Siyo siri, CCM yangu inapitia wakati mgumu!

CCM wengi mnaijua juu juu nakumbuka Mwaka 2005

Nilikiwa kwenye gari la kampeni la Jakaya Kikwete

Tukatumiwa mesej kwamba mgombea wenu asitoe kichwa nje ya gari kusalimia watu maana tutammwaga ubongo dah

Nakumbuka sana tukajawa na hofu vituo Kama 7 hatukusimama

Mengine ntaeleza Kesho
Usiache kunitag
 
Matatizo ya CCM waachieni CCM, vyama vingine vishughulike na mambo yao ili vilete upinzani wenye tija. Watu waje na sera na ajenda za kuuza kwa wananchi siyo kuhoji matatizo ya CCM.
 
Kwa sasa, CCM inapitia wakati mgumu kiuongozi, pengine kuliko wakati wowote ule wa uhai wake.

CCM ilijigeuza kutoka chama cha ukombozi na kuwa chama cha kuleta maendeleo na ustawi kwa wananchi wa Tanzania katka nyanja zote.

CCM ni chama kinachoongozwa na watu, watu ambao kila mmoja ana mawazo yake, matamanio yake na ndoto zake.

CCM imetoka mbali kiuongozi, toka maono ya Mwalimu, liberalism ya Mwinyi, practicality ya Mkapa na Kikwete, na uthubutu wa Magufuli.
Sasa tunaye mama Samia.

Ni kipindi hiki cha mama, kisiasa kimekuwa kigumu, ingawaje kiuchumi hali si mbaya sana.
Bahati mbaya kuna siasa za makundi na ubinafsi katika kushika uongozi wa juu wa CCM, siasa zilizo asisiwa kipindi cha Kikwete.

Athari zake zile hazikuwa nzuri, lakini athari zake zipo hadi leo.

Kwa hakika katika Mkutano Mkubwa wa CCM, January 2025, alichosema Kikwete, Mwenyekiti mstaafu wa CCM, kiliwazindua watu wengi.

Bila kufuata katiba ya chama, Kikwete alisema jina la mgombea wa nafasi ya urais 2025 ni moja, na ni mama Samia.

Kikwete alitakiwa kuwa very tactful na tamko lake, wangi walionekana wanashangilia, lakini kama siasa za kiTanzania zilivyo kuna waliokereka.

Kuna wanaodiriki kusema Kikwete anaitazama 2030, kufagili nafasi ya mwanaye Ridhiwani kushika nafasi za juu Kitaifa.

Matatizo ya tamko la Kikwete ndio sasa tunaanza kuyaona.
Umoja wa wana CCM umetetreka sana.
Siasa za vikundi zimeshamiri.
Twasikia mitandaoni ati kuna kundi la Bashe.

Jamani nani kaifikisha CCM hapo tulipo?
Mambo si shwari, pole CCM yangu.
Uhuni una mwisho, huwezi kuwa na umri wa miaka 60 na ushee afu unaendeleza uhuni.
 
Kama umesema wewe mimi napingaje? Weka takwimu tuone kama kweli ina hali ngumu
 
CCM wengi mnaijua juu juu nakumbuka Mwaka 2005

Nilikiwa kwenye gari la kampeni la Jakaya Kikwete

Tukatumiwa mesej kwamba mgombea wenu asitoe kichwa nje ya gari kusalimia watu maana tutammwaga ubongo dah

Nakumbuka sana tukajawa na hofu vituo Kama 7 hatukusimama

Mengine ntaeleza Kesho
Hawaijui CCM hawa 2015 Kwa mara ya Kwanza CHADEMA ilikuwa ya Moto Jimbo la Mwandosya nikajua sasa basi , imeisha white hair anachukua ndoo ila kilichotokea mpaka Leo sina hamu ya kupiga kura
 
Sasa zombie km ww ni nani? si wa kupuuzwa tu? Undenì chama chenu cha "Sukuma gang" CCM ni imara sasa hv kuliko wakati mwingine wowote hakuna wa kuiteteresha, mtakuja kubweka humu km misukule ambapo wanachama wengi na wapiga kura halisi ht hawamo.

CCM haihitaji kupigiwa kura ilishashinda tunasubil kutangazwa tu,, ndo maana Kuna wengine wameambiwa watateuliwa kama wabunge wa taifa.
 
Sasa zombie km ww ni nani? si wa kupuuzwa tu? Undenì chama chenu cha "Sukuma gang" CCM ni imara sasa hv kuliko wakati mwingine wowote hakuna wa kuiteteresha, mtakuja kubweka humu km misukule ambapo wanachama wengi na wapiga kura halisi ht hawamo.
Kati ya vitu tunavyomuenzi Mwalimu ni kusikiliza kila ushauri na kuujibu ipasavyo.
Dharau mwiba, na utatokea pale pale ulipoingilia.
 
Kwa sasa, CCM inapitia wakati mgumu kiuongozi, pengine kuliko wakati wowote ule wa uhai wake.

CCM ilijigeuza kutoka chama cha ukombozi na kuwa chama cha kuleta maendeleo na ustawi kwa wananchi wa Tanzania katka nyanja zote.

CCM ni chama kinachoongozwa na watu, watu ambao kila mmoja ana mawazo yake, matamanio yake na ndoto zake.

CCM imetoka mbali kiuongozi, toka maono ya Mwalimu, liberalism ya Mwinyi, practicality ya Mkapa na Kikwete, na uthubutu wa Magufuli.
Sasa tunaye mama Samia.

Ni kipindi hiki cha mama, kisiasa kimekuwa kigumu, ingawaje kiuchumi hali si mbaya sana.
Bahati mbaya kuna siasa za makundi na ubinafsi katika kushika uongozi wa juu wa CCM, siasa zilizo asisiwa kipindi cha Kikwete.

Athari zake zile hazikuwa nzuri, lakini athari zake zipo hadi leo.

Kwa hakika katika Mkutano Mkubwa wa CCM, January 2025, alichosema Kikwete, Mwenyekiti mstaafu wa CCM, kiliwazindua watu wengi.

Bila kufuata katiba ya chama, Kikwete alisema jina la mgombea wa nafasi ya urais 2025 ni moja, na ni mama Samia.

Kikwete alitakiwa kuwa very tactful na tamko lake, wangi walionekana wanashangilia, lakini kama siasa za kiTanzania zilivyo kuna waliokereka.

Kuna wanaodiriki kusema Kikwete anaitazama 2030, kufagili nafasi ya mwanaye Ridhiwani kushika nafasi za juu Kitaifa.

Matatizo ya tamko la Kikwete ndio sasa tunaanza kuyaona.
Umoja wa wana CCM umetetreka sana.
Siasa za vikundi zimeshamiri.
Twasikia mitandaoni ati kuna kundi la Bashe.

Jamani nani kaifikisha CCM hapo tulipo?
Mambo si shwari, pole CCM yangu.
Nasikia raha nikiona majambazi baada ya kupora, yakiwa njiani yanaanza kumiminiana risasi.

nasema uaneni haraka
 
Kuahirisha vikao sioni kama ni swala la ajabu mambo yanapoingiliana kiratiba
Nimesema, si dalili njema, kumbuka kunawajumbe zaidi ya 1,500 na wapambe wao. Kuahirishwa shughuli kwa sababu yoyote, basi sababu lazima ziwe nzito zaidi.
 
Back
Top Bottom