa hiyo chama kimeona njia nzuri ni kumlaani tu bila kujali umaarufu wake.

Kwa kifupi zitto hana tena huo umaarufu kwa watanzania zaidi ya hayo maigizo anayoyafanya kwa watanzania. Chadema walikuwa sahihi waliposema zitto ni mhaini ndani ya chama.

Huwezi kuanzisha chama ndani ya chama ukabaki salama huwezi! Chadema walituambia zitto ndo muasisi wa chama cha ACT tukabeza, leo imeonekana wazi baada ya kufukuzwa ghafla akajiunga na ACT. cha ajabu zaidi alikuwa akisubiriwa yeye ili wazindue chama chao.

Ukiwa unatuhumiwa kwamba, unatembea na mwanamke X ghafla mkaachana na mke wako wa ndoa na siku hiyohiyo ukaenda kulala kwa yule mwanamke X na wiki moja mkafunga na ndoa; hahahaha huitaji elimu ya kindagateni kuelewa jambo hili.

Mwisho, zitto ni mnafiki mkubwa hana lolote mpuuzeni si mwanamageuzi kama anavyojipambanua eti ni mzalendo hana hata hizo chembechembe mpuuzeni.
 
Mwenye data kamili juu ya nini usaliti wa ZZK ndani ya CDM amwage HAPA hadharani,CHADEMA WAKUBALI WAMEUMIA KUODOKA WA ZITO.
 
Mwenye data kamili juu ya nini usaliti wa ZZK ndani ya CDM amwage HAPA hadharani,CHADEMA WAKUBALI WAMEUMIA KUODOKA WA ZITO.

Usitegemee kitu kama hicho. Zaidi wana kale ka toilet paper ka waraka. Mtunzi akiwa Kubenea na TeamMbowe hata Slaa alipohojiwa aliukana na kuuruka kwa kusema hajui umetoka wapi...

Ni woga tu wa mbowe kuogopa ushindani ndani ya chama. Wanahubiri demokrasia mdomoni lakini hawatendi.
 
ACT fanyeni juhudi za kuichukua Kigoma YOTE. CDM maeneo yao yatatwaliwa na mgawanyiko huo. CDM ni chama cha Wachaga pekee. Ni chama cha Kikanda hasa Kaskazini. Maeneo kama Iringa Mjini na Mbeya ni kwa makosa waliyofanya CCM wakati huo. Nao wamejua walijikwaa wapi.

UKAWA sasa kwisha habari yao. Cake yao sasa imemegwa na kwenda ACT. Hiyo pekee itatengeneza njia kwa CCM kujihakikishia ushidi Oktoba na ACT kuambulia maeneo kadhaa. Nakitahilia ACT viti 15 vya Ubungo ifikapo Uchaguzi Mkuu.

Kama wanaakili nzuri,CDM wajipe miaka 5 mbeleni ya kujiandaa na kujipanga. Kwa sasa bado ni wachanga na nchi haitachukuliwa kirahisi kwa uroho wa Madaraka.

Wanawatumia Wafanyabiashara eti wakidhani ni mkakati kumbe ni kunyesa tu Mwenyekiti wao,MCHAGA,MWANA CDM,MINJA!

CDM watakula jeuri yao mwaka huu!

Mkuu jaribu kutulia wakati unaandika!
 
CHADEMA wanafanya kazi kwa kuongozwa na hisia sana. Kwa nchi zilizoendelea hata kama mwanasiasa amethibitika anakihujumu chama, ila as long as ana impact ndani na nje ya chama, sometimes its normal to work with the devil!

...wee unajua maana ya PATIENT ZERO ? mkeo anatoka nje ya ndoa na anaandaa mipango ya kukuua ili arithi mali zako, uta compromise hapo ? basi we hamnazo...!!
 
Last edited by a moderator:
Chadema kama taasisi imepata jeraha kubwa. Jeraha hili linahitaji tiba madhubuti ili lisikigharimu chama. Maana viongozi waliopo ACT wanajua siri zote za chadema. Walikuwa wanashiriki vikao vya ndani kabisa vya chama. Ni sawa na kuachana na mke/mume. Hakuna wa kujivuna. Bali akili lazima itulie ili kuendelea na maisha mapya. Na usipo kaa vema utaishia kunywa pombe au kufanya ukahaba kwa kuchanganyikiwa.

Na ndiyo maana kwa mnaofuatilia kinachoendelea ukumbi wa Diamond Jubilee. Kuna mwanadada muigizaji alipotupa dogo linaloilenga chadema ukumbi mzima ulilipuka kwa shangwe. Nitanikuu "kumpiga chura teke ni kumpunguzia safari".

Unazungumzia jeraha, ATC ilianzishwa na wana C.C.M ili kuiua Chadema, isingekuwa intelijisia nzuri ya Chadema tungekuwa tunaongea mengine hapa
 
Chadema kama taasisi imepata jeraha kubwa. Jeraha hili linahitaji tiba madhubuti ili lisikigharimu chama. Maana viongozi waliopo ACT wanajua siri zote za chadema. Walikuwa wanashiriki vikao vya ndani kabisa vya chama. Ni sawa na kuachana na mke/mume. Hakuna wa kujivuna. Bali akili lazima itulie ili kuendelea na maisha mapya. Na usipo kaa vema utaishia kunywa pombe au kufanya ukahaba kwa kuchanganyikiwa.

Na ndiyo maana kwa mnaofuatilia kinachoendelea ukumbi wa Diamond Jubilee. Kuna mwanadada muigizaji alipotupa dogo linaloilenga chadema ukumbi mzima ulilipuka kwa shangwe. Nitanikuu "kumpiga chura teke ni kumpunguzia safari".
Mwiba ukikuchoma usiogope kuutoa kwa sababu utaacha jeraha. Jeraha lina Tina na dawa ya mwiba ni kuung'oa.
 
Back
Top Bottom