Siwezi kuoa kwa hali hii

Kwa hiyo wewe unapofanya kazi ikifika lunch time kazi ni moja kutiana tu...au na wewe ndio kina 'nasikia...nasikia...'

Ukisema ndio mchezo wa ofisini kwenu baas naacha ubishi right now...

wala usitake ushahidi kihivyo ,,,, haya mambo yapo sana tu..........
 
Kwa hiyo wewe unapofanya kazi ikifika lunch time kazi ni moja kutiana tu...au na wewe ndio kina 'nasikia...nasikia...'

Ukisema ndio mchezo wa ofisini kwenu baas naacha ubishi right now...

uliza swali lako vizuri , ulivyoliuliza halipo sahihi na siwezi kulijibu........
 
sio kwamba anaambiwa mm naona hata yeye ni mshirik mzur tu. Anacho kiogopa hapo n ile kauli ya muosha huoshwa au kila angamizae kwa upanga ataangamia kwa upanga......

Naunga mkono hoja mkuu...
 

nimeipenda.
 
Mkuu raha ya ngoma uingie na ucheze.Unaweza ukaoa na mkeo asiliwe nje au akaliwa vilevile.Jambo la msingi mwombe mungu kama unaimani.Kutokuoa si suluhisho wewe ni rijali kuoa ni wajibu.Unauhakika demu uliyenaye kwa sasa haliwi nje?
 
Kukubali kutegeka ni sawa na kupokea shanga kwa karl peters ili achukue alimasi
 
Wewe acha tu wakati wengine wanaoa mwenye haki wa Mungu ataishi kwa imani.
 

Hiyo bold.....nae atakufa kwa upanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…