Sex is not equal to true love. Kiswahili chake ni uzinzi. Whether unayefanya naye ni x au y!True love never ends..
Sex is not equal to true love. Kiswahili chake ni uzinzi. Whether unayefanya naye ni x au y!True love never ends..
Ukila na kipofu usimshike mkono, wacha nijilie vitamu mimba apewe na jamaa akeTia mimba kabisaa
Ndo maana huwa naachana na madem zangu kwa amani kabisa ili siku nikitaka kupasha misuli hawachomokiKweli Mkuu wanawake Psychology yao kazi anaweza kukutana na Aliemtoa Bikra na akampa Tena
Juzi hapa X baada ya mwaka kuolewa akaja Dar akimtangulia mume wake... Basi akaja kwangu mzee mzima nikavua pete zote nikaweka pembeni nikagegeda wee... Aisee yule mwanamke ni mtamu balaa! Baada ya siku mbili mume wake akaja wakakutana huko ukweni then wakarudi zao Mbeya. Siku akikaribia tu kuja mzee mzima napigiwa simu nijiandae.
Yupo mwingine huyo ndo kasema lazima anizalie mtoto. In short kwenye simu yangu nina ma-X kama 24 hivi wale wa muhimu na wote kwenye social networks zangu zote nimewaweka!! Hao hatuokaa tuachane kamwe ila kila mmoja kwa wakati wake na hawajuani!
Asikudanganye mtu, kuna wanawake na wanawake. Kuna wanawake watamu hadi ukigegeda mwingine hisia unahamishia kwake unapiga gemu la balaa demu anafikiri kakukoleza kumbe aliyekukoleza yupo miles 1000! Wanaume tuna siri nyingi ndani ya mioyo yetu.
Jamani ni hayo tu! (Copy and paste)
Even you, you are outdated to him, he willnever back to uex wangu ni expired kabisa tena reject huwezi rudia matapishi never
labda niwe nimetekwa ufahamu wangu na mapepo na sio kwa akili yangu na hofu ya mungu nimrudie..hiyo dhambi nitaenda kuiungama kwa nani? kwann ukubali kuoa/kuolewa ilihali bado ujana unakusumbua?? enyi vijana wa karne hii kuweni na hofu ya mungu nanyi mtafanikiwa ...epukeni tamaa za mwili.....tamaa ni mbaya lakini inapokuja kwenye ile taasisi ya ndoa ...tujaribu kumweka mungu mbele ..Kweli Mkuu wanawake Psychology yao kazi anaweza kukutana na Aliemtoa Bikra na akampa Tena
Safi sana kwa kujitambua maana badhi ya wanawake cjui wanakuwajelabda niwe nime
labda niwe nimetekwa ufahamu wangu na mapepo na sio kwa akili yangu na hofu ya mungu nimrudie..hiyo dhambi nitaenda kuiungama kwa nani? kwann ukubali kuoa/kuolewa ilihali bado ujana unakusumbua?? enyi vijana wa karne hii kuweni na hofu ya mungu nanyi mtafanikiwa ...epukeni tamaa za mwili.....tamaa ni mbaya lakini inapokuja kwenye ile taasisi ya ndoa ...tujaribu kumweka mungu mbele ..