Siwezi tena kufanya mapenzi bila condom

Siwezi tena kufanya mapenzi bila condom

Jaman tuoneeni huruma sisi wanawake hizo condom zinatusababishia fungus jaman........ Kama unampenda mwanamke wako nenda nae hospital mkapime then mutifuane bila hayo makitu..... Siyo mazuri kwa afya ya nyuchi zetu pls

Please tell us more
 
Ni mashaka yako tuu. Nyama kwa nyama raha sana!!

Mambo ya kutumia kondomu siyajui wala sina mashaka kama wewe na nimepita vichaka hatari hatari!!
 
kwani tatizo nini hapo, mbebe mpenzi wako mkapime then baada ya hapo timiza haja yake

Ukipima nae Leo, Wiki ijayo akaenda kusuguliwa na Mwenye Ukimwi then Wewe ukaja kuendelea na Pekupeku zako utaepuka Ukimwi?

Kupima Ukimwi ni kujua Matokeo ya Vipigo vulivyopita sio kujua Matokeo ya Vipigo vya Baadae!

kuvaa Mikanda kwny Gari kunapunguza athari ya Kuathirika ikitokea Gari ikapata ajali, hakuzuii Wewe kupata Ajali!

Kuepuka kupata ajali ya Gari Acha kutumia Gari au kuwa karibu na Mazingira ya Magari!
 
Nahisi Nimeathirika kisaikolojia.

Miaka Kadhaa iliyopita niliwahi kusex na mwanamke mmoja ambaye inadaiwa ni mwathirika ambaye yupo katika medication, Na katika kufanya nae nilipiga peku japo ilikuwa Kimoja.

Basi toka hapo nikawa mtu ambaye sina amani nikijua nimeukwaa yaani hadi napima baada ya miezi 9 Nilikuwa siamini Majibu ya Hospitali ninapoambiwa Nipo mzima yaani Negative!

Basi tokea miaka hiyo mpakaa leo najikuta siwezi kufanya peku tena....Nishawaacha mademu wengi wakaondoka geto kwa kukataa kutumia condom....Nahisi tu kila mwanamke anae kiasi kwamba siwezi kufanya nae peku!

Shida inakuja kwa Mwanamke wangu ninaempenda nae pia siwezi fanya peku yaani lazima Nitumie Condom....Amenilalamikia sana kuhusu tabia yangu ya matumizi ya condom.....anahisi mimi simuamini....Kiukweli Roho inauma maana nampenda hilo Mungu anajua!

Nifanyeje wanandugu niwe comfortable kufanya Peku tena!?
mkuu mm ilishawah kunikuta nilimwambia twende tukapime kwanza then ndo mtanange ukaendelea
 
Sitaki kusema mengi hapa nlipo napiga dozi ya hyo kitu sababu ya condom ebu muwe mnaenda kupima mnapiga kavu bhana hizi habari za kuletana kwenye matibabu ya Lazima siyo nzuri

Cjawah tumia
 
Mnaeza kupima na akienda huko nje anajazwa kama kawaida
Hili jambo Mungu tu anatuepusha kwakweli. Mtapima, Utakuwa mwaminifu ila yeye kichomi.
Na kupatana wote waaminifu ni ngumu. Kama ni mpenzi siyo mke tumia tu mkuu.
 
Nahisi Nimeathirika kisaikolojia.

Miaka Kadhaa iliyopita niliwahi kusex na mwanamke mmoja ambaye inadaiwa ni mwathirika ambaye yupo katika medication, Na katika kufanya nae nilipiga peku japo ilikuwa Kimoja.

Basi toka hapo nikawa mtu ambaye sina amani nikijua nimeukwaa yaani hadi napima baada ya miezi 9 Nilikuwa siamini Majibu ya Hospitali ninapoambiwa Nipo mzima yaani Negative!

Basi tokea miaka hiyo mpakaa leo najikuta siwezi kufanya peku tena....Nishawaacha mademu wengi wakaondoka geto kwa kukataa kutumia condom....Nahisi tu kila mwanamke anae kiasi kwamba siwezi kufanya nae peku!

Shida inakuja kwa Mwanamke wangu ninaempenda nae pia siwezi fanya peku yaani lazima Nitumie Condom....Amenilalamikia sana kuhusu tabia yangu ya matumizi ya condom.....anahisi mimi simuamini....Kiukweli Roho inauma maana nampenda hilo Mungu anajua!

Nifanyeje wanandugu niwe comfortable kufanya Peku tena!?
Endelea hivo hivo hadi mtakapopima na kufunga ndoa na huyo mwanamke wako unayempenda. Licha ya kuwaepusha na HIV pia mtaepuka mimba isiyotarajiwa. ila mfunge ndoa kuepuka laana na adhabu ya zinaa.
 
Shindwe in the JESUS Name
Huna akili kabisa...unamtaja Yesu kwenye uzinzi wako...eti unamtaja na Mungu anajua kisa unataka kupiga peku

Sijajua umri wako...angalia Mungu asikupige Kofi...na kondom zako ukashangaa unao

Acha uzinzi oa kwishaa
 
Back
Top Bottom