G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 12,289
- 38,942
Nimepokea taarifa muda huu kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ndugu John Pombe Magufuli amekumbwa na zomeazomea jijini Mwanza!
Kama ni kweli hii siyo ishara njema kwa uchaguzi wetu mkuu ujao ambao umeambatana na matukio ya ajabu ajabu yanayosababisha simanzi!
Wadau naomba kutokana na msongo wa mambo ya simanzi yanayoukumba huu mchakato, basi tusiongeze majonzi kwa upande mmoja au mwingine wa wagombea! Tuvumiliane! Yatosha sasa!