Oppotunity
Member
- Sep 9, 2013
- 38
- 12
Halafu kumbe ni 'six park'
Halafu kumbe ni 'six park'
"Kazana" ni matusi.kama una PESA wala usijali kuhusu SIX PACK.......
kikubwa kazana kutafuta PESA .......
ugonjwa wangu n karbu marafiki zangu wote tunapenda. Sio siri ina raha yake cz mwanaume unaonekana mkakamavu na mwenye kuweza mengi. Nachukua pesa ya mwenye kitambi naenjoy life na mwenye six pack uhuhuuuuu acheni uzembeee zoezi muhim kwa mwanaume na kiafya pia. My advice nenda gym mwalim wa mazoz atakuelekeza cha kufanya. Mwanaume gani unakua mrojorojo kama kimama chenye mimba uhh
Hivi Jamani Kwa Nini Six Park Zinawadatisha Sana Wanawake? Kuna Mshkaji Mmoja Ivi Yeye Ni Rafiki Yangu Sana Ila Sasa Sitamani Kabisa Kuwa Nae Kama Nipo Na Demu Wangu...Hivi Majuzi Tulienda Beach Ku Refresh Mind Ila Dah Sikuwa Na Raha Kabisa Mshikaji Yeye Yupo Na Demu Wake Ila Nashangaa Demu Wangu Alikuwa Anamtamani Sana Mshkaji Wangu Jinsi Alivyokata Na Siyo Demu Wangu Tu Madem Kibao Tena Wengine Wanashindwa Kuvumilia Wanamfata Mshikai Ili Washike Kifua Chake Na Kupiga Naye Picha Kwa Ujumla Mshkaji Alikuwa Anaosha Kinoma NITAFANYAJE NA MIMI NIZIPATE???? HEEEEEELP