Siwezi wachukia wanawake wote..!

Siwezi wachukia wanawake wote..!

siwezi kumtafutia ajitafutie yyeye mwenyewe kwani namfahamu asije mtoto wa watu akanijia juu mm bure kwa kumbebesha kwake aka atafute yeye mwenyewe kwani nilipokuwa naye pale chuoni nilimuona mwendeno wake ulivyokuwa mbovu kaa! MESTOD

ladyfurahia unamfahamu huyu jamaa. The guy is serious na anamaanisha.
 
Last edited by a moderator:
Pole mwaya, Mshirikishe Mungu maana yeye hana upendeleo. Hakika atakupatia yule aliye sawa na wewe.
 
Kama anamaanisha basi wewe mtafutie kwani kashindwa kujitafutia yeye mwenyewe ila mm nampa pole sana kwa mkasa uliompata amwombe mungu atampa atokaye kwake na labda wewe nawe mfanyie mpango huo? MESTOD
 
Last edited by a moderator:
dogo soma kwanza hachana na maduu watakuumiza sana. Ila sikulaumu wakati nina umri kama wako nilikuwa naumizwa sana na mapenzi na niliachwa na wengi kumbe walikuwa wananipa experience ni jinsi gani wanawake/wanaume (binadamu) walivyo. Jaribu kuwa simple na usiwaonyeshe unawapenda sana waonyeshe kuwa hata bila wao unaweza kuishi ila wapende nao watarudisha mapenzi ila yasikufanye ukawa ndo kama chizi Jitahidi sana ku-focus mambo yako utampata mpenzi ambaye hakuumizi kichwa. Huyo aliyekutesa mi sikushauri ulazimishe umuoe hata kama unampenda vp nadhani yy kwa sasa hajaamua kuolewa.
 
ladyfurahia naogopa nikimtafutia nitaonja kwanza nione ubora. Issue itakuwa ubora ulopitiliza, ni issue kuachia.
 
Last edited by a moderator:
hee makubwa basi una ugonjwa wa kisaikolojia wewe njoo nikutibu upone haraka ni maombi tu ubadilika wewe uondokane na hiyo hali uliyonayo MESTOD
 
Last edited by a moderator:
Ameona ajiwekee yeye mwenyewe si jana alijiweka yeye na wema sepetu utafikiri anamjua vile zaidi ya kumuona katika magazeti bora ya siye tunayechit chat naye kila wakati, huo ndio ushamba wa watu wa upcountry MESTOD

huyu mama cjui ni mjamzito..mbona umeniandama hivi afu ni wewe peke yako
 
Last edited by a moderator:
dogo soma kwanza hachana na maduu watakuumiza sana. Ila sikulaumu wakati nina umri kama wako nilikuwa naumizwa sana na mapenzi na niliachwa na wengi kumbe walikuwa wananipa experience ni jinsi gani wanawake/wanaume (binadamu) walivyo. Jaribu kuwa simple na usiwaonyeshe unawapenda sana waonyeshe kuwa hata bila wao unaweza kuishi ila wapende nao watarudisha mapenzi ila yasikufanye ukawa ndo kama chizi Jitahidi sana ku-focus mambo yako utampata mpenzi ambaye hakuumizi kichwa. Huyo aliyekutesa mi sikushauri ulazimishe umuoe hata kama unampenda vp nadhani yy kwa sasa hajaamua kuolewa.

maisha ni kusoma tu kumbe??nishamaliza na ninafanya kaz sasa..sema lingine
 
Ameona ajiwekee yeye mwenyewe si jana alijiweka yeye na wema sepetu utafikiri anamjua vile zaidi ya kumuona katika magazeti bora ya siye tunayechit chat naye kila wakati, huo ndio ushamba wa watu wa upcountry

HAYA SEMA LINGINE DADA ANGU..Ladyfuraha
 
Aiseee!! Yaani shule umesoma, umetafuta kazi na unafuraha na kipato lakini umeshindwa pata mpenzi?
Umekuja Jf kutafuta mpenzi wa shida na raha,Kama unavyojisifia wewe ni 'handsome boy wa mama' na pia ni sumaku ya warembo kwa ucheshi.
Ushauri
Tatizo lako ni kubwa kuzidi unavyofikiria inawezekana unasifa ulizotaja ila pia unamapungufu ambayo hujataja,Kwa mwandiko wako tu unaonekana ' your full of yourself' na tabia nyingine zinazohusiana. Tafuta rafiki yako wa karibu akufanyie reality check test akwambie mapungufu yako bila kumung'unya maneno (Vizuri ukimtafuta hater wako).
Mambo mengine watafute the Boss, Kongosho, Babu DC, Tanmo and Mtambuzi...........,Mimi naomba nisaidie kutafuta kazi !!
 
pole sana,lakini kwa sisi tunao wafaham wanawake hayo mambo sio mageni ni vile unashindwa kuwasoma mapema aina ya wanawake unao kutananao,ni vyema sana kabla ya kuanzisha uhusiano ukajua aina ya wanawake unao kutatana nao,sababu kubwa ya kinacho wasumbua wanawake wengi ni pesa!hivyo usiwaze sana ila iko siku utampata wa aina yako!wanawake wa waleo wanataka umakini sana,hata kama ni mkeo usifikili atakupenda kwa aslimia zote,kikubwa ni wewe kuwa mbunifu wa kumjua mapema aina ya mwanamke uliye naye!usiluhusu moyo kupenda mara kwa mara utaumia sana!
 
unataka kaz gan mkuu
 
mbona wote hawakuwa kuniomba pesa jaman
 
labda naomba unitibu wewe MESTOD maana naona namsimanga na kumjoke kijana wa watu nami sipendi kabisa ila nampa pole sana kwa masahabu yaliyompata mdogo wangu heaven on desert pole sana zile zilikuwa ni jokes tu kwa sababu nakufahamu, halafu ananiambia nina ujauzito sijui kanipa yeye mimi namwachia Mungu
 
Last edited by a moderator:
Sina la kusema kabisa hapo kwani nimeona mwenyewe kwa macho yangu mdogo wangu samahani kama umejisikia vibaya sipendi ukasirike na ujisikie vibaya na uwe mwenye huzuni kila wakati napenda ufurahi kama jina langu lilivyo tena utabasamu kila wakati kwani mapito yako kwa kila mtu yuko ambaye mungu amekuandalia usikate tamaa mdogo wangu jipe moyo utampata yule wa kwako, tena utaenjoy na kufurahi naye kwani umri wako bado ni mdogo ondoa hofu hizo ni changamoto tu za maisha jitie nguvu na fanya kazi kwa bidii ugange kwanza maisha na mengine yatafuata. Take care best (ila mambo ya kuniambia mie ni mjamzito sijayafurahia kabisa
ameona ajiwekee yeye mwenyewe si jana alijiweka yeye na wema sepetu utafikiri anamjua vile zaidi ya kumuona katika magazeti bora ya siye tunayechit chat naye kila wakati, huo ndio ushamba wa watu wa upcountry

haya sema lingine dada angu..ladyfuraha
 
labda naomba unitibu wewe MESTOD maana naona namsimanga na kumjoke kijana wa watu nami sipendi kabisa ila nampa pole sana kwa masahabu yaliyompata mdogo wangu heaven on desert pole sana zile zilikuwa ni jokes tu kwa sababu nakufahamu, halafu ananiambia nina ujauzito sijui kanipa yeye mimi namwachia Mungu

Inabidi unitafute haraka ladyfurahia. njoo pm side
 
Last edited by a moderator:
Mweeeee......mlolongo woooooooooote huo ni dem tu unatafuta......? Unaongea na kulalamika sana dogo.........relax.....tena uache haya mambo ya nilikuwa nae akanitenda blah blah.....vinginevyo utamegewa kila siku.....halafu jifunze matumizi ya L na R.......sawa eeeeh....
Wakati mwingine mambo madogo kama matumizi mabovu ya L & R yanaweza kufanya mpenzi akaingia mitini. Ajichunguze...
 
Back
Top Bottom