Siyo siri, CCM yangu inapitia wakati mgumu!

CCM wengi mnaijua juu juu nakumbuka Mwaka 2005

Nilikiwa kwenye gari la kampeni la Jakaya Kikwete

Tukatumiwa mesej kwamba mgombea wenu asitoe kichwa nje ya gari kusalimia watu maana tutammwaga ubongo dah

Nakumbuka sana tukajawa na hofu vituo Kama 7 hatukusimama

Mengine ntaeleza Kesho
Mimi nilitapeliwa 2005. Baada ya kuona yal yaliyotokea baadae, sina imani kabisa na huyu anayesema ndio anatupeleka nchi ya maziwa na asali. Tunaenda kuwa watumwa wa himaya yake.

Mungu mwenye huruma, namuomba apatilizie mbali malengo yake yasio na nia njema
 
CCM wengi mnaijua juu juu nakumbuka Mwaka 2005

Nilikiwa kwenye gari la kampeni la Jakaya Kikwete

Tukatumiwa mesej kwamba mgombea wenu asitoe kichwa nje ya gari kusalimia watu maana tutammwaga ubongo dah

Nakumbuka sana tukajawa na hofu vituo Kama 7 hatukusimama

Mengine ntaeleza Kesho
Mtu wa taarifa za uhakika britanicca tuletee updates za kuhusu mama
 
Kwa sasa, CCM inapitia wakati mgumu kiuongozi, pengine kuliko wakati wowote ule wa uhai wake.

CCM ilijigeuza kutoka chama cha ukombozi na kuwa chama cha kuleta maendeleo na ustawi kwa wananchi wa Tanzania katka nyanja zote.

CCM ni chama kinachoongozwa na watu, watu ambao kila mmoja ana mawazo yake, matamanio yake na ndoto zake.

CCM imetoka mbali kiuongozi, toka maono ya Mwalimu, liberalism ya Mwinyi, practicality ya Mkapa na Kikwete, na uthubutu wa Magufuli.
Sasa tunaye mama Samia.

Ni kipindi hiki cha mama, kisiasa kimekuwa kigumu, ingawaje kiuchumi hali si mbaya sana.
Bahati mbaya kuna siasa za makundi na ubinafsi katika kushika uongozi wa juu wa CCM, siasa zilizo asisiwa kipindi cha Kikwete.

Athari zake zile hazikuwa nzuri, lakini athari zake zipo hadi leo.

Kwa hakika katika Mkutano Mkubwa wa CCM, January 2025, alichosema Kikwete, Mwenyekiti mstaafu wa CCM, kiliwazindua watu wengi.

Bila kufuata katiba ya chama, Kikwete alisema jina la mgombea wa nafasi ya urais 2025 ni moja, na ni mama Samia.

Kikwete alitakiwa kuwa very tactful na tamko lake, wangi walionekana wanashangilia, lakini kama siasa za kiTanzania zilivyo kuna waliokereka.

Kuna wanaodiriki kusema Kikwete anaitazama 2030, kufagili nafasi ya mwanaye Ridhiwani kushika nafasi za juu Kitaifa.

Matatizo ya tamko la Kikwete ndio sasa tunaanza kuyaona.
Umoja wa wana CCM umetetreka sana.
Siasa za vikundi zimeshamiri.
Twasikia mitandaoni ati kuna kundi la Bashe.

Jamani nani kaifikisha CCM hapo tulipo?
Mambo si shwari, pole CCM yangu.
Uliwahi kuona wapi wewe? Embu fikiria... wachie wenye kaz yao wafanye JK alisema wachawi wote hawapo.... hii kauli hii kauli
 
Tukatumiwa mesej kwamba mgombea wenu asitoe kichwa nje ya gari kusalimia watu maana tutammwaga ubongo dah
Tatizo hapo lilikuwa ni kusalimia watu au ni nini!?
Maana ingekuwa wanataka kumwaga ubongo wa Kikwete wasingetoa hiyo tahadhari
Ngoja tusubiri uelezee zaidi
 
Kwa sasa, CCM inapitia wakati mgumu kiuongozi, pengine kuliko wakati wowote ule wa uhai wake.

CCM ilijigeuza kutoka chama cha ukombozi na kuwa chama cha kuleta maendeleo na ustawi kwa wananchi wa Tanzania katka nyanja zote.

CCM ni chama kinachoongozwa na watu, watu ambao kila mmoja ana mawazo yake, matamanio yake na ndoto zake.

CCM imetoka mbali kiuongozi, toka maono ya Mwalimu, liberalism ya Mwinyi, practicality ya Mkapa na Kikwete, na uthubutu wa Magufuli.
Sasa tunaye mama Samia.

Ni kipindi hiki cha mama, kisiasa kimekuwa kigumu, ingawaje kiuchumi hali si mbaya sana.
Bahati mbaya kuna siasa za makundi na ubinafsi katika kushika uongozi wa juu wa CCM, siasa zilizo asisiwa kipindi cha Kikwete.

Athari zake zile hazikuwa nzuri, lakini athari zake zipo hadi leo.

Kwa hakika katika Mkutano Mkubwa wa CCM, January 2025, alichosema Kikwete, Mwenyekiti mstaafu wa CCM, kiliwazindua watu wengi.

Bila kufuata katiba ya chama, Kikwete alisema jina la mgombea wa nafasi ya urais 2025 ni moja, na ni mama Samia.

Kikwete alitakiwa kuwa very tactful na tamko lake, wangi walionekana wanashangilia, lakini kama siasa za kiTanzania zilivyo kuna waliokereka.

Kuna wanaodiriki kusema Kikwete anaitazama 2030, kufagili nafasi ya mwanaye Ridhiwani kushika nafasi za juu Kitaifa.

Matatizo ya tamko la Kikwete ndio sasa tunaanza kuyaona.
Umoja wa wana CCM umetetreka sana.
Siasa za vikundi zimeshamiri.
Twasikia mitandaoni ati kuna kundi la Bashe.

Jamani nani kaifikisha CCM hapo tulipo?
Mambo si shwari, pole CCM yangu.
wala usihofu uimara wa chama hutokana na misukosuko inayopitia
 
CCM wengi mnaijua juu juu nakumbuka Mwaka 2005

Nilikiwa kwenye gari la kampeni la Jakaya Kikwete

Tukatumiwa mesej kwamba mgombea wenu asitoe kichwa nje ya gari kusalimia watu maana tutammwaga ubongo dah

Nakumbuka sana tukajawa na hofu vituo Kama 7 hatukusimama

Mengine ntaeleza Kesho
Mkuu wewe ni nguli humunJF, wajua sana kuwa CCM si chama cha kawaida toka siku nyingi.
CCM ni njia panda ya kila kitu, Serikali imo humo, Idara ndio kwao, wajuvi wote na majangili na wahujumu wako humo.

CCM ni sehemu ya kupoozea radiator gari inapochemsha.
 
CCM wengi mnaijua juu juu nakumbuka Mwaka 2005

Nilikiwa kwenye gari la kampeni la Jakaya Kikwete

Tukatumiwa mesej kwamba mgombea wenu asitoe kichwa nje ya gari kusalimia watu maana tutammwaga ubongo dah

Nakumbuka sana tukajawa na hofu vituo Kama 7 hatukusimama

Mengine ntaeleza Kesho
Tunasubiria
 
Kwa sasa, CCM inapitia wakati mgumu kiuongozi, pengine kuliko wakati wowote ule wa uhai wake.

CCM ilijigeuza kutoka chama cha ukombozi na kuwa chama cha kuleta maendeleo na ustawi kwa wananchi wa Tanzania katka nyanja zote.

CCM ni chama kinachoongozwa na watu, watu ambao kila mmoja ana mawazo yake, matamanio yake na ndoto zake.

CCM imetoka mbali kiuongozi, toka maono ya Mwalimu, liberalism ya Mwinyi, practicality ya Mkapa na Kikwete, na uthubutu wa Magufuli.
Sasa tunaye mama Samia.

Ni kipindi hiki cha mama, kisiasa kimekuwa kigumu, ingawaje kiuchumi hali si mbaya sana.
Bahati mbaya kuna siasa za makundi na ubinafsi katika kushika uongozi wa juu wa CCM, siasa zilizo asisiwa kipindi cha Kikwete.

Athari zake zile hazikuwa nzuri, lakini athari zake zipo hadi leo.

Kwa hakika katika Mkutano Mkubwa wa CCM, January 2025, alichosema Kikwete, Mwenyekiti mstaafu wa CCM, kiliwazindua watu wengi.

Bila kufuata katiba ya chama, Kikwete alisema jina la mgombea wa nafasi ya urais 2025 ni moja, na ni mama Samia.

Kikwete alitakiwa kuwa very tactful na tamko lake, wangi walionekana wanashangilia, lakini kama siasa za kiTanzania zilivyo kuna waliokereka.

Kuna wanaodiriki kusema Kikwete anaitazama 2030, kufagili nafasi ya mwanaye Ridhiwani kushika nafasi za juu Kitaifa.

Matatizo ya tamko la Kikwete ndio sasa tunaanza kuyaona.
Umoja wa wana CCM umetetreka sana.
Siasa za vikundi zimeshamiri.
Twasikia mitandaoni ati kuna kundi la Bashe.

Jamani nani kaifikisha CCM hapo tulipo?
Mambo si shwari, pole CCM ya poll
Polepole kafanya jambo Jema sana kwa CCM.Amewavuga kwa wakati muafaka na kwa ghafla kiasi kwamba hakuna kundi lilikuwa limejiandaa kwa pigo la Polepole.
Wahuni wameshtukizwa wasijuea la kufanya.
 
Hakuna dhambi mbaya kama kukiuka kwa makusudi katiba ya CCM, kwa nia isiyo wazi.
Naamini mama Samia kaingizwa huo mkenge bila yeye mwenyewe kutafakari kwa umakini.
 
Sasa zombie km ww ni nani? si wa kupuuzwa tu? Undenì chama chenu cha "Sukuma gang" CCM ni imara sasa hv kuliko wakati mwingine wowote hakuna wa kuiteteresha, mtakuja kubweka humu km misukule ambapo wanachama wengi na wapiga kura halisi ht hawamo.
This country is facing growing challenges that could weaken CCM's longstanding political influence. Interestingly, factions once viewed as threats to national stability now seem to be turning against themselves through internal divisions.
 
Kitwetes "mtandao" phenomenon is turning into an Achilles heel within the ruling party.
 
Ni kweli kabisa mkuu.
Jambonla kuxingatia ni ukweli, kusimamia katiba, umoja na nia njema.
Ndio maana namshangaa Polepole, kwani alikuwa na muda wa kusimamia katiba mpya 2015-2020. Ila wakaamua suala hilo kuwa sio kipau mbele.

Ukweli ni kwamba, CCM inahitaji Katiba mpya zaidi kuliko vyama vingine kutokana na ukweli kwamba chama chenye wanachama wengi kama CCM hakiwezi kuendeshwa kwa tamaduni na kanuni kwa zaidi ya miaka 20.

Eti leo ndio wanaona si vizuri Raisi wa nchi kuwa vilevile ni M/KITI wa chama. Shida ni kwa watawala hao kupenda kujipendelea, ndio maana wakiwa madarakani hawataki kabisa kusikia madiliko ya katiba. Ila wakitoka ndio akili ina wajia na kuanza kelele. Polepole ni Muhuni tu. Swali ikirishi - Polepole na kundi lake waliwapate Wabubge 2020-2025? Ndio utajua kwanini namwita muhuni.
 
Mkuu ukweli na nia njema vitendelez kuwa dira inayohitajika katika ushirikishwaji wa wanachama katika kuendesha nchi.

Mambo yasiyofanyika kwa nia jema ultimately yatawaumbua wahusika.

Kati ya mambo tunamkumbuka Mwalimu ni uwezo wake wa kusemea kitu bila kumung'unya maneno, and consistently.

Kwamba leo mtu anaweza kuongea suala kiuongozi na kujipendelea, akikutana ma mazingira ya wengine kujipendelea analaumu huyo hajapevuka ki maono na kisiasa.
Lakini bado ukweli unabaki pale pale, ukiukwaji wa katiba sets a bad precedence.
 
Back
Top Bottom