Siyo kila kijana mtaani ni Panya Road

Siyo kila kijana mtaani ni Panya Road

Nimekwazika sana...

Leo hii nikiwa nimetulia napata huduma za kijamii eneo flani ivi katikati gafla nashangaa malalamiko mengi sana kwa watu kua vijana wa sasa ni panya road hii imeniuzi sana.

Inamaana gani kikundi kidogo cha watu fulani wafanye vijana wote kuonekana vijana wa wa ovyo.

Hii inatudrain nguvu maana uaminifu kwa taifa kwa vijana inakua inashuka since vijana ndo taifa la kesho.

Embu izi mambo za generalization mzitoe muwe specific kwa walengwa ikiwezekana wasiitwe ata vijana taasisi za kiswahili wawataftie jina watu wa namna hii.

Tueshimiane
Siyo kila kijana ni panyaroad but panya road wote ni vijana.

Kazi kwako.
 
Panyaroad wanamionekano Yao.

Ingawaje wapo Vijana wasiopanya road wanaoonekana kama panyaroad.

Panyaroad sio tuu kitendo cha kuiba na kufanya uvunjifu wa Amani Bali pia wana-dress codes zao, minyoo Yao na miondoko Yao.

Ukishakuwa na walau 90% ya sifa za kipanyaroad hata kama hujaiba au kufanya uhalifu basi utajumuishwa kwenye kundi la panyaroad
Ni kweli maana soon or later atakuwa panya road
 
Uwaga tunajua makundi mengi ya ualifu wanaokuaga mbuzi wakafara ni wale wanyonge

Vipi kama wale wanaotoa order awadakwi maana hii organization nikama kamchezo

Kwanini uwaga awakamati leader iki hii ishu ife kabisa...kwanini kila mara linaibuka na kupoa

Ifanyike kama kwa osama kamateni mwenye mbwa sio mbwa
 
Nimekwazika sana...

Leo hii nikiwa nimetulia napata huduma za kijamii eneo flani ivi katikati gafla nashangaa malalamiko mengi sana kwa watu kua vijana wa sasa ni panya road hii imeniuzi sana.

Inamaana gani kikundi kidogo cha watu fulani wafanye vijana wote kuonekana vijana wa wa ovyo.

Hii inatudrain nguvu maana uaminifu kwa taifa kwa vijana inakua inashuka since vijana ndo taifa la kesho.

Embu izi mambo za generalization mzitoe muwe specific kwa walengwa ikiwezekana wasiitwe ata vijana taasisi za kiswahili wawataftie jina watu wa namna hii.

Tueshimiane
sasa mkuu unalalama bure tu kwa sababu hao panya road hawana alama kama vile ambavyo vijana wasio panya hawana alama,,,kwa hiyo ndo mana watu wanafanya generalization
 
Lakini kwanini wasimkamate muusika mkuu anaewakusanya ao vijana maana awa panya nimeanza waskia kwanzia 2015 wanapotea wanadakwa vijana (mbuzi kafara) mamaster mind wanazidi jifua mbinu mpya
 
duuh,,,ni kweli ila inawezekana ikawa ni michongo ya watu ety?maana kwann wanakuwa wagumu ku destroy them?
 
Muonekano wako pia unaweza kukuweka matatani
Leo huku kwetu kulikuwa na polisi wanakamata vijana waliohisiwa na tabia za kiuhalifu
Sasa mimi nilitoka home ninevaa kipensi changu sina hili wala lile naelekea dukani.
Kufika mbele ndio nakutana ma polisi wakiwaswaga watu. Mi nikaendelea kwenda kule wanapotokea polisi na nyuma yangu kulikua na jamaa pia tunaenda uelekeo mmoja.
Nikapishana nao hawakuniuliza kitu ila yule jamaa wa nyuma yangu wakamsimamisha na kuanza kumpekua.
 
Nimekwazika sana...

Leo hii nikiwa nimetulia napata huduma za kijamii eneo flani ivi katikati gafla nashangaa malalamiko mengi sana kwa watu kua vijana wa sasa ni panya road hii imeniuzi sana.

Inamaana gani kikundi kidogo cha watu fulani wafanye vijana wote kuonekana vijana wa wa ovyo.

Hii inatudrain nguvu maana uaminifu kwa taifa kwa vijana inakua inashuka since vijana ndo taifa la kesho.

Embu izi mambo za generalization mzitoe muwe specific kwa walengwa ikiwezekana wasiitwe ata vijana taasisi za kiswahili wawataftie jina watu wa namna hii.

Tueshimiane
ata= hata
embu= hembu
tueshimiane= tuheshimiane
izi= hizi
 
Back
Top Bottom