Siwezi kutongoza...

Akishindwa kabisa awaambia '' ..twende tukagusanishe makojoleo ..'' watakubali.
 
haswaa siku hizi hatutongozani ikiwa ninahisia na wewe tunajikuta automatically in a relationship

sure secondary na primary ilikuwa hivyo na sikujua kutongoza kwa sababu hiyo sasa nikijaribu kutongoza hali innakuwa mbaya dakika za mwanzo kabisa
 
shalet nashangaa anataka kuninyang'anya tonge mdomoni.[/QUOTE said:
asikutishe huyo...we njoo tufanye yetu sieeeeeee.
 
Ukikutana na demu unaemtaka mwambie unampenda sana, ukinywa maji unamwona kwenye glass na ukilala unamwota
Jaribu hii ilinisaidia sana kipindi nilipokuwa sina hela.
 
Mi sasa nina bahati mbaya mara nyingi nikienda out hata uwanja wa ugenini wale wanaokunywa glass za wine unasema labda hawa ntawamudu ndio hawataki atakunisikia na chupa langu la bia, hila wale wanaokuja kununua machupa ya wine ndio utawaona hao najikuta o-hoo, msaada kwenye tuta.
 
Kiongozi ukicomplicate lazima uzingue..ukimfata manzi usiwe serious kiviilee kama vile umejipaanga we nenda hata kwa masihara tu unashangaa unabeba..mzigo..huoooo..uko nao maghettoni..
 
Tumia SUPER SHAFT...Then NENDA MATEMBEZINI,...Ukishindwa kutongoza kaogee damu ya mende.
 
Koh koh koh, "yahaya unaishi wapiii kwani jina halisi naniiiii".....

tufanye yahaya ndio Excel.. hahahaaaaa!!! niko juu ya mnazi!!

mambo vipi mkuu?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…