Siyo kila kijana mtaani ni Panya Road

Siyo kila kijana mtaani ni Panya Road

fungi06

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2020
Posts
740
Reaction score
1,025
Nimekwazika sana...

Leo hii nikiwa nimetulia napata huduma za kijamii eneo flani ivi katikati gafla nashangaa malalamiko mengi sana kwa watu kua vijana wa sasa ni panya road hii imeniuzi sana.

Inamaana gani kikundi kidogo cha watu fulani wafanye vijana wote kuonekana vijana wa wa ovyo.

Hii inatudrain nguvu maana uaminifu kwa taifa kwa vijana inakua inashuka since vijana ndo taifa la kesho.

Embu izi mambo za generalization mzitoe muwe specific kwa walengwa ikiwezekana wasiitwe ata vijana taasisi za kiswahili wawataftie jina watu wa namna hii.

Tueshimiane
 
Bali kila Panya road ni kijana mtaa flani..

Panyaroad wanamionekano Yao.

Ingawaje wapo Vijana wasiopanya road wanaoonekana kama panyaroad.

Panyaroad sio tuu kitendo cha kuiba na kufanya uvunjifu wa Amani Bali pia wana-dress codes zao, minyoo Yao na miondoko Yao.

Ukishakuwa na walau 90% ya sifa za kipanyaroad hata kama hujaiba au kufanya uhalifu basi utajumuishwa kwenye kundi la panyaroad
 
Sifa zao zipoje ili vijana wajaribu jitenga nazo

Sifa zao
1. Wanangozi zilizofubaa
2. Wanatembea miondoko ya kisingeli na uselamavi
3. Mara nyingi nguo zao hazina nuru, nyingi zimefubaa
3. Wananyoa minyoo ya kihuni lakini nywele zao hazina rutuba kutokana na kushindwa kuzihudumia,
4. Wanatumia mihadarati na madawa ya kulevya na mara nyingi ni mashoga
5. Wanalugha za kisingeli manyota
6. Age Yao ni 12- 27 kisha baadaye hujiingiza kwenye kazi za udalali, mitumba na ukonda daladala
 
Kama umenyoa kiduku ana una tattoo aina yeyote ile wewe ni panya road
 
Ni kweli si kila kijana ni panya road au mhalifu lakini kwa kipindi hiki cha msako muonekano wako, uvaaji wako unaweza kuingiza ktk mkumbo huo. kwakuwa idadi ya vijana wahalifu inazidi kuongezeka ni nadra kwa askari au raia kutofautisha yupi ni yupi. mfano kuna story niliisikia juzi kati, kuna kijana aliuawa kwa kuchomwa na raia maeneo fulani sitataja wapi kwa wizi wa kutumia pikipiki.

Sasa wakati wanazika zikasambaa taarifa kuwa wenzao watalipiza kisasi, kwa kupora kujeruhi raia nk. polisi wakaweka doria kali kuzunguka eneo la makaburi wanapozikia, so kukawa na njia moja tu ya kutokea. walichofanya polisi ni kukaa mlangoni ukipita wanakuangalia. Una muonekano upi, umevaaje, midogo yako ikoje, viganja, umenyoaje nk walisombwa wengi kinoma. sasa kichekesho ni dogo mmoja alikuwa na virasta uchwara na miunekano wa kihalifu akadai wewe ni msanii akaambiwa aimbe nyimbo kaimba vitu havieleweki akala bonge la banzi na kuingizwa ktk difenda.
 
Sifa zao
1. Wanangozi zilizofubaa
2. Wanatembea miondoko ya kisingeli na uselamavi
3. Mara nyingi nguo zao hazina nuru, nyingi zimefubaa
3. Wananyoa minyoo ya kihuni lakini nywele zao hazina rutuba kutokana na kushindwa kuzihudumia,
4. Wanatumia mihadarati na madawa ya kulevya na mara nyingi ni mashoga
5. Wanalugha za kisingeli manyota
6. Age Yao ni 12- 27 kisha baadaye hujiingiza kwenye kazi za udalali, mitumba na ukonda daladala
Wengi wao wanabeba vibegi mgongoni

Ova
 
Panyaroad wanamionekano Yao.

Ingawaje wapo Vijana wasiopanya road wanaoonekana kama panyaroad.

Panyaroad sio tuu kitendo cha kuiba na kufanya uvunjifu wa Amani Bali pia wana-dress codes zao, minyoo Yao na miondoko Yao.

Ukishakuwa na walau 90% ya sifa za kipanyaroad hata kama hujaiba au kufanya uhalifu basi utajumuishwa kwenye kundi la panyaroad
Bodaboda wanatofauti gani na panyaroad.
 
ni kweli si kila kijana ni panya road au mhalifu lakini kwa kipindi hiki cha msako muonekano wako, uvaaji wako unaweza kuingiza ktk mkumbo huo. kwakuwa idadi ya vijana wahalifu inazidi kuongezeka ni nadra kwa askari au raia kutofautisha yupi ni yupi. mfano kuna story niliisikia juzi kati, kuna kijana aliuawa kwa kuchomwa na raia maeneo fulani sitataja wapi kwa wizi wa kutumia pikipiki. sasa wakati wanazika zikasambaa taarifa kuwa wenzao watalipiza kisasi, kwa kupora kujeruhi raia nk. polisi wakaweka doria kali kuzunguka eneo la makaburi wanapozikia, so kukawa na njia moja tu ya kutokea. walichofanya polisi ni kukaa mlangoni ukipita wanakuangalia. una muonekano upi, umevaaje, midogo yako ikoje, viganja, umenyoaje nk walisombwa wengi kinoma. sasa kichekesho ni dogo mmoja alikuwa na virasta uchwara na miunekano wa kihalifu akadai wewe ni msanii akaambiwa aimbe nyimbo kaimba vitu havieleweki akala bonge la banzi na kuingizwa ktk difenda.

.😂😂😂
Msanii kazingua Sana. Akashindwa hata kuimba karudi Baba mmoja😀😀
 
Tafuta kazi halali ufanye sio kutwa nzima unashinda kwenye pool table halafu umenyoa kibwenzi wewe ni panya road tu.
 
Sifa zao
1. Wanangozi zilizofubaa
2. Wanatembea miondoko ya kisingeli na uselamavi
3. Mara nyingi nguo zao hazina nuru, nyingi zimefubaa
3. Wananyoa minyoo ya kihuni lakini nywele zao hazina rutuba kutokana na kushindwa kuzihudumia,
4. Wanatumia mihadarati na madawa ya kulevya na mara nyingi ni mashoga
5. Wanalugha za kisingeli manyota
6. Age Yao ni 12- 27 kisha baadaye hujiingiza kwenye kazi za udalali, mitumba na ukonda daladala
Daaaah Makonda unawaone si kweli kuwa wote ni panya road kuna watu wanhudumia familia zao kwa ukonda hivyo hivyo
 
Panyaroad wamewa-outsmart polisi, sasa wanaendesha kamata kamata tu.
 
Nimekwazika sana...

Leo hii nikiwa nimetulia napata huduma za kijamii eneo flani ivi katikati gafla nashangaa malalamiko mengi sana kwa watu kua vijana wa sasa ni panya road hii imeniuzi sana.

Inamaana gani kikundi kidogo cha watu fulani wafanye vijana wote kuonekana vijana wa wa ovyo.

Hii inatudrain nguvu maana uaminifu kwa taifa kwa vijana inakua inashuka since vijana ndo taifa la kesho.

Embu izi mambo za generalization mzitoe muwe specific kwa walengwa ikiwezekana wasiitwe ata vijana taasisi za kiswahili wawataftie jina watu wa namna hii.

Tueshimiane
Haya maneno ungewaambia hao sasa huku sisi huku mbona hatukufahamu
 
Sifa zao
1. Wanangozi zilizofubaa
2. Wanatembea miondoko ya kisingeli na uselamavi
3. Mara nyingi nguo zao hazina nuru, nyingi zimefubaa
3. Wananyoa minyoo ya kihuni lakini nywele zao hazina rutuba kutokana na kushindwa kuzihudumia,
4. Wanatumia mihadarati na madawa ya kulevya na mara nyingi ni mashoga
5. Wanalugha za kisingeli manyota
6. Age Yao ni 12- 27 kisha baadaye hujiingiza kwenye kazi za udalali, mitumba na ukonda daladala
Udalali, mitumba na boda boda

Mkuu umeona jinsi mambo yanavyokua

Fredi vunja bei kauza mitumba na amekuaga dalali pia

Ni katika utaftaji tu ila sio kama ni upanya
 
Back
Top Bottom