Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,939
- 67,457
Acha kuish uswahili ndio maana u unaumwa malaria
Si nilikuomba mchango wa pang nipange hapo kwenu goba umekataa
Acha kuish uswahili ndio maana u unaumwa malaria
😀😀😀😀 Half american tutaonana keshomtoto mzuri kama wewe unakula pasaka mwenyew. Nikajua uko lodge unanisalito.na Half american
cheki jinsi unavyotupanga wew mtoto sema uzuri sina wivu 😀😀😀😀😀 Half american tutaonana kesho
Sawa malkia wangu 🥰😀😀😀😀 Half american tutaonana kesho
Aliyekuambia ukimbie nyumbani ni nani😀Si nilikuomba mchango wa pang nipange hapo kwenu goba umekataa
Aliyekuambia ukimbie nyumbani ni nani[emoji3]
Tungekuw tunakula Sadaka sasa[emoji3]