Dena Amsi
R I P
- Aug 17, 2010
- 13,080
- 4,275
Shem mi najua hapa JF usipocheza kwa step utaumia kweupee lakini kitu ambacho nilikuwa sijui ni kwamba Smile naye ni gaidi, manake ungejua ninavyomhusudu, basi tu.
Sasa unamshaurije huyu kijana? Manake nyie akina dada wakubwa ndo muwasaidie hawa wadogo zenu wasiendelee kuumizwa!
Bila shaka best angu gfsonwin anaweza kuwa na neno la busara kwa kijana huyu. Nasikia wadau wakimuita mwalimu bila shaka atamuelimisha kama si kumfundisha!
Huyu ni kumwamia akae asubiri kutolewa kafara na wanawake wa JF maana kajipiga kitanzi mwenyewe hatuwezi kufuta kitu hapa picha kaweka simu ipo asubiri majibu yake