Huyu ni mwanaume alienisababisha niwe na chuki kwa wanaume wote.nilimpenda sn nikajua hapa nimepata kumbe si lolote.Namtafuta popote pale labda nisionane nae mpk nife lkn nikimwona lazima nilipe kisasi.nitamfanya chochote.ilimrad niridhike na yy aone uchungu.Nackia ameoa na ana mtoto.atakuja kujuta sn kwa nn amenijua.
Hahahahaaaaaaamweee na wewe husemwi toka uwolewe umenisusa wewe.misss u sana hujambo lakini kaka kipenzi
Funguka kakutenda nini?Huyu ni mwanaume alienisababisha niwe na chuki kwa wanaume wote.nilimpenda sn nikajua hapa nimepata kumbe si lolote.Namtafuta popote pale labda nisionane nae mpk nife lkn nikimwona lazima nilipe kisasi.
Na mi nilitaka kumuuliza the same qn
dada Kuna njia mbili za kumove on either you forgive and forget or revenge then you move on my dia!kama umeamua hyo uliyoamua nayo sawa tu!
Hahahaa unamchokonoa mwenzakooooooo!Teh teh teh, uwiii Erickb52, ss kwani nimefanya nn!!