Shem mi najua hapa JF usipocheza kwa step utaumia kweupee lakini kitu ambacho nilikuwa sijui ni kwamba Smile naye ni gaidi, manake ungejua ninavyomhusudu, basi tu.
Sasa unamshaurije huyu kijana? Manake nyie akina dada wakubwa ndo muwasaidie hawa wadogo zenu wasiendelee kuumizwa!
Bila shaka best angu gfsonwin anaweza kuwa na neno la busara kwa kijana huyu. Nasikia wadau wakimuita mwalimu bila shaka atamuelimisha kama si kumfundisha!
Mweeeee......mlolongo woooooooooote huo ni dem tu unatafuta......? Unaongea na kulalamika sana dogo.........relax.....tena uache haya mambo ya nilikuwa nae akanitenda blah blah.....vinginevyo utamegewa kila siku.....halafu jifunze matumizi ya L na R.......sawa eeeeh....
Ni kweli lakini pia hajasema kama anataka used. Wadau tu ndio wameanza kutoa ushauri kwamba ajielekeze huko kwenye used.
Lakini kwakuwa inaonyesha amekuwa akitongozwa na waliokwisha tumika basi nadhani anahitaji brand new ili akamfundishe na kumshape yeye mwenyewe!
Hiyo brand new labda ya digitali lakini ya analog hakuna
mpe bonas ap[ungunze machungu Preta
Mi nakupongeza kwa ujasiri wa kuweka taswira yako humu.
Mkuu ukimpata tujulishe.
Unajiliza mno mdogo wangu...kuachwa na kuachika kwenye mapenzi ni kawaida tu..Mbona hata ndoa zinavunjika bwana...sembuse hayo mapenzi yenu ya kishuleshule....Mtoto wa kiume acha kulilia mapenzi..tafuta monnie, mapenzi yatakuja na ukiwa nazo hawatakutenda.....