Bacary Superior
JF-Expert Member
- Jul 3, 2014
- 3,721
- 1,515
ukipata ukimwi na utakuwa na confidence ya kufanya peku, mkuu endelea kutumia kondom maana ukimwi upo tena usiombe ukukute
Kuuvaa ukiwa kwenye ndoa ni uamuzi wako unatokana na kukubali kutawaliwa na tamaa za kimwili.Hata kwenye ndoa waweza kwaa HIV
Akitawaliwa mkeo utamzuiaje mkuuKuuvaa ukiwa kwenye ndoa ni uamuzi wako unatokana na kukubali kutawaliwa na tamaa za kimwili.
Ijapo kuwa kama hamjaoana haisaidi saana.maana kuna kupokezana na washikaji wengine kwa hiyo fanya hivyo kama tayari mmeshaoana.Kapime na demu wako huyo hiyo itakusaidia kurudi katika hali yako ya zamani maana utamwamini kwa result na utakuwa huru.
acha kutumia hilo JINA kwenye majukwaa wa ngono ...nyumbu weeShindwe in the JESUS Name
Akupige Kofi Mwenyewe unayeniombea MabayaHuna akili kabisa...unamtaja Yesu kwenye uzinzi wako...eti unamtaja na Mungu anajua kisa unataka kupiga peku
Sijajua umri wako...angalia Mungu asikupige Kofi...na kondom zako ukashangaa unao
Acha uzinzi oa kwishaa
Kutawaliwa na mke ni kujitakia mkuu?Akitawaliwa mkeo utamzuiaje mkuu
Cephalocaudo?
Sijakuombea mabaya nimekushauri acha ZINAA oa...hata ukitumia kinga zinaa ni laana yanaweza kukukuta mabaya nduguAkupige Kofi Mwenyewe unayeniombea Mabaya
Mkuu ni kweli hata takwimu zinaonyesha waathirika wengi wa hiv ni wanandoaKwa hiyo ulioa iliupate uhakika wa kugegeda bila maradhi...? Ila mbona kwenye ndoa pia watu hupata maambukizi ya VVU
Sitaki kusema mengi hapa nlipo napiga dozi ya hyo kitu sababu ya condom ebu muwe mnaenda kupima mnapiga kavu bhana hizi habari za kuletana kwenye matibabu ya Lazima siyo nzuri
Sitaki kusema mengi hapa nlipo napiga dozi ya hyo kitu sababu ya condom ebu muwe mnaenda kupima mnapiga kavu bhana hizi habari za kuletana kwenye matibabu ya Lazima siyo nzuri
Sitaki kusema mengi hapa nlipo napiga dozi ya hyo kitu sababu ya condom ebu muwe mnaenda kupima mnapiga kavu bhana hizi habari za kuletana kwenye matibabu ya Lazima siyo nzuri
Mabinti wengi hawana habar na kondom,bado wanahofu na mimba zaidi kuliko ukimwi,mwingine anakwambia kabisa anataka kavu maana hajisikii raha ukivaa kondomu,cha ajabu Malaya wauzaji ndio wako Makin na matumizi ya kondomu Hawa Mabinti WA kawaida wala hajalKuna mtu kakwambia mfanye bila cndm?!
Ndio maana mm situmii nawapenda sana wanawakeJaman tuoneeni huruma sisi wanawake hizo condom zinatusababishia fungus jaman........ Kama unampenda mwanamke wako nenda nae hospital mkapime then mutifuane bila hayo makitu..... Siyo mazuri kwa afya ya nyuchi zetu pls