Kama kana ukweli, tujadili

roja24

roja24

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2012
Messages
460
Likes
221
Points
60
roja24

roja24

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2012
460 221 60
"Sio kila EX ni EXPIRED,
EX zingine ni EXAMPLE:Utanielewa tu.......

Ulimwengu huu tunaoishi Muogope sana Mpenzi wa Zamani wa Mkeo kabla HUJAMUOA na Muogope sana EX wa Mmeo kabla HAJAKUOA kuliko hata hawa Vidume na Vijike vinavyomtaka akiwa tayari amevaa pete...I will tell you WHY!!

Kuna watu walipendana sana lakini hao waliowapenda kwa moyo HAWAKUWAOA/KUOLEWA NAO...... Kutokana na Situations fulani Mwanamke akalazimika aolewe na kijamaa fulani tu ambacho kilikuja na sera ambazo 'Wanawake wanapenda' na kako vizuri financially IKABIDI huyu mwanamke aachane na 'Tulizo lake la moyo' kidemokrasia tu aolewe na wewe..........

It doesn't matter "how" lakini hawa watu wawili walioachana kidemokrasia "Bado wanapendana deep down" na hata ukifanikiwa kumuoa, ukamhamisha mkoa ili wasionane, Ukambadilishia namba za Simu wasiwasiliane tena, Itapita miaka hata 5 hawajatiana machoni ipo siku PAAAP, watakutana Kariakoo kwenye shopping,

Zile cheche na hamu na mapigo ya moyo yataruka upya, na kifuatacho ITV kitakuwa Isidingo. Mapenzi yao hayakufa. Pete haizuii kitu... Watajikuta wameunganisha Vitengezea watoto upya, tena kwa huba zito la kumisiana kwa hali ya juu,wewe ukidhani Pete pekee itamlinda, kumbe waaaapiii, na huo ndio utakuwa mwanzo wa hawa watu wawili kuwa na Reunion kabambe ya Kulegeza Chaga,

Wewe umeoa kwa Mahari mwenzio anapiga buuureee bila Mshenga!
Kama nadanganya Wanandoa waje na waseme hapahapa.... Ndoa ni Complicated kuliko Hesabu za Logarithm na Integration, Ndoa ni Fumbo na walioweza kulifumbua ni wachache sana kwa msaada wa Mungu, ila Wengi wanadhani wamelifumbua Fumbo kumbe wametegwa na hawajui mtego ulipo, Ndoa needs God na watu wenye hofu ya Mungu otherwise "UTAOLEA KIJIJI". .......
 
DuppyConqueror

DuppyConqueror

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2014
Messages
9,156
Likes
4,414
Points
280
DuppyConqueror

DuppyConqueror

JF-Expert Member
Joined Mar 30, 2014
9,156 4,414 280
Ee Magufuri tusaidie na hili pia!!
 
Aloyce70

Aloyce70

Member
Joined
Jul 5, 2016
Messages
5
Likes
1
Points
5
Age
28
Aloyce70

Aloyce70

Member
Joined Jul 5, 2016
5 1 5
"Sio kila EX ni EXPIRED,
EX zingine ni EXAMPLE:Utanielewa tu.......

Ulimwengu huu tunaoishi Muogope sana Mpenzi wa Zamani wa Mkeo kabla HUJAMUOA na Muogope sana EX wa Mmeo kabla HAJAKUOA kuliko hata hawa Vidume na Vijike vinavyomtaka akiwa tayari amevaa pete...I will tell you WHY!!

Kuna watu walipendana sana lakini hao waliowapenda kwa moyo HAWAKUWAOA/KUOLEWA NAO...... Kutokana na Situations fulani Mwanamke akalazimika aolewe na kijamaa fulani tu ambacho kilikuja na sera ambazo 'Wanawake wanapenda' na kako vizuri financially IKABIDI huyu mwanamke aachane na 'Tulizo lake la moyo' kidemokrasia tu aolewe na wewe..........

It doesn't matter "how" lakini hawa watu wawili walioachana kidemokrasia "Bado wanapendana deep down" na hata ukifanikiwa kumuoa, ukamhamisha mkoa ili wasionane, Ukambadilishia namba za Simu wasiwasiliane tena, Itapita miaka hata 5 hawajatiana machoni ipo siku PAAAP, watakutana Kariakoo kwenye shopping,

Zile cheche na hamu na mapigo ya moyo yataruka upya, na kifuatacho ITV kitakuwa Isidingo. Mapenzi yao hayakufa. Pete haizuii kitu... Watajikuta wameunganisha Vitengezea watoto upya, tena kwa huba zito la kumisiana kwa hali ya juu,wewe ukidhani Pete pekee itamlinda, kumbe waaaapiii, na huo ndio utakuwa mwanzo wa hawa watu wawili kuwa na Reunion kabambe ya Kulegeza Chaga,

Wewe umeoa kwa Mahari mwenzio anapiga buuureee bila Mshenga!
Kama nadanganya Wanandoa waje na waseme hapahapa.... Ndoa ni Complicated kuliko Hesabu za Logarithm na Integration, Ndoa ni Fumbo na walioweza kulifumbua ni wachache sana kwa msaada wa Mungu, ila Wengi wanadhani wamelifumbua Fumbo kumbe wametegwa na hawajui mtego ulipo, Ndoa needs God na watu wenye hofu ya Mungu otherwise "UTAOLEA KIJIJI". .......
Ni kweli nakuunga mkono
 
Forum statistics

Threads 1,235,594
Members 474,671
Posts 29,228,068