Siyo siri, CCM yangu inapitia wakati mgumu!

Kwa sasa, CCM inapitia wakati mgumu kiuongozi, pengine kuliko wakati wowote ule wa uhai wake.

CCM ilijigeuza kutoka chama cha ukombozi na kuwa chama cha kuleta maendeleo na ustawi kwa wananchi wa Tanzania katka nyanja zote.

CCM ni chama kinachoongozwa na watu, watu ambao kila mmoja ana mawazo yake, matamanio yake na ndoto zake.

CCM imetoka mbali kiuongozi, toka maono ya Mwalimu, liberalism ya Mwinyi, practicality ya Mkapa na Kikwete, na uthubutu wa Magufuli.
Sasa tunaye mama Samia.

Ni kipindi hiki cha mama, kisiasa kimekuwa kigumu, ingawaje kiuchumi hali si mbaya sana.
Bahati mbaya kuna siasa za makundi na ubinafsi katika kushika uongozi wa juu wa CCM, siasa zilizo asisiwa kipindi cha Kikwete.

Athari zake zile hazikuwa nzuri, lakini athari zake zipo hadi leo.

Kwa hakika katika Mkutano Mkubwa wa CCM, January 2025, alichosema Kikwete, Mwenyekiti mstaafu wa CCM, kiliwazindua watu wengi.

Bila kufuata katiba ya chama, Kikwete alisema jina la mgombea wa nafasi ya urais 2025 ni moja, na ni mama Samia.

Kikwete alitakiwa kuwa very tactful na tamko lake, wangi walionekana wanashangilia, lakini kama siasa za kiTanzania zilivyo kuna waliokereka.

Kuna wanaodiriki kusema Kikwete anaitazama 2030, kufagili nafasi ya mwanaye Ridhiwani kushika nafasi za juu Kitaifa.

Matatizo ya tamko la Kikwete ndio sasa tunaanza kuyaona.
Umoja wa wana CCM umetetreka sana.
Siasa za vikundi zimeshamiri.
Twasikia mitandaoni ati kuna kundi la Bashe.

Jamani nani kaifikisha CCM hapo tulipo?
Mambo si shwari, pole CCM yangu.
Mungu ataendelea kumsimamia kama alivyomsimamia mwanzo kutoka kwa binadamu wachache wenye hila na waongo waliokubuhu.
 
CCM maslahi wanaojiita Wazalendo na kuita wenzao wahuni waache uhuni na wampe nafasi Rais aliyepo aongoze.

Ila wakishupaza mtamkuta Lisu ikulu harafu ndio mtasaga meno
 
Sasa zombie km ww ni nani? si wa kupuuzwa tu? Undenì chama chenu cha "Sukuma gang" CCM ni imara sasa hv kuliko wakati mwingine wowote hakuna wa kuiteteresha, mtakuja kubweka humu km misukule ambapo wanachama wengi na wapiga kura halisi ht hawamo.
ccm imala kwa kuteka ,kujua ,fitina na ulozi
 
CCM wengi mnaijua juu juu nakumbuka Mwaka 2005

Nilikiwa kwenye gari la kampeni la Jakaya Kikwete

Tukatumiwa mesej kwamba mgombea wenu asitoe kichwa nje ya gari kusalimia watu maana tutammwaga ubongo dah

Nakumbuka sana tukajawa na hofu vituo Kama 7 hatukusimama

Mengine ntaeleza Kesho
Chai
 
Kwa sasa, CCM inapitia wakati mgumu kiuongozi, pengine kuliko wakati wowote ule wa uhai wake.

CCM ilijigeuza kutoka chama cha ukombozi na kuwa chama cha kuleta maendeleo na ustawi kwa wananchi wa Tanzania katka nyanja zote.

CCM ni chama kinachoongozwa na watu, watu ambao kila mmoja ana mawazo yake, matamanio yake na ndoto zake.

CCM imetoka mbali kiuongozi, toka maono ya Mwalimu, liberalism ya Mwinyi, practicality ya Mkapa na Kikwete, na uthubutu wa Magufuli.
Sasa tunaye mama Samia.

Ni kipindi hiki cha mama, kisiasa kimekuwa kigumu, ingawaje kiuchumi hali si mbaya sana.
Bahati mbaya kuna siasa za makundi na ubinafsi katika kushika uongozi wa juu wa CCM, siasa zilizo asisiwa kipindi cha Kikwete.

Athari zake zile hazikuwa nzuri, lakini athari zake zipo hadi leo.

Kwa hakika katika Mkutano Mkubwa wa CCM, January 2025, alichosema Kikwete, Mwenyekiti mstaafu wa CCM, kiliwazindua watu wengi.

Bila kufuata katiba ya chama, Kikwete alisema jina la mgombea wa nafasi ya urais 2025 ni moja, na ni mama Samia.

Kikwete alitakiwa kuwa very tactful na tamko lake, wangi walionekana wanashangilia, lakini kama siasa za kiTanzania zilivyo kuna waliokereka.

Kuna wanaodiriki kusema Kikwete anaitazama 2030, kufagili nafasi ya mwanaye Ridhiwani kushika nafasi za juu Kitaifa.

Matatizo ya tamko la Kikwete ndio sasa tunaanza kuyaona.
Umoja wa wana CCM umetetreka sana.
Siasa za vikundi zimeshamiri.
Twasikia mitandaoni ati kuna kundi la Bashe.

Jamani nani kaifikisha CCM hapo tulipo?
Mambo si shwari, pole CCM yangu.
 
Kwa sasa, CCM inapitia wakati mgumu kiuongozi, pengine kuliko wakati wowote ule wa uhai wake.

CCM ilijigeuza kutoka chama cha ukombozi na kuwa chama cha kuleta maendeleo na ustawi kwa wananchi wa Tanzania katka nyanja zote.

CCM ni chama kinachoongozwa na watu, watu ambao kila mmoja ana mawazo yake, matamanio yake na ndoto zake.

CCM imetoka mbali kiuongozi, toka maono ya Mwalimu, liberalism ya Mwinyi, practicality ya Mkapa na Kikwete, na uthubutu wa Magufuli.
Sasa tunaye mama Samia.

Ni kipindi hiki cha mama, kisiasa kimekuwa kigumu, ingawaje kiuchumi hali si mbaya sana.
Bahati mbaya kuna siasa za makundi na ubinafsi katika kushika uongozi wa juu wa CCM, siasa zilizo asisiwa kipindi cha Kikwete.

Athari zake zile hazikuwa nzuri, lakini athari zake zipo hadi leo.

Kwa hakika katika Mkutano Mkubwa wa CCM, January 2025, alichosema Kikwete, Mwenyekiti mstaafu wa CCM, kiliwazindua watu wengi.

Bila kufuata katiba ya chama, Kikwete alisema jina la mgombea wa nafasi ya urais 2025 ni moja, na ni mama Samia.

Kikwete alitakiwa kuwa very tactful na tamko lake, wangi walionekana wanashangilia, lakini kama siasa za kiTanzania zilivyo kuna waliokereka.

Kuna wanaodiriki kusema Kikwete anaitazama 2030, kufagili nafasi ya mwanaye Ridhiwani kushika nafasi za juu Kitaifa.

Matatizo ya tamko la Kikwete ndio sasa tunaanza kuyaona.
Umoja wa wana CCM umetetreka sana.
Siasa za vikundi zimeshamiri.
Twasikia mitandaoni ati kuna kundi la Bashe.

Jamani nani kaifikisha CCM hapo tulipo?
Mambo si shwari, pole CCM yangu.
Bunge likivunjwa rasmi tutaona mengi.
 
Kila lenye mwanzo halikosi mwisho.
 
Hii sintofahamu inataka kulazimisha tuanze kurudisha lisaa la wakati nyuma wakati tayari ni saa 6. Inavyoonekana (kwa mujibu wa mabandiko ya wadau humu) kila ikifika kamili kuna king'ora. Sasa ilipofika saa sita kamili ni kama king'ora hakikupigwa...wala vile vimulio wa saa vya tiipu tiipu tiipu havikusikika. Wadau wakapoteza kumbukumbu wakabaki na pungufu ya lisaa...! Sasa, lisaa lirudishwe nyuma tuwabebe wote ki kumbukumbu ama watakuja wenye kwa TZ ileveni?
 
Kwa sasa, CCM inapitia wakati mgumu kiuongozi, pengine kuliko wakati wowote ule wa uhai wake.

CCM ilijigeuza kutoka chama cha ukombozi na kuwa chama cha kuleta maendeleo na ustawi kwa wananchi wa Tanzania katka nyanja zote.
Ni hekaheka za uchaguzi. Hakuna wakati wa uchaguzi miaka yote, ccm isipate Changamoto. Ni kawaida
 
CCM wengi mnaijua juu juu nakumbuka Mwaka 2005

Nilikiwa kwenye gari la kampeni la Jakaya Kikwete

Tukatumiwa mesej kwamba mgombea wenu asitoe kichwa nje ya gari kusalimia watu maana tutammwaga ubongo dah

Nakumbuka sana tukajawa na hofu vituo Kama 7 hatukusimama

Mengine ntaeleza Kesho
Duh 🙄
 
Inapokuja wakati wa mabadiliko ya uongozi, ama undelee ama ukome kihalai au kikatiba, figisu zinakuwa nyingi sana.
Imagine wapambe au machawa watakaokosa au kuendeleza ullaji wao.

Mara nyingi tatizo si mlengwa, bali combine ya machawa na wapambe.

1980, Mwalimu aligundua hilo , maana alipotaka kutogombea wapambe wa karibu walimwambia, Mwalimu ukiondoka madarakani nchi itayumba.

Mwalimu alilisema hadharani kuwa kumbe ni wapambe walioona mkate wao unaweza kukoma kama akiondoka.
Katika moja ya Mkutano Mkuu wa CCM, Mwalimu alisema come 1985, atang’atuka na hatagombea tena Urais.
Ilihitaji ujasiri kusema hivyo.
 
Kambi ya Lowasa ikaungana Sukuma Gang kama walivyokuwa wanawaita mwisho wa siku CCM kwenye Madaraka yataisha
 
Kwa sasa, CCM inapitia wakati mgumu kiuongozi, pengine kuliko wakati wowote ule wa uhai wake.

CCM ilijigeuza kutoka chama cha ukombozi na kuwa chama cha kuleta maendeleo na ustawi kwa wananchi wa Tanzania katka nyanja zote.

CCM ni chama kinachoongozwa na watu, watu ambao kila mmoja ana mawazo yake, matamanio yake na ndoto zake.

CCM imetoka mbali kiuongozi, toka maono ya Mwalimu, liberalism ya Mwinyi, practicality ya Mkapa na Kikwete, na uthubutu wa Magufuli.
Sasa tunaye mama Samia.

Ni kipindi hiki cha mama, kisiasa kimekuwa kigumu, ingawaje kiuchumi hali si mbaya sana.
Bahati mbaya kuna siasa za makundi na ubinafsi katika kushika uongozi wa juu wa CCM, siasa zilizo asisiwa kipindi cha Kikwete.

Athari zake zile hazikuwa nzuri, lakini athari zake zipo hadi leo.

Kwa hakika katika Mkutano Mkubwa wa CCM, January 2025, alichosema Kikwete, Mwenyekiti mstaafu wa CCM, kiliwazindua watu wengi.

Bila kufuata katiba ya chama, Kikwete alisema jina la mgombea wa nafasi ya urais 2025 ni moja, na ni mama Samia.

Kikwete alitakiwa kuwa very tactful na tamko lake, wangi walionekana wanashangilia, lakini kama siasa za kiTanzania zilivyo kuna waliokereka.

Kuna wanaodiriki kusema Kikwete anaitazama 2030, kufagili nafasi ya mwanaye Ridhiwani kushika nafasi za juu Kitaifa.

Matatizo ya tamko la Kikwete ndio sasa tunaanza kuyaona.
Umoja wa wana CCM umetetreka sana.
Siasa za vikundi zimeshamiri.
Twasikia mitandaoni ati kuna kundi la Bashe.

Jamani nani kaifikisha CCM hapo tulipo?
Mambo si shwari, pole CCM yangu.
Sijui, labda niseme tu; POLE, kwetu sote; lakini hasa hasa, POLE kwenu mliopo ndani ya CCM kwa sababu zenu mbalimbali.

Sikutegemea kuiona CCM kama chama cha siasa baada ya ngwe ya Kikwete; laini kwa miujiza, naona hadi hii leo ipo chini ya Samia!
Ngoja tusubiri miujiza mingine!
 
CCM wengi mnaijua juu juu nakumbuka Mwaka 2005

Nilikiwa kwenye gari la kampeni la Jakaya Kikwete

Tukatumiwa mesej kwamba mgombea wenu asitoe kichwa nje ya gari kusalimia watu maana tutammwaga ubongo dah

Nakumbuka sana tukajawa na hofu vituo Kama 7 hatukusimama

Mengine ntaeleza Kesho
Usisahau pia kugusia mlivyo mwelezea Salim Ahmed Salim kwenye kampeni yenu.
 
CCM wengi mnaijua juu juu nakumbuka Mwaka 2005

Nilikiwa kwenye gari la kampeni la Jakaya Kikwete

Tukatumiwa mesej kwamba mgombea wenu asitoe kichwa nje ya gari kusalimia watu maana tutammwaga ubongo dah

Nakumbuka sana tukajawa na hofu vituo Kama 7 hatukusimama

Mengine ntaeleza Kesho
Wewe naye punguza uongo uongo, utakinaisha blind followers wako maana unakuwa kama yule mwehu kigogo wa twitter
 
Back
Top Bottom