Siwezi wachukia wanawake wote..!

Siwezi wachukia wanawake wote..!

Hahaha eti hakuna brand new kidigitali eenh! Inabidi ajifunze kutongoza mwenyewe. Hii midude yote iliyomtosa yenyewe ndo ilimtongoza, huoni hapo kunaweza kuwa na mushkeli shem?

Dogo hajakua shem hawezi tongoza wanawake watatu wakutongoze wewe tuu?? Hata kanchale kale kimakonde huwezi jaribu kukarusha/kukarusha au niseme basi kaondano kakukamata wale samaki wa mtoni mwheee
 
heey cyo kwamba cjui kutongoza ama nina ibu icpokuwa ndiyo ishatokea hivyo hao wote walikuwa wananiwahi tu
 
Aiseee pole sana kwa mikasa hiyo iliyokukuta,hata hivyo usijali muombe Mungu utakuja kumpata wako wa maisha,ila sasa inabidi na we ubadilike kuwa makini kuchagua wanawake wa kuolewa na sio wa kuspend,kuwa sensitive katika kuwatofautisha,na utafanikiwa.unapaswa kujua kuwa si kila mwanamke yuko tayari kwa ndoa.I heartly wish you the best in achieving your dream.
 
Mweeeee......mlolongo woooooooooote huo ni dem tu unatafuta......? Unaongea na kulalamika sana dogo.........relax.....tena uache haya mambo ya nilikuwa nae akanitenda blah blah.....vinginevyo utamegewa kila siku.....halafu jifunze matumizi ya L na R.......sawa eeeeh....

Graduate gan hujui matumiz ya L n R????kero kusoma inaboajeeeeee
 
Sijui kwa nini lakini siungi mkono uamuzi wako wa kuweka picha hapa.

All in all pole sana, na Mungu atakupa kile utakacho, na mabinti wataona kuwa unamaanisha kile ukisemacho.

Halafu hebu edit kidogo hapa ili usomeke kaka.
 
Mweeeee......mlolongo woooooooooote huo ni dem tu unatafuta......? Unaongea na kulalamika sana dogo.........relax.....tena uache haya mambo ya nilikuwa nae akanitenda blah blah.....vinginevyo utamegewa kila siku.....halafu jifunze matumizi ya L na R.......sawa eeeeh....

Msaidie kupata wa ndani wake maana imani yake ni kuwa jf inamalaika watupu, hakuna kuumia.

Halafu nahisi huwa anakosea kosea hata kuandika kimapenzi ndo maana mwanamke anapokea simu huku ana do na mwingine.
 
Mhm! hii stori inaumiza sana pole sana mdogo wangu kwa yaliyokukuta ila niseme kitu kidogo mdogo wangu, kwani unapokuwa au ulipokuwa shule una/lifanya lile lililolupeleka shule au una/lifanya lile lisilokupeleka shule? maana mlolongo wote ulioongea hapo waonyesha wewe ulikwenda shule kutafuta wanawake na sio masomo? kwa umri wako huo ulionao umejiingiza katika mambo ya kikubwa mpaka yanakufanya upagaranyike (fallingapart)kimawazo na kuona hakuna tena haja ya kuwa na relationship na wanawake? kweli unahitaji ushauri nasaha zaidi. Acha kukimbilia mambo ukiwa bado mdogo ikifika wakati wake utafanya kwani mambo ya mapenzi yako kila siku na hayaishi mdogo na hayana mwisho, hao wenzio walikuwa WANAKUDANGANYA tu na kukupotezea muda wako, ona sasa unavyotangatanga kama kifaranga aliyekosa sehemu ya kujiegesha mdogo wangu. kwanini ulikimbilia ngono pasipo kuitafuta kwanza elimu ndipo uanze mambo mengine? kisaikolojia umeathirika na wahitaji kufanyiwa maombi, na ushauri zaidi mana hiyo heading yako ina ulakini kidogo? ungekuwa Dar ningekuambia uje ofisini kwenu tukucansell kisaikolojia zaidi. Pole sana na washirikishe wazazi kwani Mungu ameweka kuwa mungu wako hapa duniani watakuombea na kukushauri zaidi. Ila nakuomba tembelea post yangu kule inayosema KUDANGANYA, KUDANGANYWA NA KUJIDANGANYA KIPI BORA ZAIDI? utaelewa kuwa ulikuwa umedanganyika na hao wadada warembo. MWOMBE MUNGU SANA ATAKUSAIDIA
 
mhm! kweli hii storyina maumivu ndani yake pole kwa yaliyokupata mdogo wangu ila nikulize swali Je uko shule ulikuwenda kutafuta masomo au ulikuwenda kutafuta wanawake? mana stori yako yaonesha kuwa wewe hukusoma ulikuwa una mambo mengine? ila samahani kama utajisikia vibaya. nakushauri washirikishe wazazi jambo lako kwani Mungu ameweka hapa duniani hao ni miungu wako watakusaidia, na vilevile mwombe Mungu atakupa yule anayekufaa wewe ila umri wako bado ni mdogo sana mdogo wangu usikimibilie hayo mambo acha yaje kwa wakati wake acha kuparamia ovyo utakufa kwa kilo2. hata kama wajiona kuwa wewe ni kidume cha mbegu mtanashati utajiondoa mwenyewe wakati Mungu bado hajakuita kwake. acha mambo ya ngono hayo mdogo wangu zingatia maisha kwanza, jitayarishe kabla ya kuingia huko kwani utakaa huko ndani ya ndoa mpaka kifo kitakapokuita sasa kwanini unakimbilia wakati ungali kinda ndugu yangu? Nakushauri fanya lile linalowezekana kufanya la maisha yako ndipo uingie huko unakokukimbilia. acha KUJIDANGANYA NAFSI YAKO MDOGO WANGU KWANI WAKATI WAKO BADO. soma post niliyoitoa ya KUJIDANGANYA, KUDANGANYWA NA KUDANGANYA, ndiyo iyo imekuponza mpaka hao warembo wamekudanganya na kukuacha njia panda usiweze kutoka hapo ulipo umebaki unaloloma tu mdogo wangu, Maandiko yanasema IKIMBIE ZINAA nami nasema mdogo wangu kimbia kama Yusufu alivyokimbia. ukifika wakati utafanya tu.
 
ona sasa hata avatar yako imejaa warembo sasa huyo wema umemweka wa nini hapo mdogo wangu, hayo yamekujaa moyoni ndo mana wamekufanyia hivyo na watakutoa roho hao mpaka utasema nimekoma jamani sirudii tena acha mawazo ya mgando mdogo wangu fumbuka macho ya rohoni na anza kuondokana na hiyo hali iliyoko katika mawazo na nafisi yako dogo. kama hautasikia la mkuu basi utavunjika mguu.
 
hawawezi kukuwahi umeona wapi mwanamke akamtongoza mwanaume na jinsi alivyokuwa na aibu najua wako wachache ambao wanawatongoza wanaume lakini nawe ulijirahisisha kwao ndo mana walikupata kiulaini tu . na wewe hukutulia macho yako juujuu tu hukuwaza masomo ambayo wazazi walikupeleka kule uliwaza ngono tu na sijui kama umepita katika masomo yako maana hujaandika, na huo mwandiko sijui kwanini waalimu walikupitisha kila term maana mhm! unaandika utafikiri unaandika utenzi jamani samahani kama uumeuzika hapa nakupa live ili ujirekebishe usiurudie tena heaven on desert
 
Last edited by a moderator:
Aiseee pole sana kwa mikasa hiyo iliyokukuta,hata hivyo usijali muombe Mungu utakuja kumpata wako wa maisha,ila sasa inabidi na we ubadilike kuwa makini kuchagua wanawake wa kuolewa na sio wa kuspend,kuwa sensitive katika kuwatofautisha,na utafanikiwa.unapaswa kujua kuwa si kila mwanamke yuko tayari kwa ndoa.I heartly wish you the best in achieving your dream.

ahsante sana
 
hawawezi kukuwahi umeona wapi mwanamke akamtongoza mwanaume na jinsi alivyokuwa na aibu najua wako wachache ambao wanawatongoza wanaume lakini nawe ulijirahisisha kwao ndo mana walikupata kiulaini tu . na wewe hukutulia macho yako juujuu tu hukuwaza masomo ambayo wazazi walikupeleka kule uliwaza ngono tu na sijui kama umepita katika masomo yako maana hujaandika, na huo mwandiko sijui kwanini waalimu walikupitisha kila term maana mhm! unaandika utafikiri unaandika utenzi jamani samahani kama uumeuzika hapa nakupa live ili ujirekebishe usiurudie tena heaven on desert

ulichokiandika c kile nilichokiandika na umesoma tu juu juu ukakimbilia ku coment
khusu mimi kuwa mbovu class or hapana hainisaidii kwa sasa..mana tayari nina kazi yangu nzuri niliyoisomea na maisha yanasonga...ahsante lakin
 
Last edited by a moderator:
mhm! kweli hii storyina maumivu ndani yake pole kwa yaliyokupata mdogo wangu ila nikulize swali Je uko shule ulikuwenda kutafuta masomo au ulikuwenda kutafuta wanawake? mana stori yako yaonesha kuwa wewe hukusoma ulikuwa una mambo mengine? ila samahani kama utajisikia vibaya. nakushauri washirikishe wazazi jambo lako kwani Mungu ameweka hapa duniani hao ni miungu wako watakusaidia, na vilevile mwombe Mungu atakupa yule anayekufaa wewe ila umri wako bado ni mdogo sana mdogo wangu usikimibilie hayo mambo acha yaje kwa wakati wake acha kuparamia ovyo utakufa kwa kilo2. hata kama wajiona kuwa wewe ni kidume cha mbegu mtanashati utajiondoa mwenyewe wakati Mungu bado hajakuita kwake. acha mambo ya ngono hayo mdogo wangu zingatia maisha kwanza, jitayarishe kabla ya kuingia huko kwani utakaa huko ndani ya ndoa mpaka kifo kitakapokuita sasa kwanini unakimbilia wakati ungali kinda ndugu yangu? Nakushauri fanya lile linalowezekana kufanya la maisha yako ndipo uingie huko unakokukimbilia. acha KUJIDANGANYA NAFSI YAKO MDOGO WANGU KWANI WAKATI WAKO BADO. soma post niliyoitoa ya KUJIDANGANYA, KUDANGANYWA NA KUDANGANYA, ndiyo iyo imekuponza mpaka hao warembo wamekudanganya na kukuacha njia panda usiweze kutoka hapo ulipo umebaki unaloloma tu mdogo wangu, Maandiko yanasema IKIMBIE ZINAA nami nasema mdogo wangu kimbia kama Yusufu alivyokimbia. ukifika wakati utafanya tu.

ulivyonikomalia ka unanijua vile....oky hii ni atory kuhusu mahusiano yangu ya mapenz nilivoumizwa na c story kuhusu masomo usirudie tena ku coment bila kuelewa
 
Je! Wenye maradhi nyoyoni mwao wanadhani kwamba Mwenyezi Mungu hatazidhihirisha chuki zao? [47:29]

haina haja ya kuwa na chuki ndugu
 
story ni ndeefu ila nimeisoma yote.daa jamani makosa ni mengi katika uandikaji.huko shule hukueleweshwa?kuhusu mambo ya reletionship,usiyape kipaombele kiivyo maana kila siku utaumia wewe tu.dunia ya leo,wadada hawaaminiki ingawa na wakaka nao ni hivyo hivyo,tengeneza maisha yako.
afadhari wewe umeisoma na kuimaliza!hebu nifanyie summary basi alikuwa analalamika nini!!!
 
wewe bado una matatizo acha nikuache usijenililie bure kwani naona umejirekebisha kuweka ya kwako na sio ile ya wema heaven on desert
 
Last edited by a moderator:
siwezi kumtafutia ajitafutie yyeye mwenyewe kwani namfahamu asije mtoto wa watu akanijia juu mm bure kwa kumbebesha kwake aka atafute yeye mwenyewe kwani nilipokuwa naye pale chuoni nilimuona mwendeno wake ulivyokuwa mbovu kaa! MESTOD
 
Last edited by a moderator:
Ameona ajiwekee yeye mwenyewe si jana alijiweka yeye na wema sepetu utafikiri anamjua vile zaidi ya kumuona katika magazeti bora ya siye tunayechit chat naye kila wakati, huo ndio ushamba wa watu wa upcountry MESTOD
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom