siyo kila anayekuja kukopa ni Mwalimu.

siyo kila anayekuja kukopa ni Mwalimu.

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,650
Reaction score
20,997
mwaka juzi nilienda Barclays Mbeya mjini nikaomba kuonana na Afisa mikopo. akaja jamaa fulani bila hata kukaa chini akaniuliza unafundisha wapi? salary slip? nilishangaa.

juzi kati nilienda kataasisi fulani ka fedha nikakutana na kasista nako kanauliza ninakofundisha!

tunajua watumishi wengi ni walimu na hii ishu haina shida kubwa. lakini hili swala linaonyesha mnavyofanya kazi kwa mazoe, kutojali wateja kwa kutokuwa wasikilizaji wazuri na ujinga mwingine mwingi.
 
Mi in mwalimu na ninapenda kufundisha lakini sipendi kuona mwalimu anakejeliwa vibaya hivi kwamba anatembea na kalamu nyekundu tens zaidi ya moja mbona hats benki wanatumia kalamu nyekundu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom