four eyes
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 905
- 1,409
,[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi jana nilifanya same mistake hapa nawaza na kuwazua..!
,[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi jana nilifanya same mistake hapa nawaza na kuwazua..!
Mkuu hujanielewA, akitawaliwa mkeo na tamaa za mwili utamzuiaje!!Kutawaliwa na mke ni kujitakia mkuu?
hakuna jambo linatokea kwa bahati mbaya, labda majanga ya asili kama tetemeko,mafuriko, njaa, plague na vitu vinavyoendana na hayo.
OkMkuu hujanielewA, akitawaliwa mkeo na tamaa za mwili utamzuiaje!!
N.B kugegedewa!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Nyumbu Babako
Ndio ukweli huu japo mtazamo huu unakera na inaonekana kama kuwadhalilisha wanawake.Kuna Jaamaangu akinambia UJINGA NI KUMUAMINI MWANAMKE
Nadhani umetambua sasa kuwa licha ya kujikinga dhidi ya maambukizi ya UKIMWI, Mungu pia ana nafasi yake.Ok
Hapo itabidi awe mtu wa sala sana.
NimetambuaNadhani umetambua sasa kuwa licha ya kujikinga dhidi ya maambukizi ya UKIMWI, Mungu pia ana nafasi yake.
Alitajaye jina la Yesu na auache uovu...Shindwe in the JESUS Name